Wingu
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,318
- 401
Kweli inanonekana moshi haijui manake alichokiongea ni tofauti kabisa.Kwanza sasa hivi moshi biashara ni hamna mji sio kama ule moshi ya zamani watu wanakimbilia Arusha kaka.Na ukiona mhindi kashindwa ujue hali ni mbaya kibiashara.Na wengi wao wanaenda Arusha
Moshi miaka yote haina idadi kubwa ya wahindi kama ilivyo kwa mikoa mingine hapa nchini. Nafikiri mtoa mada hujui historia ya moshi vizuri.