Wahindi na Waarabu wa Tanzania ni Wabaguzi

Serikali ya chama chako cha ccm imeshindwa kuboresha huduma za afya nchini.

Viongozi wakiugua hata mafua tu wanakimbizwa india, wengine wanakaa hadi miezi mitano, wengine wameruhusiwa kutoka hospitali lakini wanang'ang'ania kubaki wodini!

Shame on you FF na magamba yako.

Haya maneno yaku yanasikitisha sana maana serikali ya Tanzania ni ya mfumo wa vyama vingi no sio CCM tu. Kama cjama cha FF imeshindwa mbona usipeleke madai yako kwa mbunge wako au kwa mwanasiasa amabaye siye wa CCM kuliko kumsuta FF amabaye ana haki ya kuwa mwanachama wa chama yeyote iliyesajiliwa kihalali hapa TZ. mimi naona sisi discusion zetu humu zaidi ya ni kitoto kuliko kujadildiana kiutu uzima na kujikomboa. Well I can only say one thing:- Shame on us, kuwasingizia watu wengine matatizo yetu !!!!!
 
Mi naona tusimshambulie mtoa mada badala yake tupanue mada kwa kujadili ubaguzi wa jamii hizi(wahindi na waarabu) wa Tanzania kwa ujumla wake. Siyo siri suala la ubaguzi wa watu hao linasemwa na watu wengi. Tulijadili ili wenye kasoro hiyo wajirekebishe. Tuliwakaribisha Tanzania na tumewafanya ndugu zetu.
 
Acheni wivu na majungu punguzeni starehe na mambo ya ajabu mtafanikiwa tu

Kushindia pande bichi la muhogo, na kuliweka chumvi na pilipili kwako ndio starehe hiyo? tuipunguze ili tena tuwe marehemu watarajiwa? au, daah,!
 
Serikali ya chama chako cha ccm imeshindwa kuboresha huduma za afya nchini.

Viongozi wakiugua hata mafua tu wanakimbizwa india, wengine wanakaa hadi miezi mitano, wengine wameruhusiwa kutoka hospitali lakini wanang'ang'ania kubaki wodini!

Shame on you FF na magamba yako.

Zitto Kabwe! ungejuwa anapokwenda kutibiwa Mbowe ungeufyata.
 
nyie ndo wale mnaokatwa shingo kwa nyuma kisa mnaenda mbele, na nyuma hamuangalii
Hakika nyani huwacheka wenzake kwa kuwa hajioni! Nyie ndio waleee msioenda mbele! kisa, shingo zenu mmezigeuza kuangalia nyuma tu, mbele hamuoni tena.
 
nyerere alifanya kosa sana kuwapokea wahindi kutoka uganda,hawa watu ni wa kufukuza kabisa.
Usipotoshe watu hapa kwa uongo wako. Baadhi ya Wahindi wa Tz. Walishaanza kuondoka wenyewe baada ya kutaifishwa mali zao. Wahindi waliofukuzwa Uganda walikwenda Ulaya na Amerika, na sasa ni matajiri wakubwa huko!
 
Hapa hoja ni kushirikiana!
Kwa hiyo usilete hoja dhaifu kutetea huo ubaguzi unaofanyika! Kuhusu kuaga maiti wewe si unaweza usiiage, na kujikalia pembeni? Hivi muhammad aliagwa siku3 hadi maiti ikaharibika naye alidhalilishwa? Au! Kwani ukikubali huo udhaifu si ndio uungwana Baru? waswahili husema, "Mkubwa akishtukizwa yuko uchi huchutama ili kujistiri".
Haya sasa Muhammad anaingiaje hapo? Au umeamuwa kukashifu kiaina? Acheni chuki zenu za kijinga mpaka kwa Mitume wa Mwenyezi Mungu! Utapata laana ya bure. Mpuuuzi ww.
 
Haya sasa Muhammad anaingiaje hapo? Au umeamuwa kukashifu kiaina? Acheni chuki zenu za kijinga mpaka kwa Mitume wa Mwenyezi Mungu! Utapata laana ya bure. Mpuuuzi ww.

Kwani wewe hujui muhammad ni kigezo cha waumini? sasa kuna kashfa hapo! Nimemjibu barubaru aliposema kuaga maiti ni kudhalilisha, hivyo basi yeye budi apewe mfano wa kigezo chake ili afute ujinga wa ubaguzi wake kwa kisingizio cha eti imani yake!
Sasa wewe nawe unasema kijumla tuache ubaguzi, daah!
Hivi anaembagua mwenzake nani? Ndiposa nimesema kama ubaguzi kauanzisha MMungu mwenyewe, ukiona nyani wetu ni mweusi na wa India ni muhindi! Hata hilo hujui? katiba ya india imebainisha wazi kwamba; "India is for PURE INDIANS" na haki zao zimebainishwa kikatiba. Wee usie mhindi halisia umo? Amkeni Watanganyika ondoeni tongo tongo za siasa tu!
 
Nimeshangaa sana uwanja mzima wa Karimjee kumefurika watu vibaya sana lakini
sijapata kuona mhindi au mwarabu hata mmoja pale.
Ina maana hawakupata taarifa za mazishi ya mpambanaji wa CHADEMA?AU hawajihusishi
na mazishi ya watu weusi?

Nimemuona mzungu mmoja tuu pale.mpaka naanza safari ya kuodoka uwanjani.

R.I.P Regia Mtema

Wangejaa kwenye mialiko ya ikulu au harambee za ccm kwasababu wanajua wanawekeza katika biashara zao.
 
katka vitu uantakiwa kumuomba mumngu wako akuepushie ni UMASIKINI kwani ukiwa masikini wa roho na mwili utakuwa na roho za wivu na kila mwenye mafanikio utakua unamuonea wivu pia kila mwenye rangi nyeupe uatafikiria anamafanikio hapa kinacho wa umiza wabogo ni wivu
 
Mi naona tusimshambulie mtoa mada badala yake tupanue mada kwa kujadili ubaguzi wa jamii hizi(wahindi na waarabu) wa Tanzania kwa ujumla wake. Siyo siri suala la ubaguzi wa watu hao linasemwa na watu wengi. Tulijadili ili wenye kasoro hiyo wajirekebishe. Tuliwakaribisha Tanzania na tumewafanya ndugu zetu.

Jamani huko Tanzania yaani hakuna kabisa , hakuna hakuna hata Padri mmoja ambaye ni Mhindi au mwarabu akatuwakilisha hapo.

au wote ni wazungu tu?
 
katka vitu uantakiwa kumuomba mumngu wako akuepushie ni UMASIKINI kwani ukiwa masikini wa roho na mwili utakuwa na roho za wivu na kila mwenye mafanikio utakua unamuonea wivu pia kila mwenye rangi nyeupe uatafikiria anamafanikio hapa kinacho wa umiza wabogo ni wivu

wivu kama ni wa maendeleo si tatizo! Hawa wenzetu wana wivu mbaya tena si wa kutuendeleza wazawa, ili tuendelee Kama wao. kwa malengo yao ya kututumikisha!, na wivu wao uko sirini sana! Hakika hawana uchungu na nchi wala wenye nchi! Tungekua na wivu hawa wageni wasingekuwa hata wajumbe wa nyumba10. kama sisi weusi ambavyo hatuna nafasi ya uongozi kule bombey! Leo mwananchi anakufa kwa kukosa huduma, unatoa jibu rahisi!
 
Back
Top Bottom