Waislam nchini watoa tamko na kulaani uchokozi wa kidini

hivi kwa nini hao hapo juu hawanyoi ndevu! hawaoni uchafu??? au ni nguzo nyingine kufuga midevu?? nauliza tu!! kama kidevu kiko hivyo, je kwa juma mgunda je??? msitu wa amazon!!! napita tu!
 
Mimi nalaumu polisi huyu ponda alkuwa ni wakufanywa kama yule mwezake wa mombasa
 
Nalaani uongozi wowote unaokumbatia udini,nalaaaani wote wanaopenda kubembea na kupanda vitoroli wakati nchi zao hazitawaliki,nalaani marais wote ambao hawana kazi kutwa kiguu na njia kwa watu wakati mbegu wamezipanda wao na zimestawi.nalaani viongozi wote wanaoongelea hili swala la mbagala kwa kucheka cheka utadhani wako kwenye sendoff.
 
Nalaani wooooooooote wasiompenda Sheikh Panda,
Nalaani wanaounga kunajisiwa Qur'an takatifu
Napongeza kwa kile waislam wanachokifanya ili kutetea haki zao
Nalaani viongozi wote wa kanisa katoliki kutuma watoto kunajisi msahafu
Nalaani wafuasi wote wa cdm na wanaouchukia uislam

Na wanaomlaani ponda na redio imani laana ziwarudie mara dufu tene bila kikomo

Tanzania inaelekea kua Rwanda muda si mrefu!!
Na kama ni ya Rwanda yaje,sisi waislam dam yetu si chochote ktk dini ya ALLAH(s.w)
Nasema hiviiiii Ya RwAnDa YaJe
kwa maneno yako mkuu kweli dini ya mwenyezi mungu imeingiliwa, nyinyi ndo mnaotuharibia uislamu. Unataka kutuletea mambo ya somalia hapa, uislamu utadumu lakini si kwa upuuzi wako huu mkuu!
 
nalaani wooooooooote wasiompenda sheikh panda,
nalaani wanaounga kunajisiwa qur'an takatifu
napongeza kwa kile waislam wanachokifanya ili kutetea haki zao
nalaani viongozi wote wa kanisa katoliki kutuma watoto kunajisi msahafu
nalaani wafuasi wote wa cdm na wanaouchukia uislam

na wanaomlaani ponda na redio imani laana ziwarudie mara dufu tene bila kikomo

tanzania inaelekea kua rwanda muda si mrefu!!
Na kama ni ya rwanda yaje,sisi waislam dam yetu si chochote ktk dini ya allah(s.w)
nasema hiviiiii ya rwanda yaje

nalaani wooooote wasiokula nguruwe
 
Nalaani wooooooooote wasiompenda Sheikh Panda,
Nalaani wanaounga kunajisiwa Qur'an takatifu
Napongeza kwa kile waislam wanachokifanya ili kutetea haki zao
Nalaani viongozi wote wa kanisa katoliki kutuma watoto kunajisi msahafu
Nalaani wafuasi wote wa cdm na wanaouchukia uislam

Na wanaomlaani ponda na redio imani laana ziwarudie mara dufu tene bila kikomo

Tanzania inaelekea kua Rwanda muda si mrefu!!
Na kama ni ya Rwanda yaje,sisi waislam dam yetu si chochote ktk dini ya ALLAH(s.w)
Nasema hiviiiii Ya RwAnDa YaJe

Kaka kwa hiyo arua na bofulo mtaweza kweli shughuri ya midume imeshiba inakula nyama za uhakika??? Kalia tu kugonoa uje ugonolewe
 
IMG_3194.jpg

Sheikh kutoka Jumuiya na Taasisi za kiislamu Tanzania Ponda Issa Ponda (katikati) akitoa tamko mbele ya vyombo vya habari kuhusiana na kile walichokiita kadhia iliyotokea tarehe 10.10.2012 ya kunajisiwa kwa kitabu kitufu cha Qur’ani. Kushoto ni Imamu Mkuu wa Masjid Al-Amin Sheikh Ibrahimu Ghulaam na kulia ni Kiongozi wa Jumuia na taasisi na A-mallid Rajab Kitimba.

Na.MO BLOG TEAM

Taasisi na Jumuiya za Kiislamu nchini Tanzania wametoa tamko kufuatia kitendo cha kijana Emmanuel Josefati (14) kukojelea kitabu kitukufu cha Qur’an na kusababisha mgongano wa mawazo miongoni mwa watanzania.

Katika tamko lao wamesema ‘Tunalaani Kitendo cha kukojolewa Qur’an Tukufu ambayo ni Kitabu Kitakatifu kwa Waislam Wote Duniani’.

‘Tunataka kusikia tamko la serikali la kulaani kitendo cha kukojolewa Qur’an’.

‘Tunataka serikali kukemea kitendo cha Jeshi la Polisi kushambulia Misikiti, waumini na Kuvuruga ibada’.

‘Tunalaani vitendo vya uchokozi wa kidini’.

‘Tunalaani matumizi ya matumizi ya nguvu kubwa dhidi ya raia yaliyofanywa na Polisi’.

‘Tumehuzunishwa sana na kitendo na kitendo cha kushambuliwa Misikiti na Makanisa kilichotokea Mbagala’.

‘Tunatoa siku 7 ndani ya siku hizi Waislamu wanaoshikiliwa na Polisi wapewe haki yao ya dhamana’.
Na alaaniwe huyo Shee anayekaa na RUNGU LA POLISI,hebu tazameni hiyo meza,Rungu la polisi na Shee wapi na wapi?
 
Ni laana za upande mmoja je wale waliochoma makanisa hawalaniwi?
Wezi wa computer je?

Mungu atakuwa na kazi kweli siku ya kiama.
 
Mpuuzi huyu! Apigwe sindano ya sumu afe...inzi mmoja hawezi kusumbua umma mzima! Hatufanyi kazi nyingine ni dini dini dini dini!!! Dini ya babake! Uchumi wa taifa haujengwi kwa kusali masaa mengi na kuandamanisha watu....ni kwa kufanya kazi kwa bidiii...

Ifike wakati na tujiulize...hivi huyu anapataje riziki zake?
 
Huyu jamaa angekua Kakobe, angedhalilishwa na polisi siku nyiingi na kuzimwa.

Clouds kila siku jioni wangekua wanamtukana.
 
WALAANIWE WOTE WANAOCHOCHEA VURUGU NA VITA NCHINI KWETU TANZANIA! MUNGU si mwanadamu, hatakuwa upande wao!

kule rwanda unataka kusema mungu alikua likizo?.
Wala usimzingizie mungu ni matendo yetu sisi ndo yanatupeleka huko .mungu hapo hayumo.
 
Tunalaani wahuni waliochoma makanisa. Aliyekojolea msaafu hakuna mwenye uhakika kama alitumwa na mtu yeyote.
Kama waliochoma makanisa ni waislamu, kwa amri ya misikiti yao (sheikh, imamu), basi hatuna budi kusema kuwa hao waislamu waliochoma makanisa ni wahuni na wendawazimu. Ninachukia sana waislamu wanaoeneza vita kwa makusudi, kisa tu aliyekojolea msaafu ni mtoto wa kikristo, sikubaliani na collective punishment kwa stile ya namna hii.
 
IMG_3194.jpg

Sheikh kutoka Jumuiya na Taasisi za kiislamu Tanzania Ponda Issa Ponda (katikati) akitoa tamko mbele ya vyombo vya habari kuhusiana na kile walichokiita kadhia iliyotokea tarehe 10.10.2012 ya kunajisiwa kwa kitabu kitufu cha Qur'ani. Kushoto ni Imamu Mkuu wa Masjid Al-Amin Sheikh Ibrahimu Ghulaam na kulia ni Kiongozi wa Jumuia na taasisi na A-mallid Rajab Kitimba.

Na.MO BLOG TEAM

Taasisi na Jumuiya za Kiislamu nchini Tanzania wametoa tamko kufuatia kitendo cha kijana Emmanuel Josefati (14) kukojelea kitabu kitukufu cha Qur'an na kusababisha mgongano wa mawazo miongoni mwa watanzania.

Katika tamko lao wamesema ‘Tunalaani Kitendo cha kukojolewa Qur'an Tukufu ambayo ni Kitabu Kitakatifu kwa Waislam Wote Duniani'.

‘Tunataka kusikia tamko la serikali la kulaani kitendo cha kukojolewa Qur'an'.

‘Tunataka serikali kukemea kitendo cha Jeshi la Polisi kushambulia Misikiti, waumini na Kuvuruga ibada'.

‘Tunalaani vitendo vya uchokozi wa kidini'.

‘Tunalaani matumizi ya matumizi ya nguvu kubwa dhidi ya raia yaliyofanywa na Polisi'.

‘Tumehuzunishwa sana na kitendo na kitendo cha kushambuliwa Misikiti na Makanisa kilichotokea Mbagala'.

‘Tunatoa siku 7 ndani ya siku hizi Waislamu wanaoshikiliwa na Polisi wapewe haki yao ya dhamana'.
Yaani li jamaa linawahimiza waislam wote tanzania wafanye kile walichokifanya wenzao wa mbagala(kuharibu/kuiba/kuchoma makanisa) halafu linaibuka tena kuwalalamikia polisi wameshambulia msikiti? Hizi ni akili zilizozidi au ni upungufu usio kifani wa akili?
 
hivi kwa nini hao hapo juu hawanyoi ndevu! hawaoni uchafu??? au ni nguzo nyingine kufuga midevu?? nauliza tu!! kama kidevu kiko hivyo, je kwa juma mgunda je??? msitu wa amazon!!! napita tu!

hilo swali pia ungemuuliza bwana yesu.
 
Kwani hiyo jumuiya ndio inawakilisha waislamu wote??Mngesema baadhi ya waislamu..inawezekana kuna wengine hawajaunga mkono hilo tamko
 
Ni laana za upande mmoja je wale waliochoma makanisa hawalaniwi?
Wezi wa computer je?

Mungu atakuwa na kazi kweli siku ya kiama.

amesema amehudhunishwa kwa kushambuliwa misikiti na makanisa.
Nadhanh hiyo rungu mezani ni ya polisi waliiacha msikitini.
 
Mwenyezi mungu awatie imani na kuwapa masikizano baina ya dini zote,na Inshallah yasitoke mabaya kwani tulokua nayo yanatosha kwa sasa.....
 
hivi kwa nini hao hapo juu hawanyoi ndevu! hawaoni uchafu??? au ni nguzo nyingine kufuga midevu?? nauliza tu!! kama kidevu kiko hivyo, je kwa juma mgunda je??? msitu wa amazon!!! napita tu!

wakinyoa ndevu watafananaje na waarabu?
 
Yaani li jamaa linawahimiza waislam wote tanzania wafanye kile walichokifanya wenzao wa mbagala(kuharibu/kuiba/kuchoma makanisa) halafu linaibuka tena kuwalalamikia polisi wameshambulia msikiti? Hizi ni akili zilizozidi au ni upungufu usio kifani wa akili?

akili nyingi zimekimbilia miguuni na mikononi kwa ajili ya karate
 
Back
Top Bottom