princess enny
JF-Expert Member
- May 27, 2012
- 1,038
- 379
Uuuuwiiii!! umeniacha hoi!!!! MKATA KIU ni heri ukamwambia mtu ukweli kulliko kumpa anachotaka afu ukakereka moyoni yani hata kwa mungu haifai!! tenah bora umnyime mtu anachotaka ukampa na makavu yake yakimuuma shauri yake!!b.we.ge kabisa,kwanini usiwaambie unaogopa nin,unajiskiaje mwenzio anashida alafu wewe unafuja hela kwenye pombe na kuhonga wanawake?je kama umeona hana kazi kwanini usimfundishe kuvua samaki pale anapokuja kuomba samaki?acha ubinafsi,hapo ulipofika kunawatu walijinyima kwa namna moja au nyingine hadi ukawa hapo ulipo.upo hapo kwa neema ya Mungu si kwa uwezo wako.shen..zi kabisa.alafu siku nyingine usilete pumba zako hapa chitchat.kumbuka
BLASSED IS THE HAND THAT GIVES THAN THE ONE THAT TAKES- by Luck dube
jaribu kuwa muwazi ka kitu usichokipenda!!
Last edited by a moderator: