Meya wa Ubungo Mheshimiwa Boniface Jacob apigana na mbunge wa Arusha mjini Godlbess Lema Kwenye Kikao cha Kamati kuu

Status
Not open for further replies.

Benson Mramba

JF-Expert Member
Oct 29, 2013
644
1,482
Meya wa Ubungo Mheshimiwa Boniface Jacob apigana na mbunge wa Arusha mjini Godlbess Lema Kwenye Kikao cha Kamati kuu ya Chadema.

Lema alikuwa anamtuhumu mbunge wa Kibamba, John Mnyika kuwasaliti na kuwa na mipango ya kuhamia CCM ndipo Boniface Jacob aliposimama na kumwambia Lema aache kumsingizia Mnyika mambo ya kipuuzi ndipo Lema alipomrushia Ngumi Meya huyo wa Ubugo.

=====

UPDATES:

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob Akanusha kugombana na Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema. Asema ni Propaganda na Uzushi. "Tusipoteze muda kwenye vitu vya uongo na uzushi, tujifocus kwenye maisha yetu ambayo sasa hivi hali yetu kama watanzania tunaiona ngumu kila siku zinavyoenda". amesema Jacob.

 
Breaking news.Meya wa Ubungo Mheshimiwa Boniface Jacob apigana na mbunge wa Arusha mjini Godlbess Lema Kwenye Kikao cha Kamati kuu ya Chadema.Lema alikuwa anamtuhumu mbunge wa Kibamba John Mnyika kuwasaliti na kuwa na mipango ya kuhamia ccm ndipo Boniface Jacob aliposimama na kumwambia Lema aache kumsingizia Mnyika mambo ya kipuuzi ndipo Lema alipomrushia Ngumi Meya huyo wa Ubugo..
Sawa, endelea na story
 
Mayor wa Ubungo na Mnyika wana Mipango sawa ya kuivuruga Chadema -Mbowe kwenye Uchaguzi Mkuu wa Chama,

Hawa wawili Jacob na Mnyika wamejipanga kupambana na Mbowe kwa gharama zote na Mbowe kishatambua ndio sababu anamtumia Lema Kama alivyomtumia kumpiga Mwigamba wakati ule ni Mwenyekiti wa Chadema Arusha!

Sasa hivi ni Moshi tu, Moto rasmi utawashwa wakianza Mchakato wa Kugombea Uenyekti wa Chadema Taifa!

Wote wasiomkubali Mbowe watatumia hoja ya kumkaribisha Lowassa kumtikisa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom