I thought Nyerere despised Gaddafi (whole Kagera war fiasco..) why would he ask for a msikiti..from him or anyone for that matter.
anyways, sheh mlevi huyo useless kabisa.
Kwani hao wanaoandamana siyo waislamu?
Msipoteze muda na hao pink Muslim wa Dodoma !
Ninachosisitiza hapa ni kuwa suala hilo lisifanywe au lisiunganishwe na imani za dini. Hao mamilion ya watu mideast wangemsikia sheikh wa dodoma pengine wangezimia wote. Lakini hata hapa JF na Tanzania kwa ujumla na pengine ndani ya msikiti huo wa sheikh kuna maelfu ya waislam waliochukizwa na kushangazwa na kauli ya sheikh. Hatutawatendea haki kama kauli ya mtu mmoja itafungamanishwa na imani za mamilioni ya watu. Kauli hii ni yake na sidhani kuwa ni ya waislam. Kama alivyowahi kusema Askofu kilaini, JK ni chaguo la mungu, ile imebaki kuwa kauli yake na si kauli ya Wakristo. Tujaribu kuchambua hoja zaidi kuliko kuweka mbele hisia zetu au kutowatendea haki wasiojihusisha na kauli za baadhi ya watu.
Huyo sheikh wa Dodoma ni Kafir
I hope this is a joke! CDM na Wakristo wameweza kuwashahuri Walibya kuandamana kumwondoa Gadhafi? Kweli kuna tatizo hapo huo msikiti Dodoma. Here we go again...
Unajua maana ya Kafir? kwakuwa umesema usilolijua nitakuomba msamaha kama hutapendezewa na tafsiri yangu. Kiislam asiekuwa mwislamu kama wewe tunamwita kama ulivyomwita huyo sheikh "Kafir" yaani wewe unaangukia kundi hilo. Makafir wao hawaamini kama kuna Mungu mmoja ambae hakuzaa wala hakuzaliwa. Makafiri hawaamini kuwa Mungu anaweza kusema kitu kiwe na kikawa mfano mimba ya nabii Issa. Makafiri wanakula visivyochinjwa. Sasa angalia hizo sifa then utajua wewe na Sheikh nani KAFIRI!
The original meaning of the word is 'heathen', 'unbeliever' or 'infidel', from the Arabic 'kafir' and is still being used with this meaning by Muslims. The Arabic term Kafir (arab كافر is, however, also applied to simply anyone who is not a Muslim. .
kwenye hizo bold nyekundu ndipo anapoangukia Masanilo...........
Unajua maana ya Kafir? kwakuwa umesema usilolijua nitakuomba msamaha kama hutapendezewa na tafsiri yangu. Kiislam asiekuwa mwislamu kama wewe tunamwita kama ulivyomwita huyo sheikh "Kafir" yaani wewe unaangukia kundi hilo. Makafir wao hawaamini kama kuna Mungu mmoja ambae hakuzaa wala hakuzaliwa. Makafiri hawaamini kuwa Mungu anaweza kusema kitu kiwe na kikawa mfano mimba ya nabii Issa. Makafiri wanakula visivyochinjwa. Sasa angalia hizo sifa then utajua wewe na Sheikh nani KAFIRI!
Njaa ni kitu kibaya sana..yaani kupewa fadhila kidogo mtu anaamua kufumbia macho binadamu wenzake wanavyouawa kama mende na dikteta.