Wajua jinsi ya kumdhibiti mpenzi anayepiga mizinga?

Kama huna ubavu wa kuihimili mizinga hiyo...Sepa haraka sana, vinginevyo acha alichune buzi kwa raha zake.

ni mwez wa3 tangu nilipokutana na huyu dem bt tatzo ni tabia yake ya kupiga mizinga ndyo inayoniboa,,mwanzon nilidhan ni jambo la kawaida ila kwa sasa imekuwa 2much.....naomba ushauri wana jf
 
to every action there there's an equal and opposite reaction....this's Newton's third law of motion which also applies in other stuff i.e love
kama hiyo mizinga huwezi vumilia kimbia faster maana unaweza pigwa kitu cha Hiroshima ukabakia fuvu tu.
 
Madem wengine wamezidisha njaaa k yenyewe anatoa kwa manati mizinga kibao tena wachuo ndo balaa anakwambia kala ada wakat anakula ada ukua nae saiz anataka umpe njaa njaa njaaa tu.
 
Reading between the lines inaonekana Mkuu umekolea tatizo ni hyo mzinga. Waswahili husema, ''ukipenda boga upende na maua yake''. Vumilia,utafanyaje sasa?
 
ni mwez wa3 tangu nilipokutana na huyu dem bt tatzo ni tabia yake ya kupiga mizinga ndyo inayoniboa,,mwanzon nilidhan ni jambo la kawaida ila kwa sasa imekuwa 2much.....naomba ushauri wana jf

hahahahaha mwambie anipm kama amekushinda sisi tuhudumie,unataka akamuombe baba ake ama?
 
Madem wengine wamezidisha njaaa k yenyewe anatoa kwa manati mizinga kibao tena wachuo ndo balaa anakwambia kala ada wakat anakula ada ukua nae saiz anataka umpe njaa njaa njaaa tu.
Tena hao wanachuo ndio balaa ukiingia kichwakichwa unafilisika.
 
usilalmike kaka wewe ulimuingilia kwa gia gani? Maana kama ulijifanya unazo sasa hivi usianze kulalamika, kaa nae chini mweleze hali yako halisi na maisha yanavyoenda
 
Tit for tat is a fair game! Kama na wewe unataka k kila wakati what do u expect? Pole!

kwani biashara? k bila m atapata raha wapi? raha tunapata wote.........bora ungesema jamaa nae ampiga mizinga, au aikamue aka amtumie ipasavyo asimuachie hata pumzi ili aone raha ya mizinga yake
 
familia nyingi za kiafrica ziliendekeza hii dhana ya mwanamke kujitokujitegemea na kudai eti mwanamke kazi yake ni kukaa tu na kusubiri aletewe nyumbani, utakuta binti wa miaka 18 hata kurudishia mteja chenji hajui, hii inasababisha wawe tegemezi kwa sababu toka mwanzo aliambiwa wewe utaenda kutunzwa na mume wako, hivyo basi haya mapambano yameshaanza na yameshaanza kuzaa matunda na ukweli alibahatika kuelewa ubaya wa kuwa tegemezi huwa ni hodari sana wa kupangilia mambo yake hasa ya kutunza familia? kuna wadada wengi na mama zetu bila wao watoto wawezi kwenda shule au mkono hauwezi kwenda kinywani, wewe unazungumzia sana student ambao wamezid kuomba chips mayai kwisha, pamoja na mashobaro wanaendekeza kutunzwa na majimama wa mjini waliojua umuhimu wa kutafuta. mwisho niseme kwamba sio wadada tu ni tegemezi bali hata wanaume siku hizi wamezidi na kadiri mnazidi kuwasema wanawake kuwa ni tegemezi baada ya miaka 100 ijayo wanaume watakuwa wanaongoza kuwa tegemezi.
 
Back
Top Bottom