Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,618
Sawa...Note: Pesa hizo zitatumika kujengea msikiti...
.

Wivu ni mbaya sana. sijawahi kuona mtu anayetesa watu kama Lowassa. Taifa hili sasa limekaa kimya na kuangalia mafuriko ya Rais 2015 itakavyokuwa. La pili, Tuhuma za Lowassa si Tuhuma bali ni chuki na Hila dhidi ya uwaziri mkuu na nafasi ya sasa anayoihitaji. Ni juzi Ikulu imewasafisha watu (mawaziri ) waliohusika na sakata la escrow. kwa nini ikulu haijawahi kumsafisha Lowassa au kumpeleka mahakamani au kuitwa katika kamati ya maadili ya umma na matokeo yake ni baadhi ya watu wasiokuwa na mvuto kwa watu kuendelea kwa hila kwa lowassa hafai kwa sababu mbalimbali zikiwepo oooh baba wa taifa alisema lowassa hawezi kuwa rais, oooh anatuhuma za ufisadi, oooh ni mgonjwa(utafikiri wao wazima) na mengine mengi. kama ni suala la Baba wa taifa, mbona Azimio la Arusha limevunjika na aliianzisha yeye kwa nia nzuri na kwa maslahi mapana ya nchi yetu? hao walioondoa azimio la Arusha hawakuwa mafisadi? Na mengine mengi. kiukweli ccm mwaka huu kazi mnayo mwaka huu na wote timu M, P, J, S, M, M, Nya, na wengine wengi kwisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
WanaJF,
Pamoja na kwamba mzee Lowassa kwa sasa amesitisha harakati zake za utangazaji wa nia ya kuelekea magogoni kufuatia amri ya chama, ila kuna nguvu ya ziada kutoka kwa wapenzi wake inayoendelea kumshawishi kutangaza nia na kuendelea na safari yake ya matumaini.
Leo kwa mara ya kwanza nakiri kwenu wanaJF kuwa Lowassa hahusiki kwa namna yoyote kupanga ama kuratibu vikundi vya watu kufanya maigizo ya kumshawishi, bali ni umati wenyewe ndio wenye mapenzi kwa huyo mzee.
Baada ya makamu wa rais kumuomba Lowassa akamwakilishe katika harambee ya waislamu ya ujenzi wa msikiti, Mhe Lowassa alifika na zoezi lilianza mara moja la harambee. Zoezi lilikwenda kama ilivyopangwa isipokuwa lengo la kiwango walichokihitaji waislamu kilizidi takribani kwa mara mbili na kufikia takribani Milioni mia tatu.
Hali hiyo iliwafanya waislamu (kulikuwa na uwakilishi kutoka maeneo mbalimbali nchini), kwa msimamo wao mmoja kutoa tamko la kumuunga mkono Lowassa katika safari yake ya matumaini! Hali ambayo ilipokelewa kwa furaha na waumini wengi wa dini ya kiislamu waliohudhuria harambee hiyo.
View attachment 252017
Lowassa akiwasili kwenye eneo la tukio.
View attachment 252036
Hapa akiwa anasalimiana na mashekhe mbalimbali.
View attachment 252018
Lowassa akipatiwa shukrani baada ya kukamilisha zoezi la harambee.
View attachment 252019
Maelfu ya watu walijitokeza kwenye harambee hizo.
Note: Pesa hizo zitatumika kujengea msikiti ambao utaenda sambamba na uanzishwaji wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu.
My take,
Kweli mafuriko hayawezi kuzuiliwa kwa kiganja.
Nilijua kwamba timu Lowasa mlipanga kuwatumia Waislam, kama wanamkubali mbona walimualika Bilal kwanza?

"Na wala msiwafanye wasio katika nyinyi kuwa marafiki zenu kwa vile wao wanawaza mabaya juu yenu"Washalishwa ubwabwa hao.
Nimekudharau sana kwa kwa post hii. Sikujua kuwa na wewe HAMY-D ni uzao wa mafisadi
"Na wala msiwafanye wasio katika nyinyi kuwa marafiki zenu kwa vile wao wanawaza mabaya juu yenu"
Nape nauye, paulo makonda,lizabon,mzee tupatupa huu moto hamuuezi,luwasa ni mpango wa mungu