Precise Pangolin
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 12,998
- 6,659
Sensa ina maandalizi yake ambayo ni mazito sana wanafikiri ni kama kula pilau au kuhifadhi Juzuu
Inazotakiwa ni official data na sio private data. Kama hvyo kila watu wajihisabu katika familia zao.
Mimi nimeuliza suala lakin sijapata jibu kabisa. Labda niliulize tena.
Kuna faida gani katika sensa yenu kutofautisha watu
1. Kijinsia
2. Kiumri
3. Kimaumbile (kwa maana kiulemavu.
Je tofauti hizo zinatofautiana na dini?
naombeni ufafanuzi wenu wa faida zake kiuchumi na kijamii
Hujanielewa mkuu, huwe mkristo au muislam basi wewe ni muigaji tu. LKn waislam wamelemewa zaidi.kwa waarabu kivipi,wakati wazungu bado wanaendelea kutawala nchi walizozipa uhuru?wakrito wana behave kizungu sio kiyahudi(suti,vichwa wazi nk)