Wagombea CCM Waanza Kumiminika Chadema!

Zitto

Chegeni

Ina maana Zitto Kabwe muongo au huyu Chegeni kawageuka CHADEMA baada ya kukubaliana nao ? Either way, this is not a good look.

Kama alivyosema Fundi Mhundo pale juu na nilivyosema katika posts zilizotangulia, CHADEMA kukumbatia mamluki yeyote anayetoka CCM ni kujionyesha hakina principles, hakijiamini na hakina wagombea wake wenyewe wa kutosha kuweza kuchukua nafasi hizi.
That is politics my friend there is no general and fixed formular for politicians today is this tomorrow is that.
 
Hiki ni chama kinachotaka kipate nafasi ya kutuongoza watanzania wote kwa hiyo mwenendo wake unatuhusu wote. Hiki si chama cha mpira au burudani!

Amandla.....

Ndiyo maana ya kuwa na vyama vingi you got a lot of alternatives kama utaona chama fulani hakina maana na hakitaki kufuata ushauri wako leave it chagua chenye maana na endelea kukipa ushauri.
 
cha muhimu ni kuwa na wabunge wengi wa upinzani, na lengp pia ni kumweka Dk Slaa madarakani,
 
Ndiyo maana ya kuwa na vyama vingi you got a lot of alternatives kama utaona chama fulani hakina maana na hakitaki kufuata ushauri wako leave it chagua chenye maana na endelea kukipa ushauri.

Surely you must be joking. How a party acts as an opposition is the same way it is going to function as a ruling party if it get's the chance to. People can't complain about CCM and it's mechanisms and then when it comes to opposition party to say let them do as they please.The same people and the same norms carry on as a party is given the mandate to control the government so you can't say let them do as they please while my future is at stake whether I vote for it or not.
 
Lakini jamani tuwe makini na chanzo cha habari...hizi habari zimeandikwa na gazeti la mwananchi na lolote laweza kuandikwa hata kama si la kweli. Mbona hawakuwatafuta kwanza hao waliotajwa ili kuthibitisha kama habari hizo ni za kweli...
 
Surely you must be joking. How a party acts as an opposition is the same way it is going to function as a ruling party if it get's the chance to. People can't complain about CCM and it's mechanisms and then when it comes to opposition party to say let them do as they please.The same people and the same norms carry on as a party is given the mandate to control the government so you can't say let them do as they please while my future is at stake whether I vote for it or not.
MwanaF1

Kama wewe unafikiri una ushauri mzuri na unajitahidi kadri ya uwezo wako kukishauri chama hakikusikilizi utafanya nini utaendelea tuuu hadi lini, si lazima uishauri CCM ingawa hakuna anayekuzuia, kuna vyama vingine kama Chadema, CUF, TLP nk. Sidhani kati ya hivyo utakosa at least kinacho karibia matakwa yako, usipopata kati ya hivyo sasa hayo yatakuwa matatizo serious yanaweza labda kutatuliwa kwa kuwepo mgombea binafsi au kuanzisha chama tofauti na vilivyopo.
 
Tuna mi-vyama isiyo na itikadi wala falsafa! Ni mi-vyama ya matumbo ya u-binafsi tu!

Fikiria, mtu mwenye cheo cha Mkuu wa Mkoa, Prof. mzima, Daktari (Mganga) au Katibu Mkuu anaacha kazi hiyo kwa ajili ya kutaka kuwa m-Bunge!

Nilishasema kuwa kadiri taifa linapozidi kuongeza mishahara mikubwa na marupurupu kwa wa-Bunge wetu, ni kukaribisha umwagaji damu!

CCM inajua wazi kuwa rushwa, kadi feki na wizi wa kura vilitendeka. Lakini CCM inafumba machio kwa kuogopa kuwa mafisadi hao na wezi hao kuwaadhibu kwa kuwakataa watahamia upinzani (CHADEMA, hasa). Kwahiyo, ni sharti wakumbatiwe!

CHADEMA, kwa ajili ya kupalilia unga wa ushindi, inawakaribisha, inawakumbatia na inawatuza wakimbizi kutokaa CCm kwa kuwapa nafasi ya kugombea ubunge!

=======

Look here
Ikiwa CCM inaanza kukumbatia baadhio ya watu kwa hofu kuwa watakimbilia Chadema, nadhani kazi ya vyama vya upinzani imeanza. Kitakachofuata ni mtu kusimama ndani ya CCM na kusema "tufanye hivi", mkikataa naenda Chadema. Kama CCm itakuwa na uongozi mzuri, hapo ndipo utakuwa mwanzo wa mabadiliko. Lakini hii habari ya watu kubaki ndani ya vyama kwa sababu tu, hawana pa kwenda, haina afya.

