Wahafidhina wa CCM wamepata jukwaa la kumnanga Mweyekiti wao kupitia mgongo wa Mbowe

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
43,707
60,766
Jana tumeshudia mapovu mithili ya watu waliofakamia omo toka vinnywani wa wahafidhina wa CCM. Tuliaminishwa kuwa kikao cha bunge siku ya tarehe 10 June ni mahsusi kwa kujadili na kuelemisha umma juu sintofahamu iliyojitokeza juu ya mchakato wa ubinafsishaji wa bandari zetu.

Lakini kwa mshangao wa wengi mada kubwa ilikuwa ni kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kanakwamba yeye amehusika kuandika waraka uliokuwa mezani kujadiliwa. Matusi, kashfa na kejeli nyingi zilielekezwa kwake binafsi na uhusika wake kwa maridhiano yanayoendela kati ya CCM na Chadema.

Ukweli lugha iliyokuwa inatumika ilikuwa ni tafsida tu ya kumnanga Rais Samia kuwa kiko wapi sasa ulichopata kufanya muafaka na wahuni.

Kwa muda mrefu kulikuwa na minong'ono ya wahafidhina wa CCM kuponda maridhiano hayo sasa jana ilikuwa golden chance ya kumpiga mawe Mweyekiti wao kwa kutumia mgongo wa Freeman Mbowe.

Kama kweli Samia alikuwa na dhamira ya kweli ya kuleta muafaka wa kisiasa basi atawaapuuza wahafidhina hawa wakiongizwa na Nape Nnauye kwani maridhiano hayakuwa na kipengele cha kutokosoa mapungufu ya serikali ya CCM.
 
Huyu mwenyekiti wenu mzee Mbowe anasumbuliwa na tatizo moja dogo saana ambalo bahati mbaya ameshazeeka na hataweza kulirrkebisha tena .Hana elimu ndio maana yeye anaropoka tu
 
Na wale wabunge wenu vilaza jana tuliwalipa posho kwenda kumjadili Mbowe? Siku zote akili ndogo hujadili watu.
 
Kama kweli Samia alikuwa na dhamira ya kweli ya kuleta muafaka wa kisiasa basi atawaapuuza wahafidhina
Haya maridhiano ni ya Samia hao wahafidhina wanataka yaharibike ili waendeleze siasa zao za kibabe kama huyo Mollel wala sio mhafidhina ni kiherehere fulani tu, pain in da ass.
 
Huyu Molel tuna kesi naye alimuombea Rais wetu Corona na kweli ikampata ipo siku atatunyooshea maelezo
 
Attachments

  • VID-20230611-WA0001.mp4
    257.9 KB
Jana tumeshudia mapovu mithili ya watu waliofakamia omo toka vinnywani wa wahafidhina wa CCM. Tuliaminishwa kuwa kikao cha bunge siku ya tarehe 10 June ni mahsusi kwa kujadili na kuelemisha umma juu sintofahamu iliyojitokeza juu ya mchakato wa ubinafsishaji wa bandari zetu.

Lakini kwa mshangao wa wengi mada kubwa ilikuwa ni kumshambulia Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kanakwamba yeye amehusika kuandika waraka uliokuwa mezani kujadiliwa. Matusi, kashfa na kejeli nyingi zilielekezwa kwake binafsi na uhusika wake kwa maridhiano yanayoendela kati ya CCM na Chadema.

Ukweli lugha iliyokuwa inatumika ilikuwa ni tafsida tu ya kumnanga Rais Samia kuwa kiko wapi sasa ulichopata kufanya muafaka na wahuni.

Kwa muda mrefu kulikuwa na minong'ono ya wahafidhina wa CCM kuponda maridhiano hayo sasa jana ilikuwa golden chance ya kumpiga mawe Mweyekiti wao kwa kutumia mgongo wa Freeman Mbowe.

Kama kweli Samia alikuwa na dhamira ya kweli ya kuleta muafaka wa kisiasa basi atawaapuuza wahafidhina hawa wakiongizwa na Nape Nnauye kwani maridhiano hayakuwa na kipengele cha kutokosoa mapungufu ya serikali ya CCM.

Nami nisimame katikati....

Umenikumbusha... nilisoma sehemu huko nyuma jinsi baadhi ya wanaCCM na wanaTANU walivyokasirishwa na baba wa taifa El Comandante JKN kwa kufanya haya yafuatayo:-

Wanaccm....

Kuruhusu demokrasia ya vyama vingi alivyovifuta huko nyuma wakati akilijenga taifa....wanasema pamoja na kuwashawishi...wanaCCM walipiga kura nyingi za HAPANA(80%)...kukataa VYAMA VINGI...

El Comandante JKN akaumaliza mzizi wa fitina kwa kusema "leo wachache wameshinda(20%)"

Hili liliwakasirisha wengi mno...akawa anasemwa nyuma ya mgongo wake.....

WanaTanu.....

Inasemwa kuwa kisa cha Zuberi Mtemvu kuanzisha chama cha upinzani ni kutokana na kupingana na hayati El Comandante JKN kwa msimamo wake wa KUTOWAFUKUZA WATU WEUPE baada ya UHURU 9/12.
Wahafidhina walikuja kukasirika zaidi baada ya El Comandante JKN kumteua Waziri Jamal(, mtanganyika wenye asili ya bara hindi)

Leo hali ikoje ?!!!

Mh.Rais SSH kama lilivyo zuri jina lake (USIKIVU).....

Mh.Rais Chifu Hangaya kama alivyo na maono adhimu kutokana na historia yake nzuri ya UTU...mapito yake KUNTU toka ndani ya USIMAMIZI WA " NON-GOVERNMENTAL ORGANIZATION" mpaka uwaziri wa utamaduni....mpaka uwaziri wa Muungano....na ari na kaliba yake humfanya kuwa MSIKIVU NA ASIYE NA CHUKI ZA KIPUMBAVU....

Jina lake zuri SULUHU limemfikisha kutaka MARIDHIANO.....unategemea wasio na majina ya kati "SULUHU" watayapenda MARIDHIANO ?!!!

Kwa kuwa tunafundishwa UTII kwa mwenyekiti wetu mpendwa....hatatokea "mhafidhina" mwenye HEKIMA akamkosoa mwenyekiti pasi na staha tena HADHARANI...abadan aslan

Katika imani za dini tunausiwa sana kukaa "SHURA"....kutaka ushauri hupelekea MARIDHIANO.... MARIDHIANO NDIYO DIRA YA MAISHA POPOTE PALE WALIPO WANADAMU WALIO TIMILIFU AKILINI.

#MamaAnaupigaMwingi

#SiempreJMT

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Bado wapo waliosherehekea uhuru wa Tanganyika tarehe 9/12/1961!
 
Back
Top Bottom