Katika hali ya kushangaza katika Mdahalo ulioendeshwa na TBC1 kwa wagombea wa ubunge Arusha mjini, imeonesha dhahiri Mgombea wa CHADEMA Mr Lema amepita bila kupingwa baada ya mpinzani wa wa karibu Dr Batilda kukimbia mdahalo huo. Hii ni fursa kwa wanaarusha sasa kujua kwamba hata kwenye matatizo ya msingi wanaweza kukimbiwa pia
Hata jimbo la Ubungo, ilionesha pia Mnyika hana mpinzani baada ya wagombea wenzake kutoonyesha dhamira ya dhani ya kutatua kero za wananchi. Kazi kwa wanaubungo, kuiachia hii lulu ni sawa na kupoteza jicho, je utaweza kuona?
Anayebisha abishe lakini ukweli uko pale pale, hawa vijana wanachapa kazi. Tutakua tunawarushia majimbo mengine vile vile