Waislam nchini watoa tamko na kulaani uchokozi wa kidini

Halafu munasema waislam wachochezi namna hii makafiri mutaacha kuchomewa makanisa na mukumbuke sisi kufa nikitu cha kawaida ww angalia akiuliwa kafiri mmoja wa kimarekani wanavyo changanyikiwa lakini wapalestina wana kufa 10 au 20 wala watu hawashituki tatizo lenu munaona dunia ni mahala pazuri sana lakini kamadunia inatabu kiasi hichi ni bora kwenda ardhini kuliko kuishi mahali penye dhulma kama Tanzania NA HII NI MIKAKATI ILIYO PANGWA TOKA ZAMANI NA BWANA AMBAYE ANAITWA HAAMBILIKI AU MCHONGA

walaaniwe wote wanao taka tanzania tuuwani eti kwa sababu kuna waislamu wanaowawa katika nchi nyingine dunia.walaaniwe wote wanao mtaji baba wa taifa kuwa aliwabagua waislamu
 
Wewe sio Muislamu bali mnafiki!!!!!!:lol:
Mnafki ni ww unataka aseme uongo? Kwani ni waislam wangapi wanafaulu kwa necta hii hii? Hujisomei unataka ufaulu we umekuwa nani au kwasababu ukiwa na jina la kiislam basi wakufaulishe tu. Someni kwa bidii kila kitu kitawezekana.
 
dncoastMRC1510C.jpg
dncoastMRC1510F.jpg

dncoastMRC1510F.jpg
dncoastMRC1510A.jpg

Daily Nation: News - Breaking News, Kenya, Africa, Politics, Business, Sports, Blogs, Photos, Videos
MRC leader Omar Mwamnuadzi hao ndio wachochezi huko Mombasa je? juzi tu 15/10/2012na Hapa Tanzania mmeichoka Amani maana nasikia mnataka Ijumaa baada ya Swala muingie barabarani mpambane na Kova na Mwema mpelekeni salam Sheikh Ponda
Sisi hatupo ila watakapozidiwa msishangae uvumilivu utatushinda
 
Nafikiri wenzenu wa upande wa pili wamechukulia suala hili kijuu juu.

Banafsi siamini kabisa kama kuna muislam Muumin wa kweli kabisa aliyeguswa na kadhia ya kudhalilishwa Qur'an anaweza kuvunja na kuiba mali za kanisa. Mimi ninavyofahamu hao ni vibaka tu walijipenyeza na kutimiza azma yao hiyo ya kuiba kwani siku zote katika misafara ya Mamba basi na kenge wanakuwepo.

hata kukitokea maandamano mbalimbali huko Tanzania Bara si mnaona vibaka wanavyojiingiza na kuanza kupora na kuiba mali za watu na madukani.

Nafikiri Wakristo wanatakiwa kujua kuwa waliofanya huo uarifu wa kuiba mali na kuchoma moto makanisa ni vibaka tu na walifanya hivyo kwa njaa zao. SUALA KUU LINAENDELEA KUBAKI ni kudhlilishwa kwa Qur'an
umesahau samaki mmoja akioza........
umdhanie siye............
Lakini ni somo zuri kwa wenzetu wa upande wa pili (waislam) wawe strategic sio kila kitu wanakurupuka, kwani baada ya kupata issue kama hio (ya ubishi wa hao watoto) wangeenda kwenye media na kulaani au toa tamko wengeeleweka sana na wangepata public support, kuliko aibu waliyoipata, hadi wanaonekana ni waumini wenye imani ya kihuni, wizi, ujambazi, uaji, na maneno mengine mabaya kama hayo.
Mkuu uliona sinema ya "the inocence of Muslims"?
 
Halafu munasema waislam wachochezi namna hii makafiri mutaacha kuchomewa makanisa na mukumbuke sisi kufa nikitu cha kawaida ww angalia akiuliwa kafiri mmoja wa kimarekani wanavyo changanyikiwa lakini wapalestina wana kufa 10 au 20 wala watu hawashituki tatizo lenu munaona dunia ni mahala pazuri sana lakini kamadunia inatabu kiasi hichi ni bora kwenda ardhini kuliko kuishi mahali penye dhulma kama Tanzania NA HII NI MIKAKATI ILIYO PANGWA TOKA ZAMANI NA BWANA AMBAYE ANAITWA HAAMBILIKI AU MCHONGA

kwani uliubwa ili ufe?kwani kufa ni sifa?basi kwa nini usijinyonge mwenyewe ili zamu yako iishe na si kuumiza wengine
 
Sasa kama polisi,walitumia nguvu!je mlitaka waje wawaombe kuwakamata wahalifu wakiwa mikono nyuma!!?? umeona wapi hiyo!Jamani Tufike Mahali tutumie Busara zaidi ya Jaziba!Kama kila dini au mtu akiruhusu jaziba atapona nani sasa??
 
'Tunalaani chuki na chokochoko inayoenezwa na radio/tv imaan'

'Tunalaani mbegu mbaya iliyopandwa na mkuu wa kaya'

'Tunalaani kuacha mbegu hiyo iote mizizi na kuchipua'

'Tunalaani kukosa kiongozi shupavu wa kukemea haya na hasa radio/Tv imaan'

'Tunalaani kufungiwa Mwanahalisi na kuacha radio imaan ikikiuka maadili'

Mungu ibariki Tanzania.
Nailaani chuki, Nailaani Dhiki, Nailaani mikikimikiki ya "wanaharakati isiyostahiki" Naulaani udini kwa laana kuu, Naupiga chini puu,Nailaani taasisi yeyote ambayo kwa maslahi yake inaeneza chuki, Namlaani mkuu wa kaya kwa kupanda mbegu hizi katika udongo wetu mzuri wenye rutuba, kwa kutoa zake hotuba, bila kujali kama zina tija, pia kwa udhaifu wake wa kushindwa kuilea familia yake ambayo ni sisi. Namlaani asiyejua maana ya AMANIingawa alipaswa kujua kwani huyu ni mzembe wa kutupwa.Vitabu vyote viwili vina maana halisi ya neno dini...Yesu akasema "mimi ndimi njia ya kweli na uzima, yeyote ajaye kwangu sitamtupa.....kwa waislamu neno "dini" ni njia. Kama ilivyotafsiriwa toka lugha ya kiarabu cha kale wakati wa kuitafsiri Q'uran...Vipi leo tuseme hatuijui njia? hapa ni sawa na kusema Yesu alisema "Mimi ndimi dini ya kweli na uzima, hakuna awezaye kuiona mbingu /au "akhera" bila yake yeye.
Nailaani Radio/TV Imaan, Nailaani serikali kwa umoja wao wa kinafiki na uchocheaji wa chuki dhidi ya wakristo nchini.

Nawaacheni na swali :"Hivi siku hao wakristo wakiamka toka usingizini wakaanza kuandamana na kuleta fujo nini kitatokea?
 
Mauti na uzima huwa katika uwezo wa ulimi na wao waupendao watakula matunda yake. Angalieni kila mnachosema kinaumba roho inayotenda kazi. Ni rahisi sana kwa mdomo kusema ya Rwanda yaje kama utani lakini yatakapokuja ndipo utakaposema kama wale chura; "mchezo wenu ni mauti yetu". Tuyasikie kwa wenzetu tu tusitamani yafanyike kwetu. Na hata hivyo kwetu tunayataka kwa sababu ipi? Kama ni kwa sababu za msingi sio sababu za kijinga kama za Mbagala tunaweza tukashirikishana tukayazungumza. Sidhani kama kuna muislamu wa kweli kabisa anayeweza kutamani ya Rwanda au fujo hizi za kipumbavu. Acheni uchochezi wa kiibilisi tafuteni amani na watu wote.
 
Kwani mangapi mtu anayafanya kwa dini nyingine bila kujua anaelimishwa nakuachiwa huru?hivi ni mungu gani asiye toa msamahaa!hivi ni mungu gani mmbabe!sisi mambo ya Waarabu yanatuhusu nini,kama vipi c uhamie huko utuache kwa amani!Jamani embu tuacheni tutafute pesa,hapa tu kuna amani hazipatika sasa kukiwa na vurugu si ndo itakuwa balaa!Hivi serikali huyu PONDA ni nani anaachiwa anfanya anavotaka!!?anasema anachotak?/ anatisha anavo taka!mwekeni kizuizini!
 
WALAANIWE WOTE WANAOCHOCHEA VURUGU NA VITA NCHINI KWETU TANZANIA! MUNGU si mwanadamu, hatakuwa upande wao!

Nimewahi kukaa na Warundi na wacongo wanatamani sana vita vitokee hapa kwao,waliniambia mtaona si nyerere amekufa mtakua kama Burundi na Congo! so tuwe waangalifu sana na watu hao wanapojipenyeza kama watanzania kumbe hawana uzalendo na nchi yetu na wanajaribu kuchochea vurugu!
 
Mbona hawalaani kuchomwa makanisa na uharibifu wa mali za wakristo kama kweli wana akili hawa?
 
IMG_3194.jpg


Sheikh kutoka Jumuiya na Taasisi za kiislamu Tanzania Ponda Issa Ponda (katikati) akitoa tamko mbele ya vyombo vya habari kuhusiana na kile walichokiita kadhia iliyotokea tarehe 10.10.2012 ya kunajisiwa kwa kitabu kitufu cha Qur'ani. Kushoto ni Imamu Mkuu wa Masjid Al-Amin Sheikh Ibrahimu Ghulaam na kulia ni Kiongozi wa Jumuia na taasisi na A-mallid Rajab Kitimba.

Na.MO BLOG TEAM


Taasisi na Jumuiya za Kiislamu nchini Tanzania wametoa tamko kufuatia kitendo cha kijana Emmanuel Josefati (14) kukojelea kitabu kitukufu cha Qur'an na kusababisha mgongano wa mawazo miongoni mwa watanzania.

Katika tamko lao wamesema ‘Tunalaani Kitendo cha kukojolewa Qur'an Tukufu ambayo ni Kitabu Kitakatifu kwa Waislam Wote Duniani'.

‘Tunataka kusikia tamko la serikali la kulaani kitendo cha kukojolewa Qur'an'.

‘Tunataka serikali kukemea kitendo cha Jeshi la Polisi kushambulia Misikiti, waumini na Kuvuruga ibada'.

‘Tunalaani vitendo vya uchokozi wa kidini'.

‘Tunalaani matumizi ya matumizi ya nguvu kubwa dhidi ya raia yaliyofanywa na Polisi'.

‘Tumehuzunishwa sana na kitendo na kitendo cha kushambuliwa Misikiti na Makanisa kilichotokea Mbagala'.

‘Tunatoa siku 7 ndani ya siku hizi Waislamu wanaoshikiliwa na Polisi wapewe haki yao ya dhamana'.

Hawa ndio watumishi wa Mungu ambao wanahubiri habari njema za Mungu wao ili watu waweze kufika mbinguni. Hivi haya maneno yanatoka katika vinywa vya watumishi wa Mungu haya????????????? Wanalaani kushambuliwa kwa misikiti ipi Mbagala? Mimi nafikiri Serikali ifuatilie jambo hili kwa kina kwani inawezekana kuna wageni walio katika mgongo wa matukio haya. Wengine matukio haya ni accoutability ya fedha walizopewa kuenezea dini. Hivyo matukio haya yanadhihirisha kazi waliyofanya kipindi fulani ili waweze kutumiwa fedha nyingine. Ndio maana zinatafutwa kila sababu za kuanzisha fujo ambazo hazina kichwa wala miguu. Ngoja tuone tena kama serikali itawaogopa na kuwatoa hao wahuni walioshikiliwa ili na wenye imani zingine tuamue na sisi hatua sahihi za kuchukua. Katika fujo za Mbagala wamechoma na kuchanacha na Biblia. Je na sisi tuingie mitaani waone kama DSM au Tanzania itakalika? Ukimfuga simba usjisahau ukadhania ni mbwa anabakia kuwa simba yule yule. Siku atakapoamua kuvunja boma aingie mtaani patachimbika.
 
img_3194.jpg


sheikh kutoka jumuiya na taasisi za kiislamu tanzania ponda issa ponda (katikati) akitoa tamko mbele ya vyombo vya habari kuhusiana na kile walichokiita kadhia iliyotokea tarehe 10.10.2012 ya kunajisiwa kwa kitabu kitufu cha qur’ani. Kushoto ni imamu mkuu wa masjid al-amin sheikh ibrahimu ghulaam na kulia ni kiongozi wa jumuia na taasisi na a-mallid rajab kitimba.

na.mo blog team


taasisi na jumuiya za kiislamu nchini tanzania wametoa tamko kufuatia kitendo cha kijana emmanuel josefati (14) kukojelea kitabu kitukufu cha qur’an na kusababisha mgongano wa mawazo miongoni mwa watanzania.

katika tamko lao wamesema ‘tunalaani kitendo cha kukojolewa qur’an tukufu ambayo ni kitabu kitakatifu kwa waislam wote duniani’.

‘tunataka kusikia tamko la serikali la kulaani kitendo cha kukojolewa qur’an’.

‘tunataka serikali kukemea kitendo cha jeshi la polisi kushambulia misikiti, waumini na kuvuruga ibada’.

‘tunalaani vitendo vya uchokozi wa kidini’.

‘tunalaani matumizi ya matumizi ya nguvu kubwa dhidi ya raia yaliyofanywa na polisi’.

‘tumehuzunishwa sana na kitendo na kitendo cha kushambuliwa misikiti na makanisa kilichotokea mbagala’.

‘tunatoa siku 7 ndani ya siku hizi waislamu wanaoshikiliwa na polisi wapewe haki yao ya dhamana’.

tunakumbokeza sheikh ponda kwa kuwatete waislam. Tunajua unapambana na watu waliandaliwa miaka 50 ya uhuru wetu. Lkn umetufanya watz hasa waislam tufahamu mengi
 
Kwani mangapi mtu anayafanya kwa dini nyingine bila kujua anaelimishwa nakuachiwa huru?hivi ni mungu gani asiye toa msamahaa!hivi ni mungu gani mmbabe!sisi mambo ya Waarabu yanatuhusu nini,kama vipi c uhamie huko utuache kwa amani!Jamani embu tuacheni tutafute pesa,hapa tu kuna amani hazipatika sasa kukiwa na vurugu si ndo itakuwa balaa!Hivi serikali huyu PONDA ni nani anaachiwa anfanya anavotaka!!?anasema anachotak?/ anatisha anavo taka!mwekeni kizuizini!
 
Naogopa kuchangia hapa kwasababu nina masaa macheche sana kutoka kutumikia adhabu yangu ya Ban kwa kile Mods walichoita kuwagawa Watanzania kwa misingi ya kidini. Mada za kidini nitakuwa nikichangia pale tu ninapokuwa nipo tayari kupata Ban kwasababu haitatokea nikawachekeachekea waislam wa Design ya mbagala
 
Hizi ni dalili tosha za kutokujiamini!nyie endeleeni kutokujiamini,lalamikeni mnaonewa!hakuna aliye tayarishwa,na shehe ponda hatetei bali anawapotosha!naamini kabisa sisi waisilam tulio elimika na dini imetukaa hatuwezi mwendekeza mtu anye tumilead kama Ponda!PONDA ULAANIWE!
 
Back
Top Bottom