Wakaka wote wa JF

Hivi mbona hakuna aliyetudediketia movie?

Basi napendekeza tuangalie ile " I think I love my WIFE" nadhani hii itakuwa nzuri kwa ladies pia
 
Hivi mbona hakuna aliyetudediketia movie?

Basi napendekeza tuangalie ile " I think I love my WIFE" nadhani hii itakuwa nzuri kwa ladies pia

Mi nadhani ya A FISH CALLED WANDA itatufaa zaidi!
 
Leo nimeamka na passion juu yenu, ninasikia kuwapenda sana leo kuliko siku zingine....I dedicate this day to you all, thank you for taking good care for all of us ladies wa JF, mmekuwa mkituchukulia kwa upole na kuonyesha ni kiasi gani mnatujali. Special thanks to Invisible (I love you so much) coz hujawahi kumpa BAN mdada yeyote,hata wewe Malaria Sugu umekuwa kizungumkuti lakini nakupenda pia....:kiss: :kiss: :kiss:
Ladies naomba mpendekeze wimbo wa kuwadedicatia our lovely brothers........

Good lady, I like it, BIG up and keep it up!
 
Nothing but Love Preta...

I have had a chance of meeting many JF members na pamoja na post nyingi tunazotuma, all of them have been very loving respecting and more important watu wenye maadili sana... sijawahi kukutana na incidence ya ajabu wala vituko nikiwa na wa-JF. All consultations tunazofanya kuhusu kazi na maendeleo zimezaa matunda na hakuna cha kuongeza... WE HAVE USED JF EFFECTIVELY HASA KWENYE MAENDELEO

nANI kama wadada wa JF?? always good advisors na wametuvumilia sana na valeur na red label zetu

Actually tungeweza kuifanya hii wiki iwe ya heshima upendo na amani kwa wana JF wote... ni wiki spesho sana kwa watanzania

Thanks a million Preta

Veery well said.....
Wish I had somethin to add there dude! But ntaharibu.....
Your words are soo inspirational and beautifully spoken....
Respect!
 
what do you think Kaizer???? offcourse they are nice, just trust me!!!!:kiss:

The thing is I have not been able to think the thinking, worrying for the unthinkable, unless you help me think otherwise?:kiss:

So for me to trust you....please do the needful...
 
The thing is I have not been able to think the thinking, worrying for the unthinkable, unless you help me think otherwise?:kiss:

So for me to trust you....please do the needful...

Chairman at work? Orait! Am outta here!
 
Mdogo wangu JS...

we appreciate our sisters alot, i know i can count on JF ladies nikiwa na raha au shida

Can i get Amen!!???

Amen broda Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen lol
 
The thing is I have not been able to think the thinking, worrying for the unthinkable, unless you help me think otherwise?:kiss:

So for me to trust you....please do the needful...
you can count on me for the help:kiss:, but always try to think twise in everything you do. sawasawa???????????
 
you can count on me for the help:kiss:, but always try to think twice in everything you do. sawasawa???????????

hahaha..Chloe.obrain...wewe upo KAFU? LOL

Thanks if I can COUNT ON Chloe...anotehr reason to work hard.....
 
A million thanks to you Preta for your kind appreciation well my suggestion is listen to this song "BUY ME A ROSE" by Luther Vandross ft Beyonce.
 
  • Hi Preta, thats good of you!
  • BTW, nimeshapokea TOKEN uliyomwagiza dereva wako, ambayo umeeleza wazi kwamba unanikabidhi mimi kwa niaba ya WAKAKA wote waJF!..GUYS out there, its a very good GIFT that we have received from this passionate girl!
  • Nitamkabidhi ACID aizungushe kwenu nyote mikoani, maana anakutana na almost 62% ya members!, then mwisho wa siku itabaki kwa Invisible!
  • Preta, thanx for at least airing out this heavy-weight congrats. Wengi tumekuwa tunataja watu wachache(egKaizer...Xpin...Acid,Finest, PakaJimmy,Teamo) kuwa tunawa-mind, but you have been exeptional and exclusive!
  • For that i love you, and continue going sweeter!
PJ, I am flattered...

Surely hii wiki Preta ameianzisha na chorus nzuri sana; inapunguza makali ya hasira za siasa zetu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom