Wakuu wa Wilaya vivuli wa Serikali ya JF.

kweli nchi itajengwa na wenye moyo,
unaanza wivu wa ki ma penzi hata kabla ya
kuripoti kazini.

Iga yule mkuu wa wilaya ya Bahi
jamaa yake yuko bongo anachezesha mpira wa akina mama
na mambo yanakwenda mkuu.

Hahahaha. Mi ntakuwa naenda kupumzika Lushoto mara kwa mara.Kule kuna Irente, Mullerz, Lushoto Lodge n.k.
Amyner ndo atakuwa mwenyeji wangu kule na pia mwakilishi wangu.
 
Last edited by a moderator:
Ahsante kwa kunielewa. Ukikarbia kujifungua wote wewe na mumeo mtapata maternity leave.
Usijali kbs Nicas Mtei,tupo pamoja kwa ujenzi wa taifa!
Ila hakikisha wahudumu wote ofisini kwa mme wangu wawe wanaume tena wazee,
Km kuna vibinti vihamishe kabla mme wangu Rejao hajaripoti ofisin sitaki makwazo kwa Rejao wangu!
Hakikisha masharti na vigezo kuzingatiwa.
 
Last edited by a moderator:
Nimesha jaza fomu za mikopoCRDB kudadadeki uhakika wa mshiko upo Wameru mtanikoma....
 
Wahudumu wa kiume? Hyo kali. 2tafanya gender balance
 
Last edited by a moderator:
Wahudumu wa kiume? Hyo kali. 2tafanya gender balance
Yes wa kiume tu,hakuna cha gender balance wala nn!
Otherwise namshauri mme wangu tubadili mawazo kbs na hizo nyazifa zako ulizotugaia ebo!!!
Unaleta utani kwenye ndoa yangu!!!
 
Mkuu we umeanza na mkopo na mi naanza kusafirisha twiga huku!
Rais wangu alijuaje hata sijui.
(Siri yetu mkuu rais wangu mpendwa Nicas Mtei asije akagundua dili)
Nimesha jaza fomu za mikopoCRDB kudadadeki uhakika wa mshiko upo Wameru mtanikoma....
 
Back
Top Bottom