Wakati Umewadia wa kuondokana na Taboo za kisiasa

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
kwa muda wa miaka mingi hivi sasa kumekuwa na taboo inayoambatana na uonevu katika nafasi za uongozi, leo imefika wizara moja ya Mungano inawanyima na kuwabaguwa wasomi kutoka upande mmoja wenyeye Elimu na uwezo wa kuiongoza wizara ya mambo ya ndani na kuwapa watu wa sehemu mmoja kuiongoza wizara hiyo hata kama elimu zao na uwezo wao ni mdogo katika maeneo hayo, kwa mtazamo wa haraka utagunduwa wizara hii kama vile imeundwa maalum ili iwe ni wao tu wakuiongoza .huu ni ubaguzi ulio wazi kabisa tusiwe kimnya tena Tanzania.
 
Back
Top Bottom