Wakenya wamezidi na Sheng' kiswahili

Unajua Mtu ukiwa n a akili ndogo unafikiri Luga ya mzungu ndio bora, hawa wakenya wana matatizo sana ya kujiona wao bora kwa sababu wanaongea luga ya mzungu.

Badala ya kujivunia Lugha yenu ya waafrika unajivunia lugha ya watu wa mbali kabisa ambao wala hawakuthamini. Hapa Tanzania wamejazana sana, na wanafanya kazi nyingi sana ambazo watanzania wanaziweza sana tatizo ni kwakuwa wao wanazungumza kiingereza vizuri zaidi ya watanzania wengi.

Kuna kampuni nyingi zinawafanyakazi wakigeni kuanzia Meneja ha messenger ni wakenya, wakati watanzania wengi wanasota mitaani bila kazi. Alafu hao wakenya wanaleta kejeli kupita kliasi kwa watanzania nadhani umefika wakati sasa serikali pamoja na wapenda haki wote kutolifumbia macho syuala hili.

Sidhani kama unaweza kwenda kenya ukakuta kampuni moja imeajiri watanzania watupu. Kitu kingine nadhani tuwe tunafanya usaili kwa watanzania kutokana na lugha anayoijua kwa ufasaha badala ya kutulazimisha tuongee kiingereza.
Watazania tuna upendo na ni watu wa amani. Upendo mkubwa kama wa Bwana YESU (KUFA KWA AJILI YA KULIPENDA KANISA) wa kuwapa kazi wenzako wewe ukaenda kufanya umachinga/kuzurula. UPENDO NA AMANI KWA WATZ
 
yeah nyara...Got a lil bit of Blueberry Yum Yum

What!!! I should have known...You don't just walk on the grass ehe?!!!

Do your thing bro, I ain't mad at ya!!! anything to keep sane in this insane world, ama wasemaje?

We cool now?
 
Kwa wakenya kiswahili hakiwezi kuwa straight kwa sababu ya lahaja yao ya makibila asili. ukiwasikiliza sana utagundua kwa wakuwa influenced na their mother tongue languages. Kiswahili wanajifunza juu juu tu. ilhali kwa Wa Tz nowdays kiswahili ndiyo lugha ya kwanza has akwa walio mijini.

Na hata walio mijini ukifika Dar wana maneno yao wanayotamka wakimaanisha kitu fulani. Ukoifika Mwanza wana yao, Ukifika Mtwara the same. Wakenya English ndiyo lugha inayowaunganisha kati ya waluo na wakikuyu, wamasai kalejin n.k n.k

'Leonard Mmabo mbotela alizoea kusema katika kipindi chake cha Je huu ni Uuungwana? kukosoa na kubeza lugh za watu ni uungwana kweli? eeehh wewe jaribu kukuza lugha yako badala kuanza kusema wenzio kuwa wana makosa katika lugha ya kiswahili kwani walizaliwa nacho kama wewe?? Je huu ni Uungwana kweli' (Just ajoke)
 
Every society has its own lifestyle, languange, norms and traditions. You cannot pour your ill-conceived grievances on Kenyans due to their way of life!!! You must learn to live with other people. I have come to learn that Tanzanians have fear of learning new/foreign cultures. If you keep on being reserved as you are, trust me, you will have only yourself to blame. However, borrow and learn only good things from others. Secondly, respect other people's culture and way of life!
 
HEALTHROW,
Big-up.
 
thanks bro, well said. As much as people try to portray Kenya and Kenyans as bad, as much as you try to discuss anything Kenyan with hate and all, what really matters is how Kenyans feel about the issues. I love sheng with a zeal, that's my first lingua, Its a blend of nearly all the native Kenyan language plus some foreign languages, Thats the language that many of us speak and all the teenagers identify with it, thus if you don't understand it, it was NEVER meant for you and your ilk.

Sheng is an urban culture, some Tanzanians try to speak it coz they think its cool (e.g Mheshimiwa Temba of TMK), and we have no problems with that. Just like Swahili is a mixture between Bantu languages and Arab(which is as foreign as can be), sheng is a mixture between Kenyan languages, English and Swahili. This is the new era mate, you better recognize or step aside.
 
Wakenya hawafai kulaumiwa hasa nikiwa mmoja wao kwa kenya kuna makabila 42 ilhali lugha ya Kisw hufunzwa kama lugha ya pili baada ya lugha ya mama
 
Back
Top Bottom