Nyaralego
JF-Expert Member
- Nov 13, 2007
- 732
- 28
wozup nyara
that weed that you are rolling is what's up!!!
wozup nyara
yeah nyara...Got a lil bit of Blueberry Yum Yumthat weed that you are rolling is what's up!!!
Watazania tuna upendo na ni watu wa amani. Upendo mkubwa kama wa Bwana YESU (KUFA KWA AJILI YA KULIPENDA KANISA) wa kuwapa kazi wenzako wewe ukaenda kufanya umachinga/kuzurula. UPENDO NA AMANI KWA WATZUnajua Mtu ukiwa n a akili ndogo unafikiri Luga ya mzungu ndio bora, hawa wakenya wana matatizo sana ya kujiona wao bora kwa sababu wanaongea luga ya mzungu.
Badala ya kujivunia Lugha yenu ya waafrika unajivunia lugha ya watu wa mbali kabisa ambao wala hawakuthamini. Hapa Tanzania wamejazana sana, na wanafanya kazi nyingi sana ambazo watanzania wanaziweza sana tatizo ni kwakuwa wao wanazungumza kiingereza vizuri zaidi ya watanzania wengi.
Kuna kampuni nyingi zinawafanyakazi wakigeni kuanzia Meneja ha messenger ni wakenya, wakati watanzania wengi wanasota mitaani bila kazi. Alafu hao wakenya wanaleta kejeli kupita kliasi kwa watanzania nadhani umefika wakati sasa serikali pamoja na wapenda haki wote kutolifumbia macho syuala hili.
Sidhani kama unaweza kwenda kenya ukakuta kampuni moja imeajiri watanzania watupu. Kitu kingine nadhani tuwe tunafanya usaili kwa watanzania kutokana na lugha anayoijua kwa ufasaha badala ya kutulazimisha tuongee kiingereza.
yeah nyara...Got a lil bit of Blueberry Yum Yum
Every society has its own lifestyle, languange, norms and traditions. You cannot pour your ill-conceived grievances on Kenyans due to their way of life!!! You must learn to live with other people. I have come to learn that Tanzanians have fear of learning new/foreign cultures. If you keep on being reserved as you are, trust me, you will have only yourself to blame. However, borrow and learn only good things from others. Secondly, respect other people's culture and way of life!

Chelea pina....!!ama wasemaje?