Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,312
- 10,494
Seal team six ni branch ya US Special Naval operation iliyoanzishwa mwaka 1987. Ni team inayoundwa na makomandoo waliowekwa tayari kwa ajili ya special missions ambazo huwa ni high risky. Hawa jamaa wametrainiwa kuweza kuingia ktk high risk areas kama counter terrorism, serving hostages under high security system, ku-operate ktk strong and extra guided areas au highly technological guided places, kupambana na highly skilled enemy commandos n.k.
Team hii ndo iliyotumika kumuua gaidi namba 1 wa karne yetu Osama bin Laden huko Abotabard Pakistan.
Hebu tupanue ufahamu;
1. Je, Tanzanian commandos nao wako trained ktk viwango vya Team seal 6?
2. Hawa jamaa wana kipi zaidi cha kuwafanya wawe in high rank of commandos in the world?
3. Ni technolojia gani wanazo seal 6 zinazowatofautisha na wengine?
4. Can Tanzanian perform duties wanazoperfom seal 6?
5. Yapi malengo zaidi ya hii team adimu kabisa ulimwenguni na ni zipi extra training wanazo zaidi ya wenzao ulimwenguni?
Tiririka ujuaye ili wana-JF tujifunze zaidi.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums