wakaka tunaendelea Kwa tabia hizi hutopata mwanamke mwenye akili

umenifurahisha sana hapo kenye red
Kwa tabia hizi za rejareja jumlisha na zile za jumla mfanoumalaya hutopata mwanamke mwenye akili labda kilaza mwenzio
1- kulalamika kila siku shida
Dada yangu mgonjwa...mama yangu yupo kijijini bati limechukuliwa na upepo,…shangaziyangu kafukuzwa na mume… yaani kila saa kulalamika
Please stop that kila mtu ana shida na kwa vile hata huyo mwanamke hawezi kukusaidia ni boratu ukae nayo moyoni
Mmekutana ni kwaajili ya mapenzi hayo mengine pls keepthem for u a self

2 kuvuta sigara.,.
mpo sehemu mtu anatoa minyota mimoshi hata hamuonani jamani khaaa Dah mbona tunatafutiana mafua? heri ninyamaze tu nisilambe ban bure
Pls stop

3 kupiga mizinga
Dia kuna mshikaji ananidai laki tatu.... mwenye nyumba nae anasumbua plse nisaidie nitakurudishia.
Hapo unajidhalilishani jinsi gani ulivo irresponsible mwanaume unakosa hata kodi ya nyumba ,utakuwa baba gani wa familia.......
Keep it for u a self
3 dharau
Kukashifu marafiki wampenzi wako , ooh rafiki yako Yule simpendi ana vimiguu kaa kijiti daah ulionaje?
Who are you ? unajua katoka nao wapi? Acha…

4 uongo
Kila kitu fix, kila kitu unajua , kila kitu unaweza .....
Hata sahihi yaikulu unaweza kupiga ,pinda mjomba wako .makinda shemeji yako.... manji mshenga wa baba yako ptuuuuuuu....
Upuuzi mtupu

5 kuongea sana utadhani mtu kala cd anabadili topic kama hana akili nzuri
Am allergic kwa kweli sipendi makasuku mimi be gentlepls

7 too demanding
Maswali maswali utadhani ni interview na obama au ni ya kuingia mbinguni
Unalipwa sh ngapi job kwenu?..oooh Nani kakupigia simu jana simu yako ilikuwa busy. sina ndugu / wazazi au nimeshuka tokambinguni?
Acheni hizo

8 ubahili
Toa toa toaubarikiwe,unabaaaana kama ccm igunga?
Narudi kuendelea ……….
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom