Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

hahaaa kwani we Goeff unakumbuka nini ukiwa saint Halmashauri???
niliwahi kukutwa na mama mzazi NAFANYA MATUCI NA HAUSIGELI!..halafu yeye alikuwa mkubwa sana kwangu.mimi nilikuwa darasa la tatu
 
Vipi, una Holes kumbe?

ona sasa!!! hebu na wewe sema ulipokuwa unasoma shule ya mt. Kabaka unakumbuka nini sio kunikomalia mimi tu as hivi you yourself has no experience alaaaah!!!
 
niliwahi kukutwa na mama mzazi NAFANYA MATUCI NA HAUSIGELI!..halafu yeye alikuwa mkubwa sana kwangu.mimi nilikuwa darasa la tatu

insidenti nyingine shuleni je ...kushika tumatiti hivi and stuff!!!??
 
shuleni...well!nilikuwa mdogo sana lakini nakumbuka kuna mdada tukiwa darasa la sita ALIANZA KUTOKWA NA MCHUZI MWEKUNDU MAENEO YA NDOA..!ilikuwa kama saa tatu asubuhi hivi,

ikabidi wavulana wote tutoke nje

hivi sijui aliumia?
 
madawati yenu hayakuwa smooth/haykupigwa msasa vizuri dada wa watu akachubuka!!!
 
shule zetu za vijiji vya ujamaa tulikuwa tunapewa adhabu ya kuwasombea walimu maji ,
 
mmh ebu acha kutudanganya,si umesema mchuzi?mchuzi unaumiza?si ungekinga bakuli basi?
shuleni...well!nilikuwa mdogo sana lakini nakumbuka kuna mdada tukiwa darasa la sita ALIANZA KUTOKWA NA MCHUZI MWEKUNDU MAENEO YA NDOA..!ilikuwa kama saa tatu asubuhi hivi,

ikabidi wavulana wote tutoke nje

hivi sijui aliumia?
 
ona sasa!!! hebu na wewe sema ulipokuwa unasoma shule ya mt. Kabaka unakumbuka nini sio kunikomalia mimi tu as hivi you yourself has no experience alaaaah!!!

Mi nilikuwa na experience ya kuweka kioo chini ya miguu ya wasichana tukiwa mstarini afu baadaye natangaza darasani "Leo bht umevaa chupi nyekundu, unabisha?" Basi darasa zima kicheko!
 
alafu wakati mzuri ulikuwa ni wakati wa kufunga shule,ngumi za kufa mtu lazima umpanie mtu then umuweke kiporo siku ya kufunga xul,mm kazi yangu ilikuwa kuchora mstari au kushika mchanga ili mtu apute ngumi zianze,duh Raha
 
unaonekana wa kivile weweee!!
 
kaka mmoja aliniandikia ka barua amechora chora vimkuki vya love nikaipeleka kwa mwalimu darasa la tano wazazi wake wakaitwa eeh jamani ..( wewe kaka mapinduzi uko hapa)?
 
Au kama si kuputa mchanga unamwamrisha mmoja amtukaniye mwingine baba yake! Akitukana tu, shughuli inaanza!
 
kaka mmoja aliniandikia ka barua amechora chora vimkuki vya love nikaipeleka kwa mwalimu darasa la tano wazazi wake wakaitwa eeh jamani ..( wewe kaka mapinduzi uko hapa)?

hahaaaa hiyo kali!! alivunja maadili kaka mapinduzi!!!
 
Walimu wetu walikuwa wanatubembeleza kurudi shuleni nyakati za likizo ili kupewa masomo ya ziada bure sio kama siku hizi za tuition kwa malipo.
 
unaonekana wa kivile weweee!!

Mpaka leo sijaacha. Mabinti na vimini vyao wakikaa vibaya hapa kantini nawatajia rangi ya bikini walizovaa! Hahaha! Maisha bana! Zamani mtu ulikuwa unafunua chup.i ndio unaona tak.o, siku hizi watu wanafunua tak.o ndio wanaona chup.i!
 
alafu wakati mzuri ulikuwa ni wakati wa kufunga shule,ngumi za kufa mtu lazima umpanie mtu then umuweke kiporo siku ya kufunga xul,mm kazi yangu ilikuwa kuchora mstari au kushika mchanga ili mtu apute ngumi zianze,duh Raha

duh arena hiyo hapo kwa kweli nipo shallow!!! nimuoga wa kupigwa hata leo!!! enzi hizo kwanza i had 2 bouncing bros!! hamna wa kunisogelea, hajipendi!!!
 
mkifunga xul kuna zamu ya usafi kumwagilia na nk,zamu yako ikifika lazima uende.pia kuitwa ofisini kwa walimu na kuchambwa kama umefanya kosa utajuta kuwafaham
 
Mpaka leo sijaacha. Mabinti na vimini vyao wakikaa vibaya hapa kantini nawatajia rangi ya bikini walizovaa! Hahaha! Maisha bana! Zamani mtu ulikuwa unafunua chup.i ndio unaona tak.o, siku hizi watu wanafunua tak.o ndio wanaona chup.i!

hahaa jamani Iribini umenikumbusha mama wa rafiki yangu alituambia eti 'enzi zetu chupi ilikuwa inafunika ****** sio nyie ****** yanafunika chupi' haaaaa lol!!!
 
Back
Top Bottom