wakaka tunaendelea Kwa tabia hizi hutopata mwanamke mwenye akili

yaani wengi sana the boss can u imagine mtu kjajitoa mhanga anadate na mume wa mtu
anapigwa mzinga eti mamamkwe mgonjwa ... ajatulia watoto wanadaiwa ada darling nilipie muhula huu....
sijui tunaelekea wapi?

Hahaa Smile bana kama umejitoa muhanga lazima uumie tu, kwa hiyo kupigwa vibomu sio ishu. ndo maana wale wenzetu kule palestina wanajitoa muhanga sina wanapata vilema au wanakufa, kwa hiyo kila jambo lina faida na hasara zake..
 
kaka hichi kizazi cha dot com hakina aya .wanakufanya atm kabisa ukilemaa
kuhusu mume mimi niko simple sana sema nina ishi kwa principles zangu sipendi upuuzi kwa kweli
maisha ni haya haya

Yeah naelewa tatizo lililopo na sio hata kwa mtu na mpenziwe tuu
Hata marafiki wa kawaida unaweza shangaa unatumiwa msg za please recharge me au nitumie vocha au leo nimeuwawa naomba unisaidie
Ukijiuliza maswali unashindwa kupata jibu na unakuta ni just a friend wala hamna urafiki wa kihivyoooo
 
umeona kaka eeeh mimi nikisema mnaniona mbaya kuna mambo ya hivo kama sio ukilazaz jamani shida zipo toka zamani kuna jinsi ya kuzitatua loh sio kiivo bwana weeeeee
 
yaani wengi sana the boss can u imagine mtu kjajitoa mhanga anadate na mume wa mtu
anapigwa mzinga eti mamamkwe mgonjwa ... ajatulia watoto wanadaiwa ada darling nilipie muhula huu....
sijui tunaelekea wapi?

Kama kuna mwanaume sampuli hii, basi huyo amepitiliza! Kwanza hana mshipa wa aibu na hustaili kumsikiliza. Sasa mtu amezaa watoto halafu anategemea mizinga kuwapeleka shule!!! Kule kweli mwanaume kama huyu ni chakula ya nguruwe coz hana faida kwa jamii bali anaongeza mateso
 
KAWANZA namba 3 umerudia mara mbili........pili......hayo ni kwa mujibu wa mawazo yako binafsi na wala sio uhalisia......mapenz undifined,utamkta mwanamke educated na very bright bado anampenda mtu na kuishi na mtu mwenye baadhi ya hizo tabia........KAJIPANGE NA URUDI TENA KESHO MAAPEMA SANA!!!!
 
watu wamekaa kitapeli tu siku hzi heri niwe peke yangu.kumegwa nimegwe na hela nitoe weeeeeeee never
 
Poa poa kaka, naona SMILE kasahau ule msemo Kugawana ni Kujali

Hahahaha
mkuu kuna kugawana kunakozalisha umaskini kabisa
Yaani unajikuta unatumia zaidi ya kile ambacho wewe unatumia kwa ajili ya kuwafadhili hao wachunaji

umeona kaka eeeh mimi nikisema mnaniona mbaya kuna mambo ya hivo kama sio ukilazaz jamani shida zipo toka zamani kuna jinsi ya kuzitatua loh sio kiivo bwana weeeeee

Yaani Smile unajiuliza maswali mengi sana
Je hii ndiyo dhima au maana ya urafiki
Je ushkaji tuu umekuwa hivi je angekuwa ndio best friend ingekuwaje
Sometime na wewe unaishia kumwambia na mimi nimeuwawa mbaya may be tuangalie siku nyingine
 
KAWANZA namba 3 umerudia mara mbili........pili......hayo ni kwa mujibu wa mawazo yako binafsi na wala sio uhalisia......mapenz undifined,utamkta mwanamke educated na very bright bado anampenda mtu na kuishi na mtu mwenye baadhi ya hizo tabia........KAJIPANGE NA URUDI TENA KESHO MAAPEMA SANA!!!!
una bahati umempata anaekukubali hivo bwana ila sio fresh ujue
 
Kwa tabia hizi za rejareja jumlisha na zile za jumla mfanoumalaya hutopata mwanamke mwenye akili labda kilaza mwenzio
1- kulalamika kila siku shida
Dada yangu mgonjwa...mama yangu yupo kijijini bati limechukuliwa na upepo,…shangaziyangu kafukuzwa na mume… yaani kila saa kulalamika
Please stop that kila mtu ana shida na kwa vile hata huyo mwanamke hawezi kukusaidia ni boratu ukae nayo moyoni
Mmekutana ni kwaajili ya mapenzi hayo mengine pls keepthem for u a self

2 kuvuta sigara.,.
mpo sehemu mtu anatoa minyota mimoshi hata hamuonani jamani khaaa Dah mbona tunatafutiana mafua? heri ninyamaze tu nisilambe ban bure
Pls stop

3 kupiga mizinga
Dia kuna mshikaji ananidai laki tatu.... mwenye nyumba nae anasumbua plse nisaidie nitakurudishia.
Hapo unajidhalilishani jinsi gani ulivo irresponsible mwanaume unakosa hata kodi ya nyumba ,utakuwa baba gani wa familia.......
Keep it for u a self
3 dharau
Kukashifu marafiki wampenzi wako , ooh rafiki yako Yule simpendi ana vimiguu kaa kijiti daah ulionaje?
Who are you ? unajua katoka nao wapi? Acha…

4 uongo
Kila kitu fix, kila kitu unajua , kila kitu unaweza .....
Hata sahihi yaikulu unaweza kupiga ,pinda mjomba wako .makinda shemeji yako.... manji mshenga wa baba yako ptuuuuuuu....
Upuuzi mtupu

5 kuongea sana utadhani mtu kala cd anabadili topic kama hana akili nzuri
Am allergic kwa kweli sipendi makasuku mimi be gentlepls

7 too demanding
Maswali maswali utadhani ni interview na obama au ni ya kuingia mbinguni
Unalipwa sh ngapi job kwenu?..oooh Nani kakupigia simu jana simu yako ilikuwa busy. sina ndugu / wazazi au nimeshuka tokambinguni?
Acheni hizo

8 ubahili
Toa toa toaubarikiwe,unabaaaana kama ccm igunga?
Narudi kuendelea ……….

najua point uyako ya msingi ilkuwa ni namba 8..kaz ipo
 
[

Yaani Smile unajiuliza maswali mengi sana
Je hii ndiyo dhima au maana ya urafiki
Je ushkaji tuu umekuwa hivi je angekuwa ndio best friend ingekuwaje
Sometime na wewe unaishia kumwambia na mimi nimeuwawa mbaya may be tuangalie siku nyingine[/QUOTE]

inabidi sasa kabla watu hawajaanza urafiki kuwepo na memorandum itakayoguide ni nini cha kuambiana kwa wakati flani
sio leo mmetongozana unaletewa bill ya tanesco na maji jamani
 
[

Yaani Smile unajiuliza maswali mengi sana
Je hii ndiyo dhima au maana ya urafiki
Je ushkaji tuu umekuwa hivi je angekuwa ndio best friend ingekuwaje
Sometime na wewe unaishia kumwambia na mimi nimeuwawa mbaya may be tuangalie siku nyingine
inabidi sasa kabla watu hawajaanza urafiki kuwepo na memorandum itakayoguide ni nini cha kuambiana kwa wakati flani
sio leo mmetongozana unaletewa bill ya tanesco na maji jamani[/QUOTE]

Kweli kabisa
Maana kuna wengine leo tuu mmefahamaniana kesho yake unaletewa sms ya please recharge me
 
inabidi sasa kabla watu hawajaanza urafiki kuwepo na memorandum itakayoguide ni nini cha kuambiana kwa wakati flani
sio leo mmetongozana unaletewa bill ya tanesco na maji jamani

Kweli kabisa
Maana kuna wengine leo tuu mmefahamaniana kesho yake unaletewa sms ya please recharge me[/QUOTE]ahahaaa utapeli nje nje
 
Una bahati hakuna sehemu uliyoiongelea biya wala bange. Ningekupa za uso.

Uzoefu unaonyesha mashori wanawaangukia sana wapiga kilauri (Biya + nyagi + valuu) na wapiga msuba.

Smile kalithibitisha hapa....! GOOD GIRL!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom