Wakaka wote wa JF

Preta

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
24,323
18,793
Leo nimeamka na passion juu yenu, ninasikia kuwapenda sana leo kuliko siku zingine....I dedicate this day to you all, thank you for taking good care for all of us ladies wa JF, mmekuwa mkituchukulia kwa upole na kuonyesha ni kiasi gani mnatujali. Special thanks to Invisible (I love you so much) coz hujawahi kumpa BAN mdada yeyote,hata wewe Malaria Sugu umekuwa kizungumkuti lakini nakupenda pia....:kiss: :kiss: :kiss:
Ladies naomba mpendekeze wimbo wa kuwadedicatia our lovely brothers........
 
Nothing but Love Preta...

I have had a chance of meeting many JF members na pamoja na post nyingi tunazotuma, all of them have been very loving respecting and more important watu wenye maadili sana... sijawahi kukutana na incidence ya ajabu wala vituko nikiwa na wa-JF. All consultations tunazofanya kuhusu kazi na maendeleo zimezaa matunda na hakuna cha kuongeza... WE HAVE USED JF EFFECTIVELY HASA KWENYE MAENDELEO

nANI kama wadada wa JF?? always good advisors na wametuvumilia sana na valeur na red label zetu

Actually tungeweza kuifanya hii wiki iwe ya heshima upendo na amani kwa wana JF wote... ni wiki spesho sana kwa watanzania

Thanks a million Preta
 
Thanks...mi ntakuja kusimamia uchaguzi Yaeda chini kwa niaba ya mgombea wa TLP........

Jamani tuanze kuangalia tulipoweka vitambulisho vya kupiga kura

Preta, you are so LOVING......big up:kiss:
 
Nothing but Love Preta...

I have had a chance of meeting many JF members na pamoja na post nyingi tunazotuma, all of them have been very loving respecting and more important watu wenye maadili sana... sijawahi kukutana na incidence ya ajabu wala vituko nikiwa na wa-JF. All consultations tunazofanya kuhusu kazi na maendeleo zimezaa matunda na hakuna cha kuongeza... WE HAVE USED JF EFFECTIVELY HASA KWENYE MAENDELEO

nANI kama wadada wa JF?? always good advisors na wametuvumilia sana na valeur na red label zetu

Actually tungeweza kuifanya hii wiki iwe ya heshima upendo na amani kwa wana JF wote... ni wiki spesho sana kwa watanzania

Thanks a million Preta

Acid hapo kwenye blue hapo....panahusu sana.....
 
much love!......

mi naomba ukausikilize wimbo wa LIONE RICHIE unaitwa STUCK ON YOU
 
Thanks...mi ntakuja kusimamia uchaguzi Yaeda chini kwa niaba ya mgombea wa TLP........

Jamani tuanze kuangalia tulipoweka vitambulisho vya kupiga kura

Preta, you are so LOVING......big up:kiss:

karibu sana nyumba ni kubwa utapata pa kuishi kwa muda huo

 
Acid hapo kwenye blue hapo....panahusu sana.....
Mdogo wangu JS...

we appreciate our sisters alot, i know i can count on JF ladies nikiwa na raha au shida

Can i get Amen!!???
 
Naomba wimbo wa "Tanzania, Tanzania, nakupenda kwa moyo wote ........................."
 
I must be crazy now
Maybe I dream too much
But when I think of you
I long to feel your touch

To whisper in your ear
Words that are old as time
Words only you would hear
If only you were mine

I wish I could go back to the very first day I saw you
Should've made my move when you looked in my eyes
'cause by now I know that you'd feel the way that I do
And I'd whisper these words as you'd lie here by my side

I love you, please say
You love me too, these three words
They could change our lives forever
And I promise you that we will always be together
Till the end of time

So today, I finally find the courage deep inside
Just to walk right up to your door
But my body can't move when I finally get to it
Just like a thousand times before

Then without a word he handed me this letter
Read I hope this finds the way into your heart, it said

I love you, please say
You love me too, these three words
They could change our lives forever
And I promise you that we will always be together
Till the end of time

Well maybe i, I need a little love yeah
And maybe i, I need a little care
And maybe i, maybe you, maybe you, maybe you
Oh you need somebody just to hold you
If you do, just reach out and I'll be there

I love you, please say
You love me too
Please say you love me too
Till the end of time
These three words
They could change our lives forever
And I promise you that we will always be together

Oh, I love you
Please say you love me too
Please please
Say you love me too
Till the end of time
My baby
Together, together, forever
Till the end of time
I love you
I will be your light
Shining bright
Shining through your eyes
My baby:A S kiss::A S kiss::A S kiss:
 
Wiki ya uchaguzi naona imetuanzia vzr sana sisi akina kaka/baba. Kwa sapoti yenu akaina dada/mama inshalah dr ataibuka kidedea! Sijui nimetoka kwenye mada!
 
Hata mimi nawapenda madem wote humu. Kwanza mna heshima kibao halafu mnatuaappreicate sana, kisha mnarock . Mcheki FL, Maria Rosa , Preta, JS and many more. Thanks for loving us.
 
so this is WEEK OF PEACE...km ile ya onkoko?
BASI WAPATE MIDUNDO YA BOBY MARLEY
ndo dedication inayowafaa hawa wakaka
lively up yourself
keep on moving
satisfy my soul

KENNY ROGERS
buy me a rose
lucille
 
  • Leo nimeamka na passion juu yenu, ninasikia kuwapenda sana leo kuliko siku zingine....I dedicate this day to you all, thank you for taking good care for all of us ladies wa JF, mmekuwa mkituchukulia kwa upole na kuonyesha ni kiasi gani mnatujali. Special thanks to Invisible (I love you so much) coz hujawahi kumpa BAN mdada yeyote,hata wewe Malaria Sugu umekuwa kizungumkuti lakini nakupenda pia....:kiss: :kiss: :kiss:
    Ladies naomba mpendekeze wimbo wa kuwadedicatia our lovely brothers......
  • Hi Preta, thats good of you!
  • BTW, nimeshapokea TOKEN uliyomwagiza dereva wako, ambayo umeeleza wazi kwamba unanikabidhi mimi kwa niaba ya WAKAKA wote waJF!..GUYS out there, its a very good GIFT that we have received from this passionate girl!
  • Nitamkabidhi ACID aizungushe kwenu nyote mikoani, maana anakutana na almost 62% ya members!, then mwisho wa siku itabaki kwa Invisible!
  • Preta, thanx for at least airing out this heavy-weight congrats. Wengi tumekuwa tunataja watu wachache(egKaizer...Xpin...Acid,Finest, PakaJimmy,Teamo) kuwa tunawa-mind, but you have been exeptional and exclusive!
  • For that i love you, and continue going sweeter!
 
Thanks Preta for bringing this up..... Surely JF Brothers are more than Brothers to Us. We appreciate their Love and Care for us and we do love and care about you guys ..... sana tu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom