Waislam Waanza Sensa yao Nyumba Kwa Nyumba Dar

Inazotakiwa ni official data na sio private data. Kama hvyo kila watu wajihisabu katika familia zao.

Mimi nimeuliza suala lakin sijapata jibu kabisa. Labda niliulize tena.
Kuna faida gani katika sensa yenu kutofautisha watu
1. Kijinsia
2. Kiumri
3. Kimaumbile (kwa maana kiulemavu.

Je tofauti hizo zinatofautiana na dini?

naombeni ufafanuzi wenu wa faida zake kiuchumi na kijamii

we ustadh, sikiliza - umri, jinsia, maumbile ndizo baadhi ya mambo ya msingi ambayo serikali inayatumia katika kutoa huduma kwa jamii. mfano, kama wazee ni asilimia 15 ya watz wote, serikali itaweka mipango/bajeti ya kukidhi mahitaji ya idadi hiyo ya wazee; ikiwa walemavu ni 5%, kadhalika serikari itaweka mipango ya kuwawezesha kutegemeana na mahitaji yao. sasa hebu wewe niambie, kuna huduma gani za kijamii hapa tz ambazo serikali inazitoa kwa watz kwqa kutumia kigezo cha dini ya mtu au kikundi fulani? kumbuka; serikali haihudumii wanadini bali inatoa huduma kwa WATANZANIA bila kujali dini zao, makabila yao, rangi zao, wala wanakotokea.

kudai sensa kwa kigezo cha dini ni kuishiwa mawazo. muwaige wakristo basi........wako smart katika mambo yao, ndio maana wanafanikiwa sana - kielimu, kiafya, nk.
 
wakija kwangu nawarushia kitimoto kilichobanikwa na kuwekwa pilipili na limau....watakavyotimua mbio....(kama sio kudaka na kuitia mdomoni)
 
kwa waarabu kivipi,wakati wazungu bado wanaendelea kutawala nchi walizozipa uhuru?wakrito wana behave kizungu sio kiyahudi(suti,vichwa wazi nk)
Hujanielewa mkuu, huwe mkristo au muislam basi wewe ni muigaji tu. LKn waislam wamelemewa zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom