Wakumbuka nini enzi za shule ya msingi?

halafu umesahau ulikuwa unakaa msuchana peke yako kwenye dawati la wavulana

Haaaa nilikuwa nakaaa na braza wangu kipindi cha sayansi wakati wa somo la mifumo ya uzazi....(was stupid) mwl akaniambia ni kosa la mzazi kunileta shule mapema sijui nitendalo haaaaaaaaaaaa duh!!!! i mis zozii deizzz!!
 
niambie ''kifua'' kilipoanza kutuna ulijifeel vipi?....
 
kwa hiyo ukikuwa......?lazima UOGE SANA?

wewe sikuwa muoga wa maji bana. i had no choice jioni lazima ukaoshwe usuguliwe na kama unakijmkwaruzo mpaka damu itoke kwa kusuguliwa!!!

tena ukiwa mkubwa si unajua tena lazima kasi iongezeke!!!
 
hehehe!UNAHARIBU THREAD MPWAAA

nimevunja mtiririko eeeeh!!! kuna ka-incident hapo sipendagi kukakumbuka ndo maana hahaaaaa loh!!! jamani utoto raha!!! kajisemea Jay dee anatamani kuwa malaika!!!!
 
wewe sikuwa muoga wa maji bana. i had no choice jioni lazima ukaoshwe usuguliwe na kama unakijmkwaruzo mpaka damu itoke kwa kusuguliwa!!!

tena ukiwa mkubwa si unajua tena lazima kasi iongezeke!!!

Siku hizi husuguliwi tena? Damu haitoki?
 
nimevunja mtiririko eeeeh!!! kuna ka-incident hapo sipendagi kukakumbuka ndo maana hahaaaaa loh!!! jamani utoto raha!!! kajisemea Jay dee anatamani kuwa malaika!!!!
KA-INSIDENSI GANI HAKO?!...mchezo wa ki-baba-baba?
 
yaani nyie viumbe wa wawili kwa kutafuta loop-holes siwawezi
bihechitii mimi natamani tucheze kumbolela halafu MIMI NA WEWE TUKAJIFICHE PORINI.............

natamani pia tucheze kibaba-baba MIMI NA WEWE TUWE BABA NA MAMA
 
hahaaa kwani we Goeff unakumbuka nini ukiwa saint Halmashauri???
 
Back
Top Bottom