Waislam Waanza Sensa yao Nyumba Kwa Nyumba Dar

kanga

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
1,025
494
Katika kuelekea kupata takwimu zao za idadi ya wauumini wa dini ya Kiislamu Tanzania baada ya serikali kugoma kuweka kipengere cha idni na ukabila katika dodoso la sensa, Waislamu katika baadhi ya mitaa ya jiji la Dar wameanza utaratibu wa kupita nyumba kwa nyumba kuhakiki wauimini wa dini ya kiislamu.Utaratibu huo ulionekana jana katika mitaa ya Magomeni Mwinyi Mkuu ambapo baadhi ya watu wenye kujitambulisha kuwa viongozi wa dini ya kiisalamu walikuwa wakipita nyumba moja baada ya nyingine na kuulizia kama kuna waislamu na kuandika maelezo yao yakihusu jinsi,jina na umri kweny madaftari.Katika Maeneo zoezi ilo lilionekana kwenda tambarare bila fujo au misuguano pengine ni kwa sababu maeneo na wakzi wengi wa sehemu hiyo ni waislam.Pia Moja ya nyumba walioingia kuna wapangaji wakiristo na hawakuweza kuwauliza taarifa zozote.
Angalizo Serikali iwe makini na zoezi ili maana isije ikawa kama wakati wa wana wa israel kuondoka utumwani Misri na kuweka damu kwenye milango kutofautisha nyumba za wa israel na wamisir.
 
Hapo ndio uwezo wao unapoonekana!! Mimi kwangu bila kibali cha serikali wasifike kabisa, kwani nitawaitia polisi kwa kuvunja katiba - freedom of movement but not everywhere na privacy. Kwa kifupi hii ni fujo!!! Pia hii inaonesha Islam system of communication is very poor!!!
 
Je, wanaihitaji sensa hiyo katika shughuli zao za kidini? Au mradi tu kutaka kujua idadi?!
 
Katika kuelekea kupata takwimu zao za idadi ya wauumini wa dini ya Kiislamu Tanzania baada ya serikali kugoma kuweka kipengere cha idni na ukabila katika dodoso la sensa, Waislamu katika baadhi ya mitaa ya jiji la Dar wameanza utaratibu wa kupita nyumba kwa nyumba kuhakiki wauimini wa dini ya kiislamu.Utaratibu huo ulionekana jana katika mitaa ya Magomeni Mwinyi Mkuu ambapo baadhi ya watu wenye kujitambulisha kuwa viongozi wa dini ya kiisalamu walikuwa wakipita nyumba moja baada ya nyingine na kuulizia kama kuna waislamu na kuandika maelezo yao yakihusu jinsi,jina na umri kweny madaftari.Katika Maeneo zoezi ilo lilionekana kwenda tambarare bila fujo au misuguano pengine ni kwa sababu maeneo na wakzi wengi wa sehemu hiyo ni waislam.Pia Moja ya nyumba walioingia kuna wapangaji wakiristo na hawakuweza kuwauliza taarifa zozote.
Angalizo Serikali iwe makini na zoezi ili maana isije ikawa kama wakati wa wana wa israel kuondoka utumwani Misri na kuweka damu kwenye milango kutofautisha nyumba za wa israel na wamisir.
na kweli serikali iwaruhusu kufanya hiyo sensa yao msikitini, sio nyumba kwa nyumba , ina leta bugudha kwa wengine.
 
wakija kwako waambie out! waliambiwa wafanyie msikitini huko majumbani kwa watu wanahitaji nini?
 
nia yao kubwa ni kwamba waonekane wengi ili uwasaidie kuagiza mabaibui na kanzu.
pia eti wanadai wao lazima wawe wengi maana wanaoa wake wengi na wanazaa watoto kila mwaka.
nimmemsikia shekhe mmoja anadai wakristo lazima wawe wachache maana kuna wengine hawazai kabisaa,wanajitoa kuwa watawa.yaani kweli kila mtu na uwezowake wa kufikiria.
 
Waislam wanasubiri kuhesabiwa na serikali hakuna sensa ingine hizo ni porojo za mitaani..
 
na kweli serikali iwaruhusu kufanya hiyo sensa yao msikitini, sio nyumba kwa nyumba , ina leta bugudha kwa wengine.

Waislam wanalipa kodi kama raia wengine kwa hiyo wanasubiri kuhesabiwa na serikali kwa kodi zao wanazolipa...kila Mtanzania mwenye dini yoyote ana haki kuhesabiwa na serikali yake.
 
Serikali haina Dini. Inawahesabu watu wenye Dini tofauti tofauti

Mipango yake si kwa sababu ya Dini fulani ila kwa Wote

Inafanya Kama inavyotaka si kwa sababu watu fulani wanataka
 
kama sheria inawaruhusu na wanaongozana na serikali za mitaa mbona haina tatizo kujua waumini wao ni wangapi. mbona makanisani wanahesabiwa kila jumapili.

mchangiaji alietoa mfano kwamba "isije ikawa kama wakati wa wana wa israel kuondoka utumwani Misri na kuweka damu kwenye milango kutofautisha nyumba za wa israel na wamisir" kanivunja mbavu kweli ingawa ikijatokea hivyo we shall have to laugh at the back of our face
 
nia yao kubwa ni kwamba waonekane wengi ili uwasaidie kuagiza mabaibui na kanzu.
pia eti wanadai wao lazima wawe wengi maana wanaoa wake wengi na wanazaa watoto kila mwaka.
nimmemsikia shekhe mmoja anadai wakristo lazima wawe wachache maana kuna wengine hawazai kabisaa,wanajitoa kuwa watawa.yaani kweli kila mtu na uwezowake wa kufikiria.
Wenyewe wanakuambia kila mtoto anakuja na riziki yake...lakini maji yanapozidi unga utasikia ni 'Mfumo Kristo' ndiyo unatudhulumu sisi waislam. Kuna kijana(muislam) mdogo tu jirani yetu...hana kazi au shughuli ya maana sana lakini ndani ya miaka minne ameshazaa na kuwapa talaka wasichana wawili...sasa ameoa kasichana kengine tena katatu...trend ni hiyo kwa maustadhi wengi tu...Ndiyo maana wengine tunasema haya malalamiko ya wenzetu hayatakuja kuisha hivihivi tu kwa sababu kimsingi wenyewe ndiyo wanayo yatengeneza na hakuna wa kuwasiaidia zaidi ya wao wenyewe kuelimishana
 
Back
Top Bottom