.
Nafikiri inahitaji kujifunza culture za watu wengine. Mfano mimi mila , desturi na sirka na hata dini yangu hairuhusu kabisa kuifunua maiti na kuiweka hadharani kila mtu aone aibu za maiti. Nilikuwa najiuliza je kuna mtu akiwa na akili timamu anaweza kukubali kulazwa kama alivyolazwa marhum Regia na kisha watu wapite wamwamgalie kama walivyofanya. Kama mtu mzima hawezi kwanini mnadhalilisha maiti?
Ok lakini ni mila, desturi zenu hatuchukii bali tunabaki kushangaa. Kwani hata makabila mengine wanachoma maiti nalo pia ni la kushangaza.
Ndio maana tunasisitizwa tutembee tuone na kujifunza mengi sana.
Mwanawaukweli kitu unachosahau kuwa hao ni wapalestina. Kwanza kabisa Wapalestina wapo wa dini tofauti. Kumbuka huko ndiko alikozaliwa Yesu (AS).
Isitoshe Wapalestina wapo vitani na wanaonesha wahanga wao wanaouliwa na mayahudi kila kukicha ili kuhamasisha kuzidisha hamasa.
Na hapo, unapoonesha hawaagwi hao, wanapelekwa wakazikwe.
Tatizo wabongo nao wamejazana mno nchini mwao so kabla hujafikiria kuwatimua, fikiria na Watanzania waliopo nchini mwao.wallah hawa jamaa hawatufai ni bora tuwasepeshe make ndo vinara wa uvunjifu wa sheria kisa kapiga picha na mzee wa msoga
Hizo picha zote ni za waislam, ingawa si kweli kwamba zote ni za wapalestina. Picha ya mwisho ni ya Waislam wa Kashmir India, kuna ya Iraq pia.
tangu lini wahindi wanaojiita watanzania wakachangamana na watanzania aiee hizi ngozi mimi sitaki hata kuziona kazi kukaa magorofani na kumwagia maji wapita njia
Hoja dhaifu, nyingine??Mwanawaukweli kitu unachosahau kuwa hao ni wapalestina. Kwanza kabisa Wapalestina wapo wa dini tofauti. Kumbuka huko ndiko alikozaliwa Yesu (AS).
Isitoshe Wapalestina wapo vitani na wanaonesha wahanga wao wanaouliwa na mayahudi kila kukicha ili kuhamasisha kuzidisha hamasa.
Na hapo, unapoonesha hawaagwi hao, wanapelekwa wakazikwe.
Wachina wamezidi jeuri nenda vast garage kijitonyama ujiönee.
Siku mkiuumwa mnakimbilia India ati, mbona hapo mnasahau ubaguzi na kwenda kuwapapatikia hawo ambao nyie mnawachukia. Kuna tofauati baina ubaguzi na mila. Kama wahindi wangewakatalia nyiwe kutibiwa India ndo hapo mseme mebaguliwa sio kuleta uzushi kwenye mazishi ya watu.
hiyo ni biashara kaka! hawaendi kutibiwa bure, ni mwendelezo ule ule wa ufisadi wao, ili hospitali zetu zisiwe na huduma nzuri kwa ajili ya wananchi wote, ziendelee kuwa duni!
hiyo ni biashara kaka! hawaendi kutibiwa bure, ni mwendelezo ule ule wa ufisadi wao, ili hospitali zetu zisiwe na huduma nzuri kwa ajili ya wananchi wote, ziendelee kuwa duni!
Hoja zingine, zinaskitisha sana, ushindwe wewe kujiendeleza usingizie Hospitali za wahindi?