Wakuu wa shule wanawatesa sana walimu aisee

Walimu wakuu wa namna hiyo hawajakutana na na walimu wanaojitambua. Hao walimu wanaoburuzwa hivyo na mkuu wao hawajitambui ni kama misukule, watamuogopaje muajiriwa mwenzao ambaye hajawaajiri na yeye kaajiriwa. Huo ukuu wa shule ni kama ukiranja tu. Walimu wakuu wa namna hiyo wana kiherehere na kujipendekeza kwa viongozi wa ngazi za juu wilayani. Uongozi ni dhamana waache kutesa walimu wenzao
 
Nilishuhudia mkoa flani (miaka ya nyuma), mwalimu mmoja kijana alitembea na mwanafunzi wa kike, headmaster alimuamuru alale chini na kisha akamtandika fimbo sita matakoni!
 
Nilishuhudia mkoa flani (miaka ya nyuma), mwalimu mmoja kijana alitembea na mwanafunzi wa kike, headmaster alimuamuru alale chini na kisha akamtandika fimbo sita matakoni!
Mi niliwa kuzikunja na mkuu wangu wa shule, msaidizi wake ndio nikamkunjia ngumi kabisa tuzipige mbele ya wanafunzi. Mkuu wa shule alikuwa mnaa sana nikachoka kuvumilia tabia zake hivyo nikaamua kukinukisha staff nzima kuanzia kwa mkuu mkuu wa shule hadi kwa walimu wengine wanaojipendekeza kwake. Cha ajabu wanafunzi wote wakaka upande wangu wakinitetea huku wakitaka kubeba mawae kuwabonda walimu wanafiki. Nilikuwa kijana mdogo na hao walimu walikuwa ni wazee. Heshima iliwekwa kwangu, waliniogopa kama ukoma. Kwa sasa ni wastaafu na mmoja wao anastaafu mwaka huu. Wamekuwa marafiki zangu wakubwa huko waliko.
 
Yaani Kuna shule Mkuu wa hiyo shule ana wachukulia walimu wake kama watoto..kufika kzn ni saa 1 kamili. kutoka ni saa 11 jioni na ni mkali baraa kuwaandikisha baraua Kila wakati
Hao wote hawaelewi management ya kisasa, huwa wanajifanyia mambo. kama walivyolelewa wao makwao.
 
Itakuwa shule ya mchepuo wa sanaa hiyo,palipo na waalimu wa sayansi ngumu kupelekeshana kwanza wamepinda na wanauzika private kikubwa kuzingatia sheria za utumishi na ajira pamoja na kupinda kwao.
 
Hiyo shule sekondari au primary? Wajitambue na wajue wajibu na haki zao
 
Kumekuwa na visa vingi wakuu wa shule kunyanyasa walimu wenzao wasiojitambua. Ni wakuu wa wachache ndio hupokea vipigo pale wanapozidisha unyanyasaji. Kuna mwalimu mkuu mmoja wa kike alizabwa makofi na mwanamke mwenzake ofisini. Dada wa watu akapewa adhabu ya kupelekwa shule mbaya kijijini ndani akasote huko na afisa elimu mnoko. Visa ni vingi mara mapenzi, mara wivu wa maendeleo. Wengine ukifundisha vizuri wanafunzi wakakusifu mkuu wa shule na jopo lake wanaona wivu wanaanza kukunyanyasa kila angle ili tu kukughasi
 
Back
Top Bottom