Wahindi na Waarabu wa Tanzania ni Wabaguzi

wallah hawa jamaa hawatufai ni bora tuwasepeshe make ndo vinara wa uvunjifu wa sheria kisa kapiga picha na mzee wa msoga
 
Inasikitisha jinsi Immigration wanavyokamata waafrica wenzetu kama wakenya, Warundi n.k eti sio raia na kuacha hawa wahindi...
Its a shame, kwa sababu ukienda nchi yeyote sanasana hapa east africa utakuta wabongo huko..
 
.

Nafikiri inahitaji kujifunza culture za watu wengine. Mfano mimi mila , desturi na sirka na hata dini yangu hairuhusu kabisa kuifunua maiti na kuiweka hadharani kila mtu aone aibu za maiti. Nilikuwa najiuliza je kuna mtu akiwa na akili timamu anaweza kukubali kulazwa kama alivyolazwa marhum Regia na kisha watu wapite wamwamgalie kama walivyofanya. Kama mtu mzima hawezi kwanini mnadhalilisha maiti?

Ok lakini ni mila, desturi zenu hatuchukii bali tunabaki kushangaa. Kwani hata makabila mengine wanachoma maiti nalo pia ni la kushangaza.

Ndio maana tunasisitizwa tutembee tuone na kujifunza mengi sana.

Mkuu picha hapo chini ni watu wenye mila kama zako na dini kama yako.
gaza-aug-25-2011-242.jpg

Palestinians carry the body of Islamic Jihad militant Ateya Mkat, 22, killed in an Israeli air strike

Wednesday, during his funeral in Gaza City, Thursday, Aug. 25, 2011.

gaza-aug-25-2011-271.jpg

Awad-dead.jpg

Fatah al Islam supporters carry the body of their leader, Abdulrahman Awad. Awad is draped
in the flag of the al Qaeda front group the Islamic State of Iraq.
http://www.longwarjournal.org/archives/2010/08/fateh_al_islam_chief.php#ixzz1jpSIO3Gr

images

U135P200T1D307270F12DT20100305064857.jpg

Muslims carry the body of Gulam Mohamad, a militant commander of
Hizbul Mujahideen during his funeral procession in Luragam, 56 kilometers
south of Srinagar, summer capital of Indian-controlled Kashmir, March 5, 2010.
 
Nadhani kuna kinachotafutwa hapa. Wengi wamesahau kauli ya Regia iliyomfanya aombe radhi siku ya pili bungeni. Jee, kauli ile haiwezi kuwa ni sababu?
 
Mwanawaukweli kitu unachosahau kuwa hao ni wapalestina. Kwanza kabisa Wapalestina wapo wa dini tofauti. Kumbuka huko ndiko alikozaliwa Yesu (AS).

Isitoshe Wapalestina wapo vitani na wanaonesha wahanga wao wanaouliwa na mayahudi kila kukicha ili kuhamasisha kuzidisha hamasa.

Na hapo, unapoonesha hawaagwi hao, wanapelekwa wakazikwe.
 
Hizo picha zote ni za waislam, ingawa si kweli kwamba zote ni za wapalestina. Picha ya mwisho ni ya Waislam wa Kashmir India, kuna ya Iraq pia.
 
wallah hawa jamaa hawatufai ni bora tuwasepeshe make ndo vinara wa uvunjifu wa sheria kisa kapiga picha na mzee wa msoga
Tatizo wabongo nao wamejazana mno nchini mwao so kabla hujafikiria kuwatimua, fikiria na Watanzania waliopo nchini mwao.
 
Siku mkiuumwa mnakimbilia India ati, mbona hapo mnasahau ubaguzi na kwenda kuwapapatikia hawo ambao nyie mnawachukia. Kuna tofauati baina ubaguzi na mila. Kama wahindi wangewakatalia nyiwe kutibiwa India ndo hapo mseme mebaguliwa sio kuleta uzushi kwenye mazishi ya watu.
 
tangu lini wahindi wanaojiita watanzania wakachangamana na watanzania aiee hizi ngozi mimi sitaki hata kuziona kazi kukaa magorofani na kumwagia maji wapita njia

Kwani we mara ya mwisho kumwagiwa maji na wahindi au waarabu ilikuwa lini?kwa taarifa yako hakuna ambae hakumwaga mhe regia angalia fb yake what i wrote. Mhe ameangwa si na watanzania wa hapa tz tu ameagwa na mpaka walio nje kupitia globs wengine walio na majukumu walimuaga kwa njia ya tv. Wale walioenda wengi wao walienda kuonekana kama wewe unavyoelezea hapa. Ogopa sana mtu anaejionyesha yeye ameguswa na jambo fulani kumbe ana yake. Regia was a good friend of mine na ni mmoja ambae nimeshitushwa sana na msiba wake siku ile nilikuwa chuo nafanya presentation sikuweza kuifanya ipasavyo kutokanana msiba ule.

Nadhani ni jambo la busara tukamwacha mpendwa wetu apumzike kwa amani sio.kila saa kumtia midomoni kwa mambo yasiyo na tija Mungu ameamua kuichukua nafsi yake unadhani uwepo wa wahindi ungebalisha kitu chochote?na kutokuwepo kwa watu hao lipi limeshindikana?tuwe na fikra zenye kujenga sio kubomoa.
 
Mwanawaukweli kitu unachosahau kuwa hao ni wapalestina. Kwanza kabisa Wapalestina wapo wa dini tofauti. Kumbuka huko ndiko alikozaliwa Yesu (AS).

Isitoshe Wapalestina wapo vitani na wanaonesha wahanga wao wanaouliwa na mayahudi kila kukicha ili kuhamasisha kuzidisha hamasa.

Na hapo, unapoonesha hawaagwi hao, wanapelekwa wakazikwe.
Hoja dhaifu, nyingine??
 
Mie ni hater wa wahindi na waarabu wa tanzania kwa sababu nawajua na nina relation nao................hate them most!
Usishangae kusikia hata Barubaru akijivuna ni mwarabu simply kwa kuwa yuko Oman!!!!! teh teh teh teh eh
 
Siku mkiuumwa mnakimbilia India ati, mbona hapo mnasahau ubaguzi na kwenda kuwapapatikia hawo ambao nyie mnawachukia. Kuna tofauati baina ubaguzi na mila. Kama wahindi wangewakatalia nyiwe kutibiwa India ndo hapo mseme mebaguliwa sio kuleta uzushi kwenye mazishi ya watu.

hiyo ni biashara kaka! hawaendi kutibiwa bure, ni mwendelezo ule ule wa ufisadi wao, ili hospitali zetu zisiwe na huduma nzuri kwa ajili ya wananchi wote, ziendelee kuwa duni!
 
hiyo ni biashara kaka! hawaendi kutibiwa bure, ni mwendelezo ule ule wa ufisadi wao, ili hospitali zetu zisiwe na huduma nzuri kwa ajili ya wananchi wote, ziendelee kuwa duni!

Ahh jamani tusizuushe maneno tu bila ukweli. Mimi sina fahamu kwamba sera za India kwa Tanzania ni kuharibu maendeleo ya hospitali zetu.

kama huelewi mkuu kuna lions club amabayo memba wao wengi ni wahindi na wanawasaisdia Watanzania wengi katika basic healthcare (hata mpaka kwenye opresheni za macho). Kama mahospitali zetu hazijaendelea sio makosa ya wahindi ni makosa ya leaders wetu ambao wanajinufaisha wenywewe.
Kama ni biashara basi kwanini tusiende Usauzi tukatibiwe na Waafrika wenzetu ? Au hatuna confidence na wenzetu, na kama hatuna basi huu ndio ni ubaguzi wa waafrika kwa waafrika sasa niambie wahindi tutawaacha kuwabagua ?
 
hiyo ni biashara kaka! hawaendi kutibiwa bure, ni mwendelezo ule ule wa ufisadi wao, ili hospitali zetu zisiwe na huduma nzuri kwa ajili ya wananchi wote, ziendelee kuwa duni!

Hoja zingine, zinaskitisha sana, ushindwe wewe kujiendeleza usingizie Hospitali za wahindi?
 
Hoja zingine, zinaskitisha sana, ushindwe wewe kujiendeleza usingizie Hospitali za wahindi?

Serikali ya chama chako cha ccm imeshindwa kuboresha huduma za afya nchini.

Viongozi wakiugua hata mafua tu wanakimbizwa india, wengine wanakaa hadi miezi mitano, wengine wameruhusiwa kutoka hospitali lakini wanang'ang'ania kubaki wodini!

Shame on you FF na magamba yako.
 
Chuki, Chuki , Chuki - ndio itazamisha nchi hii. Wakimalizwa waraarabu na wahindi atafuatia nani ? Wachaga ? Wagogo, Wajaluo? Wasukuma ? orodha inaendelea .......................

Mtu kwenda kwenye mazishi au msiba ni chaguo lake bifnafsi - acheni fitina za kijinga
 
Back
Top Bottom