Waislamu Waazimia Kumuunga Mkono Lowassa!

Wivu ni mbaya sana. sijawahi kuona mtu anayetesa watu kama Lowassa. Taifa hili sasa limekaa kimya na kuangalia mafuriko ya Rais 2015 itakavyokuwa. La pili, Tuhuma za Lowassa si Tuhuma bali ni chuki na Hila dhidi ya uwaziri mkuu na nafasi ya sasa anayoihitaji. Ni juzi Ikulu imewasafisha watu (mawaziri ) waliohusika na sakata la escrow. kwa nini ikulu haijawahi kumsafisha Lowassa au kumpeleka mahakamani au kuitwa katika kamati ya maadili ya umma na matokeo yake ni baadhi ya watu wasiokuwa na mvuto kwa watu kuendelea kwa hila kwa lowassa hafai kwa sababu mbalimbali zikiwepo oooh baba wa taifa alisema lowassa hawezi kuwa rais, oooh anatuhuma za ufisadi, oooh ni mgonjwa(utafikiri wao wazima) na mengine mengi. kama ni suala la Baba wa taifa, mbona Azimio la Arusha limevunjika na aliianzisha yeye kwa nia nzuri na kwa maslahi mapana ya nchi yetu? hao walioondoa azimio la Arusha hawakuwa mafisadi? Na mengine mengi. kiukweli ccm mwaka huu kazi mnayo mwaka huu na wote timu M, P, J, S, M, M, Nya, na wengine wengi kwisha!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

AMA kweli huwezi zuia mafuriko kwa mikono!Tui ni tui la kwanza la pili Maji
 
WanaJF,

Pamoja na kwamba mzee Lowassa kwa sasa amesitisha harakati zake za utangazaji wa nia ya kuelekea magogoni kufuatia amri ya chama, ila kuna nguvu ya ziada kutoka kwa wapenzi wake inayoendelea kumshawishi kutangaza nia na kuendelea na safari yake ya matumaini.

Leo kwa mara ya kwanza nakiri kwenu wanaJF kuwa Lowassa hahusiki kwa namna yoyote kupanga ama kuratibu vikundi vya watu kufanya maigizo ya kumshawishi, bali ni umati wenyewe ndio wenye mapenzi kwa huyo mzee.

Baada ya makamu wa rais kumuomba Lowassa akamwakilishe katika harambee ya waislamu ya ujenzi wa msikiti, Mhe Lowassa alifika na zoezi lilianza mara moja la harambee. Zoezi lilikwenda kama ilivyopangwa isipokuwa lengo la kiwango walichokihitaji waislamu kilizidi takribani kwa mara mbili na kufikia takribani Milioni mia tatu.

Hali hiyo iliwafanya waislamu (kulikuwa na uwakilishi kutoka maeneo mbalimbali nchini), kwa msimamo wao mmoja kutoa tamko la kumuunga mkono Lowassa katika safari yake ya matumaini! Hali ambayo ilipokelewa kwa furaha na waumini wengi wa dini ya kiislamu waliohudhuria harambee hiyo.

View attachment 252017

Lowassa akiwasili kwenye eneo la tukio.

View attachment 252036

Hapa akiwa anasalimiana na mashekhe mbalimbali.

View attachment 252018

Lowassa akipatiwa shukrani baada ya kukamilisha zoezi la harambee.

View attachment 252019

Maelfu ya watu walijitokeza kwenye harambee hizo.

Note: Pesa hizo zitatumika kujengea msikiti ambao utaenda sambamba na uanzishwaji wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu.

My take,

Kweli mafuriko hayawezi kuzuiliwa kwa kiganja.

Hakuna mwislam anaye penda ufisadi,pia nakukanya uwache udini
 
Hivi Watanzania tutaelewa siasa lini? Au hujajua kuwa mbele ya pesa hata dini inawekwa pembeni? Hao si ndio waliosema 'mtumikie kafiiri upate mradi wako'? Wamempokea kwa shamrashamra, sio kwa sababu wanamkubali lakini kwa sababu alikuwa pale kwa ajili ya kuwapatia pesa za msikiti!
 
Waisalam ifike mahala wajue kuwa adui wao number moja ni wale WALAO MAHARAGE na kuhisi kuwa wanahati miliki ya kutawala nchi hii ... Kila la Kheri Lowassa ... Waislam tunaamini chini yako dhulma dhidi ya Jamii ya kiislam itatokomezwa nchini ...
WanaJF,

Pamoja na kwamba mzee Lowassa kwa sasa amesitisha harakati zake za utangazaji wa nia ya kuelekea magogoni kufuatia amri ya chama, ila kuna nguvu ya ziada kutoka kwa wapenzi wake inayoendelea kumshawishi kutangaza nia na kuendelea na safari yake ya matumaini.

Leo kwa mara ya kwanza nakiri kwenu wanaJF kuwa Lowassa hahusiki kwa namna yoyote kupanga ama kuratibu vikundi vya watu kufanya maigizo ya kumshawishi, bali ni umati wenyewe ndio wenye mapenzi kwa huyo mzee.

Baada ya makamu wa rais kumuomba Lowassa akamwakilishe katika harambee ya waislamu ya ujenzi wa msikiti, Mhe Lowassa alifika na zoezi lilianza mara moja la harambee. Zoezi lilikwenda kama ilivyopangwa isipokuwa lengo la kiwango walichokihitaji waislamu kilizidi takribani kwa mara mbili na kufikia takribani Milioni mia tatu.

Hali hiyo iliwafanya waislamu (kulikuwa na uwakilishi kutoka maeneo mbalimbali nchini), kwa msimamo wao mmoja kutoa tamko la kumuunga mkono Lowassa katika safari yake ya matumaini! Hali ambayo ilipokelewa kwa furaha na waumini wengi wa dini ya kiislamu waliohudhuria harambee hiyo.

View attachment 252017

Lowassa akiwasili kwenye eneo la tukio.

View attachment 252036

Hapa akiwa anasalimiana na mashekhe mbalimbali.

View attachment 252018

Lowassa akipatiwa shukrani baada ya kukamilisha zoezi la harambee.

View attachment 252019

Maelfu ya watu walijitokeza kwenye harambee hizo.

Note: Pesa hizo zitatumika kujengea msikiti ambao utaenda sambamba na uanzishwaji wa kituo cha kulelea watoto yatima na wanaoishi kwenye mazingira magumu.

My take,

Kweli mafuriko hayawezi kuzuiliwa kwa kiganja.
 
Nimekudharau sana kwa kwa post hii. Sikujua kuwa na wewe HAMY-D ni uzao wa mafisadi

lazaboni,

Tafuta uzi humu JF ulioandikwa "Chimbuko la utajiri wa Lowassa....

Mimi sio TeamLowassa...ila nilichoweka hapa ndio uhalisia wa mambo uliokuwa ukiendelea huko Arusha.
 
Last edited by a moderator:
Juzi tu walitamka kwamba hawatasupport MACCM kwa kuwanyima mahakama ya kadhi, leo baada ya kula ubwabwa ahadi yao ya kutowasupport MACCM wameisahau! Hawajitambui hawa mahakama ya kadhi si muhimu kiasi hicho kama ubwabwa. Huyu hata sera zake hawazijui lakini cha ajabu wameshaunga tela!!!! Dah!!!!

"Na wala msiwafanye wasio katika nyinyi kuwa marafiki zenu kwa vile wao wanawaza mabaya juu yenu"
 
Back
Top Bottom