Gembe
JF-Expert Member
- Sep 25, 2007
- 2,483
- 159
Wakulu,
Asubuhi nikiwa hapa duniani nimepata habari kuwa kuna wafanyabiashara wawili maarufu wa nchini wanashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika na utumiaji wa viungo vya maalbino.
Ka nzi kanakopita pita kameniabarisha ya kuwa habari hii imeandikwa katika gazeti moja la kiswahili la leo.Ka nzi hako kamenusa na kunihabarisha kuwa mmoja ya watu hapo ni pedeshee mmoja maarufu mjini hapo mjini mwenye jina linalofanana na mtoto ng'ombe na mwingine jina lake bado halijafahamika.Ila ka nzi kanaendelea kusaka habari hii na muda mfupi nitawa-update baada ya kuzungumza na kamanda wa polisi wa kanda maalum
Kuna mtu ana habari kuhusiana na hili.?