Elections 2010 Wakristu na Waislamu kuiunga mkono CUF na kuipa kura za ndio ni baada...!

Mimi ningekuona una akili kama ungekuwa mwiba kwa mafisadi walioifikisha kwenye hali mbaya Tanzania lakini umewekeza nguvu zako kwa mambo yasiyo na msingi,inaonekana upo kwenye posho za kina makamba

Mbona hajasifia CCM hapa, kasema juu ya lipumba (CUF). Au we kasababu akili yako imejaa chuki juu ya CCM ukiona hata C moja (CUF) mwill unasisimuka?
 
Yaani unategemea watu wengine ? Kukuunga mkono ,we vipi ? salama lakini ???? mi nitakusaidia !!

Sihitaji kuungwa mkono kkwa kitu nachokifahamu mwenyewe. Ulipoweka post hii ulikuwa na wazo la kuungwa mkono. Ushauri tu, ukitaka kumuunga mkono Kikwete, Lipumba, Slaa, Mziray, Muttamwega,.... huhitaji kusema Wakristo na Waislamu, sema tu Watanzania. Hata hivyo bado naona hakuna haja ya watu kujibu post yako kwa sababu hauko serious, unatoa hoja bila kuonesha chanzo cha habari yako. Hili ni tatizo kwako na kwa nchi maana tunahitaji vijana kama wewe mtupe michango ya maana nikiamini angalau kwa kiasi fulani umeenda shule. Ndo hoja yangu.
 
Hao ni walolole gani wanaoongelewa? ASIYE NA DHAMBI NA AWE WA KWANZA KUMTUPIA JIWE. wakristo, waislamu, wana CCM, chadema na hata wasion na dini wako tayari kumpa Dr. Slaa kura ili aikomboe na mafisadi, labda hiyo ni yako ya kutunga!! Rethink
Hii kitu open ,usiwe katika wale ambao wanafumbia macho ,kama Jk na Mwinyi walipita huko basi tuwe tuliosoma na kuelewa na si wenye kusoma kisha tukarejesha kule kule tulikotoka ,ndio tutakuwa hatuendi mbele ,kama unajua Jk alifanya hivyo,Mwinyi nae vivyo leo hii mchana kweupe hadharani hata watoto wanaona na kuelewa ,kwa nini tunataka kumchagua aliefanya ya Jk na ya Mwinyi ?
 
Mbona hajasifia CCM hapa, kasema juu ya lipumba (CUF). Au we kasababu akili yako imejaa chuki juu ya CCM ukiona hata C moja (CUF) mwill unasisimuka?

Angalia alichoandika usikurupuke...kaandika baada ya dr slaa kufumaniwa na mke wa mtu.kwa mtu mwenye akili hapa hoja si kuizungumzia CUF .
 
Hii kitu open ,usiwe katika wale ambao wanafumbia macho ,kama Jk na Mwinyi walipita huko basi tuwe tuliosoma na kuelewa na si wenye kusoma kisha tukarejesha kule kule tulikotoka ,ndio tutakuwa hatuendi mbele ,kama unajua Jk alifanya hivyo,Mwinyi nae vivyo leo hii mchana kweupe hadharani hata watoto wanaona na kuelewa ,kwa nini tunataka kumchagua aliefanya ya Jk na ya Mwinyi ?

Ushauri tu, ukitaka kumuunga mkono Kikwete, Lipumba, Slaa, Mziray, Muttamwega,.... huhitaji kusema Wakristo na Waislamu, sema tu Watanzania. Hata hivyo bado naona hakuna haja ya watu kujibu post yako kwa sababu hauko serious, unatoa hoja bila kuonesha chanzo cha habari yako. Hili ni tatizo kwako na kwa nchi maana tunahitaji vijana kama wewe mtupe michango ya maana nikiamini angalau kwa kiasi fulani umeenda shule. Ndo hoja yangu.
 
Kibaka hafai kuwa kiongozi wa Chadema wacha Raisi wa Tanzania ,yaani sasa mnafanya masihala na kiti cha Uraisi ,nyie vipi ? Ivi mna akili timamu ? Au ndio mnajipendekeza ? Ukweli usemwe uanikwe ili tupate kiongozi mtenda wema ,sio mdanganyifu na mwepesi kwa mambo ya anasa ?


Tumechoka na Mujahidina.

Hatudanganyiki!!!
 
Nadhani hapa hakuna habari mpya ndo maana tunapoteza muda kujaribu kujibu hoja za utani hapa. Hivi hakuna News?
 
Yaani unategemea watu wengine ? Kukuunga mkono ,we vipi ? salama lakini ???? mi nitakusaidia !!
Hivi wewe unategemea kuwa hayo maneno unayoi-ongea yanaingia kwenye mioyo ya watu au kwenye bongo zao?? Kwani nani hajui society zetu; you're just helping to make Dr Slaa a Hero!! Hivi hebu nikuulize; badhi yetu tunajiridhisha tuwe na wake wanne au zaidi, eti tunawaandikisha kuwa ni wake zetu. Do yu belive that is life? Agree that we don't have any criteria of judging our ethical behaviour. Inabidi hizo sheria zilanze sasa. Maana mie nachoshamgaa children born from outside marriage in Tanzania is common; sijawahi kuiona familia Tanzania ambaoyo haina watoto ambao wamezalia out of edlock. It a calamity!!
 
mbona unamtaja mwinyi mzee? achana na mzee wetu bana ndio aliekufanya ukaijua tv wewe? ukapata umeme kwako. ukajua kuvaa suruali nzuri
Typical; hata kama Mwinyi hangeleta TV mwingine angeleta; do you know the worst President of this country was Mr. Mwinyi?? Nani kakwambia suruali ni muhimu kulko kaptura?? Go to school first!!
 
kumbuka hili ni jukwaa la siasa..hatujadili mambo ya ndani ya suruali ya mtu ila ubongo wa mtu....sababu ya kusema uliyoyasema ni baada ya kutaka nyeti za dr slaa wakati wenzio tunataka ubongo wa slaa...
 
Inasikitisha kuona kuwa hadi leo hii watanzania wanashindwa kujua kuwa uongozi bora haupimwi kwa kiwango cha ngono bali uzalendo na uwezo wa kuongoza. Naomba kila mwanaume ajihoji mwenyewe kuhusu uhusiano wake na mke wake. Wachambuzi na wanafalsafa wa kale waliamini kuwa ukijali sana ndoa huwezi kuifikiria jamii pana zaidi ya kijiji chako. Sina shaka kuwa wale wanaolichukia taifa la Tanzania na kutaka liendelee kuwa hivi lilivyo ndio wanaoibua haya maswala ya ngono za Dr. Slaa. Mbona hmjawa na ujasiri wa kuhoji ngono za Kikwete? Au kwavile mnamlamba na yeye anawapa ushuzi wake mwashiba? Acheni unafiki huo, hebu tuyaangalie maisha ya mashujaa wa ulimwengu huu ambao nchi zap zinakumbuka michango yao na tulinganishe na maisha yao ya ndoa ndo tuone jinsi gani mnaohoji maisha ya ngono ya Dr Slaa yasivyo ya msingi. Angalia Mandela anavyoheshimika lakini ndoa yake je? Zuma ndoa yake je? Bill Clinton ndoa yake je? Sarkozy ndoa yake je, KUMBUKENI KUWA KIONGOZI WA TAIFA KAMA TANZANIA HAPOIMWI KWA WINGI WA MUDA ANAOUTUMIA KANISANI AU MSIKITINI BALI APIMWE KWA UWEZO WAKE WA KUPAMBANA NA MATATIZO YA WANANCHI. Hivi huyu Kiwete wenu ambaye amefikia hadi hatua ya kubinafsisha hadi chama cha Mapinduzi na kuwa mali ya familia ili aweze kuibinfsisha na nchi, mwamwona bora kuliko Slaa? Poleni sana Watanzania wenzangu msiotaka mabadiliko.
 
Ushauri tu, ukitaka kumuunga mkono Kikwete, Lipumba, Slaa, Mziray, Muttamwega,.... huhitaji kusema Wakristo na Waislamu, sema tu Watanzania. Hata hivyo bado naona hakuna haja ya watu kujibu post yako kwa sababu hauko serious, unatoa hoja bila kuonesha chanzo cha habari yako. Hili ni tatizo kwako na kwa nchi maana tunahitaji vijana kama wewe mtupe michango ya maana nikiamini angalau kwa kiasi fulani umeenda shule. Ndo hoja yangu.

JF michango ya maana ni kuwa chadema any post against chadema si michango ya maana inabidi watu wajifunze na kuanzia sasa wapost michango yao na fikra zao kupinga serikali au kufagilia chadema au sio mkuu? inabidi tuwaweke wazi zaidi hawa waccm ili wajue nini lengo la JF 2010 au sio mkuu?
 
tatizo hapa sio waislamu au wakiristo ila ni maadili na utu wamtu!!! (moral and values) kama dr.slaa anazunguka ktk kampeni na mke wa mtu na mwenye mke kashafungua kesi mahakamani na slaa mwenyewe kakiri kuwa hakujuwa kama ni mke wamtu!! Sasa si amrudishe mke wa mtu? Naalipe fidia kwa muhusika ili yaishe? Na yeye aendelee na kampeni baada ya kutuomba radhi wananchi?

kama ataomba radhi basi ni haki yetu sisi binaadamu kumsamehe na kama anahitaji mke mbona wanaake wako wengu tena wazuri kuliko huyo josephina mushumbusi?

sasa wana chadema imebaki siku 28 tu tuingie uchaguzini sasa munachotetea ni nini? Yaani dr. Slaa aendelee kupiga kampeni huku analala na mke wa mtu!!! Hivi nyinyi hamjawahi kuwa na wake? Ukisikia tu mke wako amelala na mume mwingine siku moja tu, unaweza kujiua kama unampenda!! Sasa ikiwa anazunguka nae kila kona na kutangazia nchi nzima jamani eee huyu ndie mamsap wangu eee au first lady mtarajiwa eee!!! Unadhani wewe ungefanya nini!!!
 
Acha kuingiza mambo ya udini hapa!! Yakishika kasi hapatakalika oh!! Wala huyo jk wako hata tawala.
 
Inasikitisha kuona kuwa hadi leo hii watanzania wanashindwa kujua kuwa uongozi bora haupimwi kwa kiwango cha ngono bali uzalendo na uwezo wa kuongoza. Naomba kila mwanaume ajihoji mwenyewe kuhusu uhusiano wake na mke wake. Wachambuzi na wanafalsafa wa kale waliamini kuwa ukijali sana ndoa huwezi kuifikiria jamii pana zaidi ya kijiji chako. Sina shaka kuwa wale wanaolichukia taifa la Tanzania na kutaka liendelee kuwa hivi lilivyo ndio wanaoibua haya maswala ya ngono za Dr. Slaa. Mbona hmjawa na ujasiri wa kuhoji ngono za Kikwete? Au kwavile mnamlamba na yeye anawapa ushuzi wake mwashiba? Acheni unafiki huo, hebu tuyaangalie maisha ya mashujaa wa ulimwengu huu ambao nchi zap zinakumbuka michango yao na tulinganishe na maisha yao ya ndoa ndo tuone jinsi gani mnaohoji maisha ya ngono ya Dr Slaa yasivyo ya msingi. Angalia Mandela anavyoheshimika lakini ndoa yake je? Zuma ndoa yake je? Bill Clinton ndoa yake je? Sarkozy ndoa yake je, KUMBUKENI KUWA KIONGOZI WA TAIFA KAMA TANZANIA HAPOIMWI KWA WINGI WA MUDA ANAOUTUMIA KANISANI AU MSIKITINI BALI APIMWE KWA UWEZO WAKE WA KUPAMBANA NA MATATIZO YA WANANCHI. Hivi huyu Kiwete wenu ambaye amefikia hadi hatua ya kubinafsisha hadi chama cha Mapinduzi na kuwa mali ya familia ili aweze kuibinfsisha na nchi, mwamwona bora kuliko Slaa?Poleni sana Watanzania wenzangu msiotaka mabadiliko.

Kwani ni slaa peke yake ndio anaweza kuleta mabadiliko? hakuna vyama vingine? nini hasa kinakusukuma umpigie debe slaa? au wewe ni mtu wa kaskazini? je una udugu na slaa? maana nasikia kuwa viti maalum mwaka 2005 vilitolewa kwa familia moja nadhani wewe mwanachama hili unalijua. Na vipi mlimalizana na Zitto au bado? na lini Zitto ataambatana na slaa kwenye kuomba kura? maana yeye kama kaimu katibu mkuu ana nafasi kwenye ushawishi wa kampeni na nimeshangaa siku ile pale kibaha alipowapigia kampeni wagombea wa upinzani bila kubagua na kujua kuwa slaa kuingia ikulu ni ndoto za mchana japo si kosa kuota ndoto na wengi wenu humu mnaota sana kuliko kuona ukweli wa mambo.
 
Ni upungufu wa akili na uzembe wa kiufikiri kusapport chama fulani kwa misingi ya kidini!
 
Back
Top Bottom