Wajue Seal Team Six- Je, Tanzania tuna team kama hii?

Hivi kipimo cha kuwahakiki makomando huwa ni kipi zaidi?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Their ability to execute dangerous mission quickly and successful...of course the use of technology is part and parcel of the well being of the mission. But their physical ability is not something to dispute
 
Kwanza kabisa lazima ujue kuwa huwezi kuwa komandoo pasipokumaliza mafunzo ambayo std yk NI world over.
Ndio Maana utakuta mwingine Ana bawa kamili mwingine nusu bawa kifuani,.
Mission yyt inasucceed unapokuwa Na up to a minute information, Sasa Kwa kuwa wenzetu wanavifaa vinavyowawezesha kuwa Na information za current Ndo Maana unackia wanasucceed.
Failure mission zao zinatokana Na kuwa misinformed.
Amini kabisa seal NI Jina tu Na ht sisi majeshini Yapo, usiri wetu unakufanya uhisi hatuna watu km hao
 
Kuna komando mmoja pale Msamvu round about Morogoro alichelewa basi la Dodoma akalikuta moja ndo liko in motion karib na round about, aliruka ka paka na akapitia vidirisha vidogo vya juu ya vioo vya basi akatokezea ndani, dreva alipaki gari kwa kiwewe!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

Hahahahah acha uongo wewe.
 
Ndio wapo, Si wale waliomng'oa Meno Dk. ulimboka, na waliomtoa macho Kibanda
 
Hao US Navy Seal ni Warembo tu. Kutana na British Commandos ndo utaelewa the most efficient Special force in the world.
 
Technologia (Technology) is the application of science knowledge for practical purposes....hii ndiyo maana yake.

Sasa unaposema majeshi yetu ni bora lakini technologia ndiyo inayotusumbua ....huo ubora unatoka wapi wakati elimu ya science ya masuala ya usalama tunasumbuka kuitumia....!?

Anamaanisha tupo bora Manually
 
Kama walitumwa kumuua na wakafanikiwa kufanya hivyo why unasema hawakufanikiwa?

mission ile haikufanikiwa kwani walimkosa jamaa,walipotoka somalia on the same mission walienda Libya wakafanikiwa kumkamata jamaa ambaye inasemekana ana uhusiano na Al qaeda
 
hebuntuambie missions walizofanya na wakafinikiwa sana

Nyingi tu but recently ni:
Osama Bin Laden
Somali's pirates na sasa hawaziteki meli zenye bendera ya USA

Operation za zamani:
Kumkamata Rais wa Panama Noriega
Kulinda interest za USA abroad
 
Nyingi tu but recently ni:
Osama Bin Laden
Somali's pirates na sasa hawaziteki meli zenye bendera ya USA

Operation za zamani:
Kumkamata Rais wa Panama Noriega
Kulinda interest za USA abroad

nazungumzia hao makomandoo wa Uingereza kwamba ndio wenye ubora zaidi kuliko wengine
 
Tanzania tuna makomandoo hao seal ni cha mtoto. Usione hollywood wana "dramatize", waoga hao kuliko fisi.
 
Kwanza kabisa lazima ujue kuwa huwezi kuwa komandoo pasipokumaliza mafunzo ambayo std yk NI world over.
Ndio Maana utakuta mwingine Ana bawa kamili mwingine nusu bawa kifuani,.
Mission yyt inasucceed unapokuwa Na up to a minute information, Sasa Kwa kuwa wenzetu wanavifaa vinavyowawezesha kuwa Na information za current Ndo Maana unackia wanasucceed.
Failure mission zao zinatokana Na kuwa misinformed.
Amini kabisa seal NI Jina tu Na ht sisi majeshini Yapo, usiri wetu unakufanya uhisi hatuna watu km hao

Una ujumbe mzuri. Ila kwa uandishi huu inatuwia ngumu kidogo kama katika jukwaa hili mambo ya fesibuku yapo!!! skills za uandishi hasa matumizi ya nukta, mkato na aya vitakusaidia sana muda mwingine.
 
Some of these stories...haaahaaa! Jeshi letu ni moja ya majeshi bora kabisa duniani. Inawezekana technologia tu ndio inayotusumbua kwa sasa ila sio uwezo wa rasilimali watu. We have the best trust me.

Mh ndugu yangu bora ukae kimya, kwani kuna mambo ukija kuyagundua hutotamanai hata kuishi hii nchi. usijiaminishe kwa zile details za kwenye Google na mtandao wa World Armies. Kuna makorokocho ambayo huwezi kuamini kama yapo
 
Hivi kwanini tuna jeshi letu la ulinzi? Mana lengo la jesho letu sio lazima iwe lengo la USA au Israel.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom