Waislam nchini watoa tamko na kulaani uchokozi wa kidini

"tunalaani wanaoeneza chuki za kidini"
"tunalaani ubaguzi wa aina yeyote ile"
"tunalaani hasira, ubinafsi na uhuni"
"tunalaani wanaochafua dini ya amani"
" tunalaani serikali isiyotenda haki"

...tulaani na wale wote wanaochochea mambo haya na taasisi zao...tuwaeleze ukweli kuwa uislamu wa kisiasa ni janga kwa jamii...lkn siasa ya kiislamu no wokovu kwa jamii...!!
 
....ni siasa ya kiislamu ndio itakayotupa mustakabali bora zaidi kwa ajili ya maendeleo yetu na vizazi vyetu vinavyokuja-insha allah- kama taifa na huku tukiwa tumeshikamana zaidi kama taifa....! Uislamu wa kisiasa utatuangamiza kama ulivyoziangamiza somalia, na kama unavyoziangamiza pakistan, afghanistan....!
 
Kuna siku mende atakuja kuangusha vyombo majumbani kwao, watasema ametumwa na wakristo.
 
Hivi Mashekh wazima wameweka rungu la mgambo hawa kama siyo Criminal tuwaiteje? hii ni dini shari kabisa.
 
analaani nini sasa huyu, mbona yuko kimya kuhusu kuchoma makanisa huyu....aaargh!
Aipe serikali siku saba kama nani? Otherwise itakuwaje...aache vitisho vya ajabu!
ndo maana mimi naona tatizo la huyu bwana si muadilifu.angekuwa mwadilifu angelaani yote mabaya ikiwemo kuharibiwa makanisa na kukojolewa qur'an.sasa yeye analaani moja tu kwa kuwa limefanya na wenzake.kikwete ndo muadilifu maana kallaani yote na kasema wote wamefanya vibaya kabisa. Halafu ponda anasema jana serikali ilaani kuchafuliwa qur'an na wakati kikwete alishalaani kweli siku ya kuzima mwenge.yaani inaonekana huyu bwana anataka shari tu.si unajua mtu anae taka mgogoro hata ujitahidi vipi atakuja tu.hata ukiamua kujifungia kwako atakuja kukupigia makelele dirishani ili mradi tu mkorofishane
 
hivi mashekh wazima wameweka rungu la mgambo hawa kama siyo criminal tuwaiteje? Hii ni dini shari kabisa.
ndugu yangu!si kila mvaa kanzu muislam wala kila mvaa msalaba ni mkristo.kila mtu ana mambo yake na dini zinabakia kufundisha mema.kwa mfano qur'an husema; na utawakuta waliokaribu zaidi na waislam ni wanaosema ni wakristo kwa sababu miongoni wmao wapo wanazuoni na wachao mungu.na aya nyingi zinaonya juu ya kumfanyia mwenzio usiyopenda kufanyiwa.NA KUSISITIZA KUFANYIA MWENZIO KAMA UNAVYOPENDA KUFANYIWA
 
'tunalaani chuki na chokochoko inayoenezwa na radio/tv imaan'

'tunalaani mbegu mbaya iliyopandwa na mkuu wa kaya'

'tunalaani kuacha mbegu hiyo iote mizizi na kuchipua'

'tunalaani kukosa kiongozi shupavu wa kukemea haya na hasa radio/tv imaan'

'tunalaani kufungiwa mwanahalisi na kuacha radio imaan ikikiuka maadili'

mungu ibariki tanzania.

pamoja sanaaaaaa
 
"tunalaani wanaoeneza chuki za kidini"
"tunalaani ubaguzi wa aina yeyote ile"
"tunalaani hasira, ubinafsi na uhuni"
"tunalaani wanaochafua dini ya Amani"
" Tunalaani serikali isiyotenda haki"
tunalaani wanaotoa nyaraka za uchonganishi za kidini
 
Tukio lenyewe linatatiza sana wengine wanasema jumatatu,wengine alhamisi sasa iweje tukio litokee sikunyingine na wale wenye hasira wakafanya uharibifu sikunyingine na kwa ushahidi gani!
 
tunamlaan muasisi wa udini baba wa taifa,tunawalaan wanaoipendelea dini yao ktk kuwaumiza waislam nchini necta,..
 
MUNGU WETU WA AMANI AKUSAMEHE, HUJUI USEMALO!!! MUNGU WETU MWEMA HATORUHUSU DAMU KUMWAGIKA TANZANIA! Unaongozwa na shetani, shetani ndiye hupenda na kuchochea vita, sali, funga, mchukie shetani! TETEA AMANI!

WALAANIWE WOTE WANAOCHOCHEA VURUGU NA VITA NCHINI KWETU TANZANIA! MUNGU si mwanadamu, hatakuwa upande wao!
cacico,

Ninapenda unavyopenda Nchi na amani ya nchi!

I love how you love love and humanity!

I love how you stand firm love all virtues of integrity and nobility!

Hakika Mungu si mwanadamu ... Umefanya siku yangu kuwa ya kueeleweka, pamoja sana!!
 
Last edited by a moderator:
Tunalaani tapeli anayejiita shehe Issa Ponda mrundi anayeeneza chuki ili Tanzania iwe kama kwao Burundi.
Tulaani rais anayewalea wahuni na matapeli kama Ponda bila kuwarejesha kwao au Segerea
Tunalaani wanaotumia dini kufanya wizi hasa wa divai na jenereta
Tunalaani wote wanaojali dini zao kabla ya taifa lao
Wote hao walaaniwe.

Pia Tunalaani migomo na maaandamano yanayochochewa na Wilberd Slaa(Msomali) ambae alitangaza kinagaubaga kuwa TZ haitatawalika baada ya yeye kushindwa uchaguzi wa 2010!!!
Tunalaani fujo na vurugu zote zinazochochewa na viongozi wa Chadema kwa kuhusika na migomo ya madaktari, waalimu nk. ukiwachunguza viongozi wao wote wanaasili ya Rwanda, zambia na msumbiji!!!
 
Back
Top Bottom