Hata kama ni kwa leo tu hii imetulia!Kwa hiyo kesho hutatupenda? hii ni kwa leo tu?
Mayenga vipi unatafuta mchumba?Jamani sawa twawapenda madada zetu.Ila ambao mko single tuambiaeni.
Thanks Much dude... i appreciate itVeery well said.....
Wish I had somethin to add there dude! But ntaharibu.....
Your words are soo inspirational and beautifully spoken....
Respect!
Mayenga vipi unatafuta mchumba?
Hivi mbona hakuna aliyetudediketia movie?
Basi napendekeza tuangalie ile " I think I love my WIFE" nadhani hii itakuwa nzuri kwa ladies pia
Leo nimeamka na passion juu yenu, ninasikia kuwapenda sana leo kuliko siku zingine....I dedicate this day to you all, thank you for taking good care for all of us ladies wa JF, mmekuwa mkituchukulia kwa upole na kuonyesha ni kiasi gani mnatujali. Special thanks to Invisible (I love you so much) coz hujawahi kumpa BAN mdada yeyote,hata wewe Malaria Sugu umekuwa kizungumkuti lakini nakupenda pia....:kiss: :kiss: :kiss:
Ladies naomba mpendekeze wimbo wa kuwadedicatia our lovely brothers........
Mi nadhani ya A FISH CALLED WANDA itatufaa zaidi!

Au je waijua jinsia ya Acid? Maana hapo umesema ladies lakini yeye kapendekeza wimbo mie najua ni HE ila kwa kupendekeza kwake wimbo na ombi lako kwa wadada nashindwa kuelewa ana jinsia gani?Leo nimeamka na passion juu yenu, ninasikia kuwapenda sana leo kuliko siku zingine....I dedicate this day to you all, thank you for taking good care for all of us ladies wa JF, mmekuwa mkituchukulia kwa upole na kuonyesha ni kiasi gani mnatujali. Special thanks to Invisible (I love you so much) coz hujawahi kumpa BAN mdada yeyote,hata wewe Malaria Sugu umekuwa kizungumkuti lakini nakupenda pia....:kiss: :kiss: :kiss:
Ladies naomba mpendekeze wimbo wa kuwadedicatia our lovely brothers........
dude... yule hakua mwana JF... umesahau aisee, halafu sio mdada bana, mbona unataka kumuudhi n'tu wetu?Hapo kwenye bold...are you sure? Hata mimi? Kama ni kweli basi USINIHAMISHE MEZA tena tafazali.
NGUMI JIWE!:frusty::frusty::frusty:
heheheeee...Au je waijua jinsia ya Acid? Maana hapo umesema ladies lakini yeye kapendekeza wimbo mie najua ni HE ila kwa kupendekeza kwake wimbo na ombi lako kwa wadada nashindwa kuelewa ana jinsia gani?