Uchaguzi 2020 Gairo: Mgombea ubunge kupitia CCM, Ahmed Shabiby apita bila kupingwa baada ya wagombea wa CHADEMA, CUF na UPDP kurejesha fomu kwa kuchelewa

Nyendo

JF-Expert Member
Jun 4, 2017
1,194
4,116
Taarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM, Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP na CUF ambao walirudisha fomu saa 11 jioni badala ya muda wa kisheria wa saa 10 jioni.
 
Sasa tokea saa moja asubuhi walikua wapi, hongera alieshinda bila kupingwa.
 
Taarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP na CUF ambao walirudisha fomu saa 11 jioni badala ya muda wa kisheria wa saa 10 jioni
Wahuni hao,wamehongwa.unarudisha fomu saa 11 jioni?
 
Taarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP na CUF ambao walirudisha fomu saa 11 jioni badala ya muda wa kisheria wa saa 10 jioni
Duh mbunge wa 4 huyo,nape,majaliwa,na ludewa,then shabiby
 
Taarifa toka kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la la Gairo zinasema kuwa mgombea wa nafasi ya ubunge kupitia CCM Ahmed Shabiby amepita bila kupingwa kutokana na wagombea wa vyama vya CHADEMA, UPDP na CUF ambao walirudisha fomu saa 11 jioni badala ya muda wa kisheria wa saa 10 jioni
Hawa wahuni nendeni mkawaambie kuwa awamu hii kupita bila kupingwa hakuna
 
Wanajua walichokuwa wanakifanya. Sio wajinga hivyo ndipo Tundu aanze kujua sasa mpaka sasa ni 4 kwa zero. MOROGORO MJINI, MVOMERO, GAIRO na RUANGWA
 
Dah!!!..yaani after all the hustle na vikao unachelewa kurudisha fomu..kweli???
 
Wamefika bei hao kenge hongera zao kwa kuvuta pesa mapema ili iwe mtaji wa kujiajiri.

Upuuzi mtu anachelewaje kwanza mbona interview wote wanawahi kwa mda husika iweje hawa watafuta ajira kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom