Wakuu wa Wilaya vivuli wa Serikali ya JF.

my darling husband Rejao hilo nishamwambia Nicas Mtei mie nitakua mkurugenzi wa wilaya yako bagamoyo,
u know hatuwezi kuwa mbalimbali even kwa sekunde,

sogea mezan mpnz chai tayari.

images

fanyeni kazi nyie muda wote kula tuuuu!!!
 
Last edited by a moderator:
Ingawa niko mpakani ila nashukuru kwa uteuzi wako maridhawa! Ila mkuu waangalie sana Cantalisia na Rejao wanaleta mapenzi mpaka kazini! Kama vipi mteue Cantalisia awe mkurugenzi wangu huku nanyumbu!
 
Last edited by a moderator:
Hivi EMT, lini umekuwa adui yangu?

Nilikualika kwa gateaway mahali fulani hukuja
nikakualika twende fishing na home made wine hukuja

leo unasema hii ni fhadhila, askafurulahh.

Huko gateway na fishing kulikuwa kuna fadhila?
 
Hii huwa inasaidia kwenye 'Invitation to Treaty'

tukifika huko tutaelewana tu chochote utakachokuta iz yuzifu, are you scared?

Kuna biashara nyingine zinatageti jinsia fulani, so muhimu kujua mapema
 
Haha ao wantakuwa vivuli kwel maana majina mengne yanamaanisha wat wl hapen for da year 2cme
 
Shhhhhhhhhh. Chuna hivyo hivyo.
Tukiwa wawili Meatu itakuwa poa.

EMT naona umekua editor siku hizi.....we nipigie debe mi niende Iramba we kwnn umemuweka mamap,baki nae ww!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom