Waislam Wapigwa Stop na Kova

Nasema maandamano yangefanyika yangekuwa yanaidhalilisha sana dini ya kiislam,viongozi wake,waumini wake,kitabu chake[Quran] na Mtume wake Muhamad SAW kwasababu zifuatazo.

[1] Waislamu wanataka kuandamana kwasababu serekali ya CCM imeshindwa kuanzisha mahakama ya Kadhi.Ukweli ni kwamba Serekali ya CCM imewaruhusu waislam waanzishe na kuiendesha mahakama ya kadhi wenyewe kwasababu ni sehemu ya ibada yao [waislamu].Ni ajabu kubwa kuona wanazuoni tena waliobobea kuendelea kudai mahakama ya kadhi ilihali serekali imesharidhia kuanzishwa kwake.

[2] Waislamu wa Tanzania wanajua wazi CCM imekuwa ikiwadanganya wananchi kwa muda mrefu katika mambo mabali mbali,inashangaza sana kusikia viongozi wa waislam hawakuona haja ya kuandamana wakati mabilioni ya EPA,Meremeta,ununuzi wa radar,ndege ya rais,mikataba ya madini na ufujaji wa fedha kwenye maidara ya serekali ukifanyika.Akili yangu inakataa kuamini kwamba viongozi wa waislamu leo hii wanagundua CCM ni waongo kwasababu tu wameshindwa kuvunja katiba ya JMT kwa kuingiza mahakama ya kadhi.Viongozi wa aiana hii kamwe hawataweza kuwakomboa waislam kwasababu wanashindwa kuwaeleza ukweli waumini wao kwamba mahakama ya kadhi inaweza kuanzishwa na waislamu wenyewe bila kutegemea fadhila za serekali.
Ngongo, kwa kifupi hii inatoa tafsiri kwamba kuna waumini wa dini fulani hawawezi kuendesha sehemu ya ibada yao mpaka wapate ruzuku toka Serikalini.
 
Tatizo hapa ni demokrasia tu ,hayo ya udini mnayaingiza nyie pangu pakavu mliozoea kutawaliwa na sasa anaewatawala ni Sultani CCM.

Leo amezuia maandamano ya wanachi wanaoamini Mwenyezi Mungu mmoja kesho watazuia ya wanaoami Miungu mitatu na hata ya wale wachache wanaoamini miungu mingi kama mabaniani japo wote ni sawa katika kuamini Mungu zaidi ya mmoja.

Keshokutwa hata ya kupinga katiba yatazuiwa kwani wameshatisha na waliomo wameona ni sawa.
 
wanataka nini tena hawa watu, serikali ishatoa uamuzi wake kua, anayetaka anzisha mahakama ya kadhi aanzishe kwa cost zake sasa hawajaelewa au vip? kama hawaridhiki na uamuzi uo si waongee uko misikitini kua wasiichague ccm tu, njia pekee ya kuishuhulikia serikali au kiongozi ambye hajatimiza ahadi zako ni kutomchagua sasa mambo ya maandamano yanatoka wapi? wanataka kutuletea jam zisizo na msingi! wasijewakawa wanajitafutia fursa za ajira tu! njaa mbaya!
 
Essentially hapa kuna violation ya freedom of expression. Hili haliwezi kukataliwa.Ukweli kwamba Mufti kashatolea maelezo jambo fulani haumaanishi kwamba waislamu wote ni lazima wakubaliane na mufti, na waislamu wana haki ya kuandamana ili kuonyesha msimamo wao as long as wanafuata sheria.

Lakini, pamoja na kuelewa kwamba polisi wame violate freedom of expression, kuna watu wengine watasema "well, that is true, lakini kuna the bigger picture ya security hapa, na hatujui haya maandamano yanaweza kuzaa nini, it is too risky to allow". Basically unatumia tyranny ili kuhakikisha unamaintain security, at least that is the most eloquent excuse that can be given.

Lakini ukisema hivyo, utakuwa umesha prejudge nia ya waislamu kwamba iko sinister, na utakuwa umeshakubali kwamba huwezi ku deal na waislamu walio sinister. Both of these two admissions are not good.

Benjamin Franklin alisema "Those who sacrifice their liberty for security deserve neither". Kwa kuwakatalia maandamano waislam kwa sababu za usalama na siasa (under the thinly disguised reason given) kamanda Kova na jeshi la polisi hawatupi usalama wala uhuru.

Mimi nasema waislam waruhusiwe kuandamana, na waambiwe wakitaka hata kwenda mahakama zote Tanzania waende. Wakileta fujo kwenye maandamano wadhibitiwe kwa mujibu wa sheria.

Huwezi kuwa na nchi inayojitia kuwa ya kidemokrasia, halafu hapo hapo watu wanataka kuandamana kuonyesha msimamo wao (hata kama msimamo si mzuri, suala la kuandamana kuonyesha msimamo haliwezi kukataliwa kwa sababu msimamo si mzuri, au swali la msingi lishatolewa jibu na mufti, vipi kama hawakubaliani ma mufti kama inavyoonekana hapa? Tunawalazimisha wakubaliane naye)

Jeshi la polisi kwa mara nyingine linadhihirisha kwamba Tanzania si nchi ya kidemokrasia, basically ni police state.
 
sawa, lakini unavyodhani waruhusiwe kuandamana hasa wakidai nini? na kwa nani?
huu utakuwa ni upuuzi wa hali juu, hicho wanachotaka kukiandamania ni jukumu lao wenyewe,
kwani serikali imepinga wao kuwa na mahakama ya kadhi nchini? hiyo ni haki yao kwa mujibu wa sheria zao, lakini si kikatiba, na kama itaonekana kukiuka sheria za nchi ya nini? asa hapo wakiandamana ni kama vile wanadai haki yao kikatiba yaani,

Benjamin Franklin alisema "Those who sacrifice their liberty for security ...

Na mlipomuuliza, Eeh Benjamin Franklin wa Enzi na Ukuu; Ukichagua kung'ang'ania uhuru ukawa huna usalama, Je ni bora, aliwajibuni nini wanafunziwe?
 
Back
Top Bottom