Wagombea CCM Waanza Kumiminika Chadema!

Nataka list kamili sasa ya watu waliohama na majimbo yao ilikujua hiyo strategy imnefikia wapi na kuweza kujadili mengine maana muda wa kampeni umekaribia; Kuna mbunge wangu la saba ameshinda tena ila watu hawamtaki sasa wanayemtaka ni msomi na NEC imeshawanyongesha na kijana ni critical; nini kifanyike kama sio kuhamia chama kingine ukizingatia there is no mgombea binafsi-chadema go in Sumve take one person Longine/Mchele they; jimbo liko wazi nipo hapa kila mtu analalamika; ikifikia hadi akina mama hawamtaki ujue kunafuka moto
 
Wanaohamia au watakao hamia Chadema kutoka CCM baada yakukosa kuteuliwa kuwania ubunge kwa tiketi ya CCM ni walafi wa madaraka. Hawataki kuishi kama wananchi wa kwaida lazima daima dum wawe na madaraka. Nawatakia kila la kheri CCM ipo.
 
Back
Top Bottom