Ukimaliza hii Makala lets share ule uzi wa siku ya kwanza kupanda ndege, Ushamba mzigo!!Hivyo mimi mwana jf mwezenu nilianza kukwea pipa at 8 years
Mkuu red label, umenikumbusha mbali na swali lako limenichekesha!. Kuna kitu kunihusu mimi, naomba nikiseme na naomba uniamini, maana kwa mtu wa kawaida ni ngumu kuamini!.Hongera sana Bro,nakukumbuka umepaki pikipiki yako nyeusi parking ya block F,ndani kuna Yule miss Tz nyuma ya Nancy sumari anatype assignment,ulimla!?
Upo sahihiNahisi baba yako alikuwa ni wale jamaa wa suti nyeusi, hizo ndio tabia zao, kwani ikitokea hawaelewi nyendo za mmoja wao kumpoteza huwa ni jambo la kawaida.