MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,224
- 22,303
Wakuu nina tatizo la meno kuuma. Meni ya juu upande wa kushoto. Kiukweli maumivu yake sio ya kutisha kama ambavyo watu wakiumwa jino inavyokuwa. Ila ni maumivu ambayo hayakomi hasa usiku. Kimsingi comfortability hakuna.
Nilienda hospitali wakataka kung'oa nikakataa ikabidi wanipe dawa za maumivu. Nikizitumia huwa yanatoweka ila nisipotumia sikai muda mrefu maumivu huanza tena. Kuna dawa ya kienyeji pia nilitumia ikasaidia kiasi ila bado maumivu yapo. Kuhusu kula na kunywa ninaendelea kama kawaida.
Je, nifanyeje ili nisiendelee kutumia dawa za maumivu kila mara yaani karibu kila siku?