Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 9,758
- 15,022
hujambo dear ,sio kwangu aisee
Mie nipo, hujambo wewe hebu siku moja anzisha thread ya sifa za mwanaume unayemtaka maana unatukosoa mpaka basi
hujambo dear ,sio kwangu aisee
weeee watu wa kaunta wana akili balaaa weeee achana nao kabisa wale ndo wanaume sasaUna bahati hakuna sehemu uliyoiongelea biya wala bange. Ningekupa za uso.
Uzoefu unaonyesha mashori wanawaangukia sana wapiga kilauri (Biya + nyagi + valuu) na wapiga msuba.
Smile kalithibitisha hapa....! GOOD GIRL!
1. Halalamiki. . .
2. Havuti sigara. . .anachukia hata akiona mtu anavuta.
3. Hapigi mizinga. . .
4. Hana dharau. . .
5. Sijaona uongo uongo. . .
6. Haongei sana. . .
7. Sio demanding. .
8. Sio bahili. .
Ila ni kicheche je anafaa kuwa mke??
weeee watu wa kaunta wana akili balaaa weeee achana nao kabisa wale ndo wanaume sasa
Ambia mods waweke kale kabatan katukufu ka LIKE kwenye mobile version bana. Mi nataka kukugongea kwenye hii yuziful post.
Kunywa biya kwa maendeleo ya Taifa, na ujenge heshima ya kijinsia.
mtu na laga zake anaweza kujidhalilisha kwa kiburudisho chake kitukufu eti mama mkwe bati limechukuliwa na upepo rombo.Ambia mods waweke kale kabatan katukufu ka LIKE kwenye mobile version bana. Mi nataka kukugongea kwenye hii yuziful post.
Kunywa biya kwa maendeleo ya Taifa, na ujenge heshima ya kijinsia.
kongosho unajua fyatanga ndo mtaani kwangu hapo chukua bodaboda waambie wakulete ununio hapa
Canta anafaidi sana...muulize atakuambia!!acha ubahili dear canta atakukimbia
My dia Smile,acha ubahili dear canta atakukimbia
Sio siri nafaidi na kufurahia maisha himayani mwako Darling!Canta anafaidi sana...muulize atakuambia!!
Naona unaanza kututafuta uchokozi humu jamvini. Humjui rejao ee!!
Lzm kuna vitu hukumjulia tu,heri yako mi sikuambulia chochote hata maji ya kunywa
Labda unaweka cards on the table hili muweze kusaidiana kutatua hizo shida, (would you rather have someone ambae hakwambii kitu anakufa kimoyoyo, all of a sudden unakuja kugundua kwamba maji yameshafika shingoni too late...Kwa tabia hizi za rejareja jumlisha na zile za jumla mfanoumalaya hutopata mwanamke mwenye akili labda kilaza mwenzio
1- kulalamika kila siku shida
vipi ukipata chain smoker mwenzako, hapa cha maana ni busara kutokufanya kile ambacho wenzako hawapendi mbele zao (furaha yako isiwe karaha ya mwenzako) na kama mwenzako havuti kuwa msafi sio kunuka sigara na mdomo
2 kuvuta sigara.,.
3 kupiga mizinga
Dia kuna mshikaji ananidai laki tatu.... mwenye nyumba nae anasumbua plse nisaidie nitakurudishia.
Hapo unajidhalilishani jinsi gani ulivo irresponsible mwanaume unakosa hata kodi ya nyumba ,utakuwa baba gani wa familia.......
3 dharau
Kukashifu marafiki wampenzi wako , ooh rafiki yako Yule simpendi ana vimiguu kaa kijiti daah ulionaje?
Who are you ? unajua katoka nao wapi? Acha…
Uongo wa kitoto ambao haujengi haufai ila ukweli unaoharibu pia nuksi.., so sometimes white lies help (mfano umependeza sana duh wewe mzuri kuliko wanawake wote.., sijawahi kumpenda mwingine kama wewe n.k.)4 uongo
Kila kitu fix, kila kitu unajua , kila kitu unaweza .....
Hata sahihi yaikulu unaweza kupiga ,pinda mjomba wako .makinda shemeji yako.... manji mshenga wa baba yako ptuuuuuuu....
Different strokes for different folks.. (I agree its not my cup of tea) lakini wengine wanapenda waongeaji usipoongea inakuwa kero kwao5 kuongea sana utadhani mtu kala cd anabadili topic kama hana akili nzuri
Am allergic kwa kweli sipendi makasuku mimi be gentlepls
wengine usipoonyesha wivu wanasema hujali na huwapendi
7 too demanding
Maswali maswali utadhani ni interview na obama au ni ya kuingia mbinguni
Unalipwa sh ngapi job kwenu?..oooh Nani kakupigia simu jana simu yako ilikuwa busy. sina ndugu / wazazi au nimeshuka tokambinguni?
Kutoa kama vile una alergic na pesa ni ulimbukeni, common sense prevail unatoa ukiwa nazo na unatoa kwenye special occasions, having good times or investments8 ubahili
Toa toa toaubarikiwe,unabaaaana kama ccm igunga?