Tafadhali nipeni elimu wanaJ, yamenikuta

Samawia

JF-Expert Member
Dec 6, 2017
594
458
Inawezekana vipi sms ikajituma kwa mtu kupitia simu yako pasipo wewe kuandika hiyo sms?

Iko hivi baada ya kuhisi nasalitiwa na Nanii ikabidi nichukue simu yake kwa ajili ya kufanya uchunguzi,nimekaa na simu siku mbili nikisubiri kupigiwa au kutumiwa ujumbe,usiku nimetulia simu ikiwa pembeni sms imeingia na namba ni ileile ninayoichunguza

Wakati nafungua simu nisome sms iliyoingia nimeona kuna sms nyingine ambayo sijaiandika mimi ila imejituma kwa huyo mtu,kwahiyo huyo mtu katuma sms akijibu ile sms iliyojituma kwake.

Nimejiuliza maswali kibao nimekosa majibu, nimewaza inawezekana mwenye simu kamwambia mtu wake kwamba simu yake inachunguzwa halafu mtu wake kafanya utundu ionekane mimi nimetuma sms kwake,baada ya kujiuliza hayo na kukosa majibu nimeona nije kwenu huenda mkawa na mnajua lolote.

Nipeni elimu tafadhali.
 
Samahani mkuu, do you take alcohol? Inawezekana uliandika ukiwa umekunywa, ila baada ya pombe kuisha mwilini sasa umesahau.

Alafu mkuu, acha kumfuatilia mkeo. Mtu mzima hachungwi bali anajichunga mwenyewe.

Kikumbwa mwambie kwamba, duniani kuna magonjwa na wote msipokuwa mankini mtakufa mapema muache watoto wanahaingaika na dunia.
 
Nakunywa Mkuu,ila nina wiki sijanywa
 
Samahani mkuu, do you take alcohol? Inawezekana uliandika ukiwa umekunywa, ila baada ya pombe kuisha mwilini sasa umesahau.

Alafu mkuu, acha kumfuatilia mkeo. Mtu mzima hachungwi bali anajichunga mwenyewe.

Kikumbwa mwambie kwamba, duniani kuna magonjwa na wote msipokuwa mankini mtakufa mapema muache watoto wanahaingaika na dunia.
No shit sherlock
 
Inawezekana vipi sms ikajituma kwa mtu kupitia simu yako pasipo wewe kuandika hiyo sms?

Iko hivi baada ya kuhisi nasalitiwa na Nanii ikabidi nichukue simu yake kwa ajili ya kufanya uchunguzi,nimekaa na simu siku mbili nikisubiri kupigiwa au kutumiwa ujumbe,usiku nimetulia simu ikiwa pembeni sms imeingia na namba ni ileile ninayoichunguza

Wakati nafungua simu nisome sms iliyoingia nimeona kuna sms nyingine ambayo sijaiandika mimi ila imejituma kwa huyo mtu,kwahiyo huyo mtu katuma sms akijibu ile sms iliyojituma kwake.

Nimejiuliza maswali kibao nimekosa majibu, nimewaza inawezekana mwenye simu kamwambia mtu wake kwamba simu yake inachunguzwa halafu mtu wake kafanya utundu ionekane mimi nimetuma sms kwake,baada ya kujiuliza hayo na kukosa majibu nimeona nije kwenu huenda mkawa na mnajua lolote.

Nipeni elimu tafadhali.
Kama unatumia Tecno au Infinix ni kawaida sanaa, mimi ishawahijituma kwa Mama mtu mzima jirani yetu ilijiandika.."Oiii Mambo vepee?" nilishangaa sanaa
 
Unashika simu ya mkeo? Utakuja kuombwa maku upate presha ujifie.

Kwa ustawi wa afya yako kaa mbali na simu ya mkeo,unachokitafuta utakipata na kitakupa kisukari
 
Mkuu Bichwa lako Lina ukubwa Gani wa RAM inawezekana hata GB Bichwani mwako ni ndogo Sana ishu ya Sms tu unakuja kulia humu jukwaani...? Watu tunahangaika kutoa ushauri kwa watu waliomegewa sio kwa upuuzi Kama wa kwako huo wakujitafutia Mwenyewe. Zama hizi Simu hazichunguzwi kiboya hivo Pimbi wewe Bomu la Machozi umelifukua Mwenyewe pambana nalo hukohuko.
 
Kama unatumia App za kuongezea kwenye simu hasa smartphone inawezekana ila kama ni Nokia kitochi haiwezekani kiurahisi.

Spoofing inaweza kufanya huo uhuni ila inakupasa kufahamu kuwa ni jinai, hivyo na wewe usijaribu huo mchezo Mkuu.
 
Yah ni smartphone ,wanafanyaje Mkuu?
 
Back
Top Bottom