Pili, vyama vya upinzani pamoja na kupokea wakimbizi, visionee haya itikadi zao. Viwapokee na kuwasilimisha/kuwabatiza katika itikadi mpya ili kuvipa uhalali wa kutoa fikra mbadala katika nchi.
Believe me, baadhi ya wakimbizi ni genuine kwa kuwa wameonewa huko walikotoka. Uongozi ndani ya CCM ni kwa wenye dau kubwa, ni mnada tu.
 
Baada ya Zitto kutangaza majina yao, wale waliokuwa Mapandikizi wameshtuka kuona wameumbuliwa hivyo ni rahisi kwao kukana kujiunga na Chadema ili mpunga wao usianze kukoma mapema.. Zitto katumia akili sana kuwaweka wazi kwani nina hakika hakuna pandikizi anayetaka kuwekwa wazi kuwa ni msaliti wa chama CCM..
 
Hiki ni chama kinachotaka kipate nafasi ya kutuongoza watanzania wote kwa hiyo mwenendo wake unatuhusu wote. Hiki si chama cha mpira au burudani!

Amandla.....

tatizo mmoja wa liyekupa thank anangata na kupuliza ,CCJ OYE
 
Ndiyo maana huwa nazi doubt stratejia za chadema na kuwaona wakurupukaji lakini wenyewe wabishi hawaambiliki.
 
"hao wanne tayari tumeshakubaliana nao na tunazidi kuwatafuta wengine kama aliyeshindwa jimbo la nkenge ambaye sitamtaja jina kwa sasa ila tuna matumaini ya kumpata pamoja na mwingine wa shinyanga mjini," alisema kabwe.

idiocy..
 
Zitto kafanya kosa kutangaza majina mapema. Ni hatari kwa afya ya wahusika. Au mmesahau CCM ilivyo? Watu wanatakiwa wakae wajihami kwanza ndio waweze kusema tumetoka CCM.
 
cha muhimu ni kuwa na wabunge wengi wa upinzani, na lengp pia ni kumweka Dk Slaa madarakani,

Kwa hiyo tuseme CCM wakihamia Chadema en-masse mtakuwa tayari kuwapigia kura ili mradi mshinde uchaguzi? Sasa mnapinga CCM jina au principle zeke, mwenendo wake na wale ambao wanakifanya chama hicho kiwe hivyo? Kwa mfano (hypothetically), utapingaje CCM na kumpokea Malecela kabla ya yeye kuonyesha kwa vitendo kuwa hakubaliani na VITENDO vya CCM na sio tu kitendo cha kutochaguliwa!

Ndiyo maana ya kuwa na vyama vingi you got a lot of alternatives kama utaona chama fulani hakina maana na hakitaki kufuata ushauri wako leave it chagua chenye maana na endelea kukipa ushauri.

Sawa. Sasa wameeleza wapi kuwa wanaona chama hakifai isipokuwa kimekataa kuwapa ulaji? Ni wapi wameonyesha kuwa wakichaguliwa kwa niaba ya chama kingine watakuwa tofauti? Dr. Slaa alikuwa CCM, akatemwa, akajiunga na chama kingine. Wakati akiwa huko ameonyesha jinsi alivyotofautiana na chama kilichomtema. Hawa Johnny Come Latelys wamefanya hivyo wapi?

Amandla.......
 
CHADEMA NI KAMA MWANAMKE.....ALIPOACHWA MWENZAKO WE WAPATAMANI.....! ule msemo wa kuwa mwalimu wa wanawake ni kipofu unaelekea kuwa sawia kwa chama chenye mlengo wa ki-kaskazini zaidi...CHADEMA? KWANI WALIOONEKANA HAWAFAI CCM WAO KWAO WANAONA LULU
 
Wakuu mnalumbana kujadili wanasiasa? Ukishaita mtu mwanasiasa, tegemea lolole, no surprises anymore!

Kaka ni muhimu kuwajadili maana hawa ndiyo wanaotunga sera za uongozi wa taifa letu - ndiyo hawa hawa waliolifikisha taifa hili mahali hapa lilipo, sasa tukisusa ndiyo itakuwa hatari zaidi.
 
Back
Top Bottom