Wahindi wahama Moshi

""Aisee kuna topic flan zinakuwaga zinakula kwa wach''' ... huwa zisipendi , '' lakini anyway sababu kubwa ni huku kujioboast''' huwa kunawagharimu sana na watu wanaamua kupakaza mbayaaaa. Jichekini hamhitaji kupiga yowe wote wanawafahamu.
 
wachaga ni wabaguzi sana na pale moshi kama we sio mchaga ukaanzisha biashara yako nzuri lazima wakufitini ufilisike.wahindi wameshindwa ukabila unafanywa na wachaga mkuu.nina uzoefu na mji huo sana

MkuuTAMUCHUNGU naona unapika tu majungu hapa kwa hawa ndugu zetu wachaga. Niwajuavyo mimi ni watu waliomakini kwenye masuala ya kusaka ngawira na ni vigumu kucompete with those guys kama una moyo mwepesi wa kutaka mafanikio ya haraka katika biashara yako. Nimekaa sana na wachaga ni watu poa, huo ubaguzi usemao naona ni uzushi kwani kwa ss Mji wa Moshi una makabila ya kila aina na watu wanapiga kazi kama kawa. Ila nimewaza kitu kimoja yawezekana hawa jamaa walikupiga cross ndo maana unachonga yote hayo.
 
Mkuu umenikumbusha wahindi wote wa Moshi. Kuna kijiwe flani cha mhindi karibu na jamatini miaka ya 83 na 84 tulikuwa tunanunua sana bagia na kachori. Kunaitwa kwa Janny! Sijui kama yule mhindi bado yupo au keshavuta tayar cuz miaka hiyo alikuwa mzee!
kumbe we walongi namna hiyo!?anzia leo Itabidi nikuheshimu sana, mkuu janni yupo na anaendelea na biashara ya chauro km kawa, kala bagia kanenepa kama tembo
 
nitajie mfanyabiashara mkubwa ambaye sio mchagga aliefanikiwa akiwa moshi.wachagga ni watu wabaya sana ndio maana hata nyerere aliwalaani

Teh teh utamu utazidi kuwa Mchungu mjombi. Nyerere aliwalaani vp wachaga wkt yeye alikuwa binadam kama sisi unampa ukuu wa MUNGU mwenye mamlaka hayo, acha ishu za kishamba weye. Chonde chonde kina Mangi mliomtapeli huyu jamaa rudisheni HELERI zake please!
 
kumbe we walongi namna hiyo!?anzia leo Itabidi nikuheshimu sana, mkuu janni yupo na anaendelea na biashara ya chauro km kawa, kala bagia kanenepa kama tembo
Dah! Kumbe bado yupo!!! Long time sana hiyo ilikuwa. Angel, kwani wewe wa mwaka gani? Mimi nilisoma pale Mawezi PR! Nilikuwa najulikana kama mzee wa Zambezi!
 
Ujue yule jamaa huezi jua kama kafa ama vipi, sababu mwenyewe kumuona ni kwa nadra sana, ila huduma ya kacholi na chauro iko pale pale na siku za sikukuu za X-Mass, Eid, Pasaka na Nu year hilo eneo halikamatiki ingawa kwa sasa huezi fananisha na miaka ya 90 hadi 95.
 
Ubaguzi wa Wachaga huwa unafikia kiwango unawatafuna wao kwa wao.
Mmachame akija mjini anaelekea duka la Mmachame mwenzake.
Mmarangu akija mjini, anaelekea duka la Mmarangu wmenzake
Mkibosho hivyo hivyo, n.k.

Lakini Mrombo akikosa duka la Mrombo atahamia kwa jirani mmarangu. Hatakwenda kwa duka la Mpare hata siku moja. Akienda atalazimika kusimulia wenzake kwamba wamemponza!
Haya yote sasa kamji ka Moshi kamesinyaa! Hakuna maendeleo, hakuna ufanisi, wote wanatimukia Arusha. Huko mambo yatawaka tu! Ndo maana wanajidai kusema kanda ya kaskazini ili wajione wako pamoja na wapare na Arusha. No! Ni wabaguzi tu!
 
Back
Top Bottom