Waislam Dodoma watoa Tamko kumwombea mwislam mwenzao Gaddafi

Duh kweli Tz tuna watu na viatu.

Jamani Sheik kajengewa msikiti na Gaddafi, pia huwezi kujua inawezekana na running costs zinatoka kwa Gadafi akiondoka sheik atakosa ulaji.
 
I thought Nyerere despised Gaddafi (whole Kagera war fiasco..) why would he ask for a msikiti..from him or anyone for that matter.

anyways, sheh mlevi huyo useless kabisa.

Nyerere akiwa na MNF(Mwalimu nyerere foundation) alimwomba gaddafi achangie ujenzi wa chuo kitarajiwa butiama, gaddafi alikubali kutoa hela, lakini akatoa sharti zitumike kujenga msikiti! Kuhusiana na vita vya kagera, hayo yalishapita, maana gaddafi alitaka kutoa hela ili arudishiwe askari wake waliotekwa na JWTZ, nyerere akakataa hela, akawaachia bure wale wafungwa. Hapa linaonekana pia tatizo la misaada ya gaddafi-anapenda sana kusaidia miundombinu ya elimu ya kiroho tu na si elimu dunia, ambayo nayo ni muhimu sana.
 
@max shimba. Huja tutendea haki sisi waislam wengine wa tanzania kutwambia tunaunga mkono unyama wa libya. Mimi huwa na bishana sana kwa kila anaemtetea gadafi maana gadafi ni muuwaji. Hata maulamaa na masheikh wengi tu wa libya wameuliwa na huyo dicteta gadafi. So shehe wa dom anaganga njaa tu lkn hasemi ukweli. Sio kila anaeitwa shehe akawa kweli.
 
Yote hayo yamepangwa na mataifa ya magharibi ili kuzitia doa nchi za kiarabu zilizokuwa zimetulia sasa waanze chokochoko na kuuwana wenyewe kwa wenyewe.
 
Msipoteze muda na hao pink Muslim wa Dodoma !

Ninachosisitiza hapa ni kuwa suala hilo lisifanywe au lisiunganishwe na imani za dini. Hao mamilion ya watu mideast wangemsikia sheikh wa dodoma pengine wangezimia wote. Lakini hata hapa JF na Tanzania kwa ujumla na pengine ndani ya msikiti huo wa sheikh kuna maelfu ya waislam waliochukizwa na kushangazwa na kauli ya sheikh. Hatutawatendea haki kama kauli ya mtu mmoja itafungamanishwa na imani za mamilioni ya watu. Kauli hii ni yake na sidhani kuwa ni ya waislam. Kama alivyowahi kusema Askofu kilaini, JK ni chaguo la mungu, ile imebaki kuwa kauli yake na si kauli ya Wakristo. Tujaribu kuchambua hoja zaidi kuliko kuweka mbele hisia zetu au kutowatendea haki wasiojihusisha na kauli za baadhi ya watu.

Okay shukran sana mkuu Nguruvi3,

Labda kwa kuwasaidia kidogo tu ni kuwa pale Dodoma karibu na viwanja vya barafu kuna msikiti mkubwa na unasadikika kuwa ni msikiti mkubwa kuliko yote afrika mashariki. Msikiti ule ulijengwa kwa msaada wa 100% na serikali ya Gadafi kwahiyo pemgine Sheikh haku diklea konfliti of interesti kwanza na ndio imepelekea kina Masanilo kuwaita Waislam wote wa Dodoma kuwa ni Pink Muslims.
 
Huyo sheikh wa Dodoma ni Kafir

Unajua maana ya Kafir? kwakuwa umesema usilolijua nitakuomba msamaha kama hutapendezewa na tafsiri yangu. Kiislam asiekuwa mwislamu kama wewe tunamwita kama ulivyomwita huyo sheikh "Kafir" yaani wewe unaangukia kundi hilo. Makafir wao hawaamini kama kuna Mungu mmoja ambae hakuzaa wala hakuzaliwa. Makafiri hawaamini kuwa Mungu anaweza kusema kitu kiwe na kikawa mfano mimba ya nabii Issa. Makafiri wanakula visivyochinjwa. Sasa angalia hizo sifa then utajua wewe na Sheikh nani KAFIRI!
 
I hope this is a joke! CDM na Wakristo wameweza kuwashahuri Walibya kuandamana kumwondoa Gadhafi? Kweli kuna tatizo hapo huo msikiti Dodoma. Here we go again...

BTW,
Msikiti huo na ule wa Butiama alijenga Gaddaffi so hakuna jipya
 
Unajua maana ya Kafir? kwakuwa umesema usilolijua nitakuomba msamaha kama hutapendezewa na tafsiri yangu. Kiislam asiekuwa mwislamu kama wewe tunamwita kama ulivyomwita huyo sheikh "Kafir" yaani wewe unaangukia kundi hilo. Makafir wao hawaamini kama kuna Mungu mmoja ambae hakuzaa wala hakuzaliwa. Makafiri hawaamini kuwa Mungu anaweza kusema kitu kiwe na kikawa mfano mimba ya nabii Issa. Makafiri wanakula visivyochinjwa. Sasa angalia hizo sifa then utajua wewe na Sheikh nani KAFIRI!

The word kaffir, sometimes spelled kaffer or kafir, is an offensive term for a black person, most common in South Africa and other African countries. Generally considered a racial or ethnic slur in modern usage, it was previously a neutral term for black southern African people.
The original meaning of the word is 'heathen', 'unbeliever' or 'infidel', from the Arabic 'kafir' and is still being used with this meaning by Muslims. The Arabic term Kafir (arab كافر) is, however, also applied to simply anyone who is not a Muslim. Portuguese explorers used the term generally to describe tribes they encountered in southern Africa, probably having misunderstood its etymology from Muslim traders along the coast. European colonists subsequently continued its use. Although it was in wide use between the 16th and 19th centuries, and not generally seen as an offensive term, as racial tensions increased in 20th century South Africa and the surrounding countries, it became a term of abuse.
The word was used in English, Dutch and, later, Afrikaans, from the 16th century to the early 20th century as a general term for several different peoples of southern Africa. In Portuguese the equivalent cafre was used.
In South Africa today, the term is used both as an insult, and by some, as a common word for a black person. In any case, the term is regarded by most as derogatory (in the same way as "nigger" in other countries). Use of the word has been actionable in South African courts since at least 1976 under the offense of crimen injuria: "the unlawful, intentional and serious violation of the dignity of another".
 
kwani walibya sio waislam safi wanaoujua uislam kama wale wa dodoma,anyway nadhani kuna tatizo tunalo la kujifanya eti wale tunaoamini pamoja ndio ndugu zetu kuliko hata ndugu wa damu,..angalia mifano ya israel - paletine fight,watu eti wanaandama tz kulaani fujo huko wakati wanchali - walinchoka hapo mara wakiuana watu kimya,....mmmmmmmmmmmmmmh.
 
Ama kweli Dini is so powefull, inaweza kukuaminisha kwamba mke wako hajatoka nje ya ndoa hata kama umemkuta live kitandani na njemba. This is the only contribution i can offer here.
 
Nataka niamini kwamba wakati mwingine waislamu wanasingiziwa tu, ngoja nisubiri kama hili ni la kweli sichangii kwanza
 
Unajua maana ya Kafir? kwakuwa umesema usilolijua nitakuomba msamaha kama hutapendezewa na tafsiri yangu. Kiislam asiekuwa mwislamu kama wewe tunamwita kama ulivyomwita huyo sheikh "Kafir" yaani wewe unaangukia kundi hilo. Makafir wao hawaamini kama kuna Mungu mmoja ambae hakuzaa wala hakuzaliwa. Makafiri hawaamini kuwa Mungu anaweza kusema kitu kiwe na kikawa mfano mimba ya nabii Issa. Makafiri wanakula visivyochinjwa. Sasa angalia hizo sifa then utajua wewe na Sheikh nani KAFIRI!

Mbona wewe ni Muislam lakini unamatendo ya Kafir? Mungu unayemuamini wewe ni Mfu nitofauti kabisa na Mungu wangu aliyehai.
 
Njaa ni kitu kibaya sana..yaani kupewa fadhila kidogo mtu anaamua kufumbia macho binadamu wenzake wanavyouawa kama mende na dikteta.
 
Back
Top Bottom