Elections 2010 Wakili wa mdai wa Dr. Slaa ni mgombea udiwani wa CCM!

pcman

JF-Expert Member
Oct 9, 2008
742
186
Je wajua kwamba wakili A.Kitururu anaye mtetea Mporwa mke wa Dr Slaa ni mgombea udiwani wa CCM kata ya ubungo.Je CCM mnataka wananchi wajifunze nini?.
 
Du! ndo mana hakuwa na comfo bwana, inaelekea kalazimishwa na "mampira" hakuwa tayari kabisa!
 
Je wajua kwamba wakili A.Kitururu anaye mtetea Mporwa mke wa Dr Slaa ni mgombea udiwani wa CCM kata ya ubungo.Je CCM mnataka wananchi wajifunze nini?.
Credit to Royaroy.... na mahimbo ni mpiga kura wake!!!!
 
Unategenmea umakini kwa chama ambacho katibu mkuu wake ni makamba.?
 
Je wajua kwamba wakili A.Kitururu anaye mtetea Mporwa mke wa Dr Slaa ni mgombea udiwani wa CCM kata ya ubungo.Je CCM mnataka wananchi wajifunze nini?.
Ukijua huu wenzio wanajua ule..
 
Je wajua kwamba wakili A.Kitururu anaye mtetea Mporwa mke wa Dr Slaa ni mgombea udiwani wa CCM kata ya ubungo.Je CCM mnataka wananchi wajifunze nini?.

Hivi huyu bwana ameporwaje mke wake? Mimi bado hii kitu haijaingia akilini!
 
Je wajua kwamba wakili A.Kitururu anaye mtetea Mporwa mke wa Dr Slaa ni mgombea udiwani wa CCM kata ya ubungo.Je CCM mnataka wananchi wajifunze nini?.
Another great mistake kwenye anga za sheria hii itachukuliwa ni kesi ya kisiasa zaidi.
 
Hivi huyu bwana ameporwaje mke wake? Mimi bado hii kitu haijaingia akilini!

Afadhali umeuliza mkuu maana hata mimi ninavyojua mke wako siyo mali yako ni mwenza wako na ni binadamu aliyevuka umri wa miaka 18 hivyo ana uwezo wa kufanya maamuzi yake. Sasa ukisema kitu kuporwa ni kwamba kinachukuliwa kwa nguvu na kitu kinachoporwa hakina utashi wa kujua kinaporwa. Tukija kwa upande wa binadamu labda mtoto mchanga anaweza kuporwa lakini si mtu mzima mwenye akili zake timamu, unless anatekwa. Tamko kama hizi ni udhalilishaji wa wanawake na pia ni kudanganya umma kwani ni kitu ambacho hakiwezekani.
 
Hivi huyu bwana ameporwaje mke wake? Mimi bado hii kitu haijaingia akilini!

Mimi mpaka leo sijapata kuelewa kuporwa au kuchukuliwa mke/ mwenza inatokeaje maana nijuavyo mimi kama wote ni watu wazima basi wanakuwa wameridhia kufanya wanayotaka kufanya.

Kama mumeo au mke katoka na mtu mwingine basi kafanya hivyo kwa hiari yake. Sasa uibiwaji au uporwaji sijui unatokea wapi hapo....SMH
 
Si ndio nyinyi Wakristo munaosema ndoa hazivunjwi? Leo tena mambo yamekuwa vipi? Au mkuki kwa nguruwe lakini kwa binaadamu huwa mchungu?

Mimi nauliza tu jamani!!!!!!!!!!!!!
 
Mimi mpaka leo sijapata kuelewa kuporwa au kuchukuliwa mke/ mwenza inatokeaje maana nijuavyo mimi kama wote ni watu wazima basi wanakuwa wameridhia kufanya wanayotaka kufanya.

Kama mumeo au mke katoka na mtu mwingine basi kafanya hivyo kwa hiari yake. Sasa uibiwaji au uporwaji sijui unatokea wapi hapo....SMH
Soma maelezo yake hayo ss sijui ameporwa au mke alimkimbia..bado kuna mambo yamejificha hapo
 
Haya hapa maelezo yake kwa ufupi
Mahimbo alidai, ndoa kati yake na Josephine haijavunjwa na chombo chochote na kwamba, bado ni mke wake halali.

Kwa mujibu wa hati hiyo, Mahimbo alidai hivi karibuni, mkewe alikuwa na safari za mara kwa mara na aliamini ni za kikazi. Josephine ni mfanyabiashara ambaye anaendesha kampuni iitwayo Green World Clinic.

Alidai katika tarehe na mahali tofauti, Dk. Slaa alimtambulisha mwanamke huyo kuwa ni mkewe, suala ambalo si kweli.

Mlalamikaji huyo alidai, uhusiano uliopo kati ya watu hao wawili umemfanya adhalilike na kunyanyasika katika jamii na anaiomba mahakama kumzuia Dk. Slaa kuendelea kujihusisha kimahusiano na mkewe
.
Anaiomba mahakama kumwamuru Dk. Slaa kumlipa bilioni moja na kulipa gharama za kuendeshea kesi.
 
kaaaazi kwelikweli, kaporwa mke , ndo kajua sasa au keshapewa mshiko? si hasa za bongo bwana. nshachoka, natamani utawala wa kidikteta japo miezi sita watu wachapwe viboko ndo tutanyooka
 
Hapa Slaa hatoki kabisa ,hilo mliweke akilini labda wamhurumie tu ,na ndilo litakalo mfanya Slaa atulie hata akipigwa konzi ,ama kweli mtaka makuu ,jamaa ubunge haukumtosha ,hivi hii kesi itaunguruma lini ? Kuna hatari hapa mdai akataka Slaa asimamishwe kugombea uraisi mpaka kesi iishe ,LOL
 
Back
Top Bottom