Wahindi na Waarabu wa Tanzania ni Wabaguzi

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
Nimeshangaa sana uwanja mzima wa Karimjee kumefurika watu vibaya sana lakini
sijapata kuona mhindi au mwarabu hata mmoja pale.
Ina maana hawakupata taarifa za mazishi ya mpambanaji wa CHADEMA?AU hawajihusishi
na mazishi ya watu weusi?

Nimemuona mzungu mmoja tuu pale.mpaka naanza safari ya kuodoka uwanjani.

R.I.P Regia Mtema
 
habari ndio hiyo na ndio hapo utakapogunduwa kuwa sio watanzania wenzetu wapo kwa maslahi yao zaidi
 
tangu lini wahindi wanaojiita watanzania wakachangamana na watanzania aiee hizi ngozi mimi sitaki hata kuziona kazi kukaa magorofani na kumwagia maji wapita njia
 
Nimeshangaa sana uwanja mzima wa Karimjee kumefurika watu vibaya sana lakini
sijapata kuona mhindi au mwarabu hata mmoja pale.
Ina maana hawakupata taarifa za mazishi ya mpambanaji wa CHADEMA?AU hawajihusishi
na mazishi ya watu weusi?

Nimemuona mzungu mmoja tuu pale.mpaka naanza safari ya kuodoka uwanjani.

R.I.P Regia Mtema
Mawazo ya kitoto hayo, ww ulienda Karimjee kwa ajili ya msiba au ulienda kufanya sensa? Haya tuambie kati ya waliohudhuria idadi ya Wamasai, Wagogo, Wajita... Acheni kueneza chuki zisizo na msingi, kwa ujinga tu.
 
tangu lini wahindi wanaojiita watanzania wakachangamana na watanzania aiee hizi ngozi mimi sitaki hata kuziona kazi kukaa magorofani na kumwagia maji wapita njia

mkuu hawa ni wapita njia tu..kubwa tushikamane sisi wazalendo.
 
Waje wasije haitazuia Mungu kumpokea na haitazuia kwa yeye kuzikwa so just pray for Ragia apate pumziko la milele
 
Kama ingekuwa tenda ungewaona wengi sana. au ungeraka wauza mafuta ya petrol ungewapata pia.
 
mawazo ya kitoto hayo, ww ulienda karimjee kwa ajili ya msiba au ulienda kufanya sensa? Haya tuambie kati ya waliohudhuria idadi ya wamasai, wagogo, wajita... Acheni kueneza chuki zisizo na msingi, kwa ujinga tu.

ukiona manyoya ujue tayari ameliwa
 
Wahindi na Waarabu wa Tanzania ni watanzania. Mbona mimi nilikuwepo au ulikuwa na makengeza?
 
Daah hawa watu huwa hawahudhurii misiba pasipo kualikwa kama sisi waswahili..
 
Mawazo ya kitoto hayo, ww ulienda Karimjee kwa ajili ya msiba au ulienda kufanya sensa? Haya tuambie kati ya waliohudhuria idadi ya Wamasai, Wagogo, Wajita... Acheni kueneza chuki zisizo na msingi, kwa ujinga tu.

ni nani wanaochukia wenzao? Manake hatuwaoni vijiweni, kwa mama ntilie, hatuwaoni kibesa kuchoma mkaa, kwenye vibanda vya gongo, uswazi, kuoana....! Hawa ni wabaguzi wabaya sana tena nafuu ya maarabu kuliko hawa wahindi. Ni nuksi kweli kweli na wasipo badilika haraka waallah watavuna wanacho kipanda hawa!
 
WAHINDI NA WAARABU HAWAFAI,MAANA WANAJITENGA SANA NA INDIGENOUS-
si kwenye msiba tu,hata lugha ya kiswahili wengine hawataki kuijua,as if wapo india au uarabuni,
siku yao ikifka wataondoka kama walivyoondoka uganda
 
Back
Top Bottom