Wadhifa wa Mwenezi Taifa CCM ni sawa na DPP, IGP au DCI

Ngongo

JF-Expert Member
Sep 20, 2008
19,034
31,537
Kwa mujibu wa Katiba yetu iliyojaa mapungufu na mapengo mengi ambayo hao jamaa niliowataja wakiamua kukupeleka mchaka mchaka utajuta kuzaliwa Tanzania.

DPP au DCI wakiamua kukufutia kesi au kukubambikia kesi ya mchongo wanaweza bila shida yoyote chini ya katiba yetu inayoruhusu watawala kuamua chochote.

Nilikuwa sijui Katibu wa Uenezi & Itikadi Taifa ana nguvu kama DCI, DPP. Ahsante Makonda umenifungua macho na kunitoa tongo tongo la ulevi wa madaraka.

Ngongo kwasasa Uturuki.
 
Tuna katiba ya kijinga sn lazima tuamke
 
Nenda China kamuone mtu anayesimamia Itikadi ya Chama na majukumu yake

Itikadi ndio Injini inayoendesha Chama hivyo kwa sasa Makonda ndiye Dereva wa CCM

Labda nikusaidie, Mwenyekiti anaendesha na Kuongoza Vikao

Katibu ndiye Mtendaji Mkuu wa Chama

Mwenezi ndiye Msimamizi Mkuu wa Ustawi wa Chama

Jumaa kareem
Mim natumia uelewa sio mahaba na twit za sechai. Unapokuwa mwenez swal unaeneza nini? Jibu ilani.
Ilan ndio mpango kaz wa kukuletea maendeleo wewe unaye twiti. Muenez anaeneza ilan
Jukum lako kwenda kusoma ilan kuona barabar za kijijin kwenu vipi zinafikiwa?
 
Kwa mujibu wa Katiba yetu iliyojaa mapungufu na mapengo mengi ambayo hao jamaa niliowataja wakiamua kukupeleka mchaka mchaka utajuta kuzaliwa Tanzania.

DPP au DCI wakiamua kukufutia kesi au kukubambikia kesi ya mchongo wanaweza bila shida yoyote chini ya katiba yetu inayoruhusu watawala kuamua chochote.

Nilikuwa sijui Katibu wa Uenezi & Itikadi Taifa ana nguvu kama DCI, DPP. Ahsante Makonda umenifungua macho na kunitoa tongo tongo la ulevi wa madaraka.

Ngongo kwasasa Uturuki.
Acha kukariri mambo ya magharibi hata yenyewe yana mapungufu
 
Kwa mujibu wa Katiba yetu iliyojaa mapungufu na mapengo mengi ambayo hao jamaa niliowataja wakiamua kukupeleka mchaka mchaka utajuta kuzaliwa Tanzania.

DPP au DCI wakiamua kukufutia kesi au kukubambikia kesi ya mchongo wanaweza bila shida yoyote chini ya katiba yetu inayoruhusu watawala kuamua chochote.

Nilikuwa sijui Katibu wa Uenezi & Itikadi Taifa ana nguvu kama DCI, DPP. Ahsante Makonda umenifungua macho na kunitoa tongo tongo la ulevi wa madaraka.

Ngongo kwasasa Uturuki.
hivi kwanini mnapenda kulinganisha vitu vichafu na vyeo vya kiserikali?
 
Mim natumia uelewa sio mahaba na twit za sechai. Unapokuwa mwenez swal unaeneza nini? Jibu ilani.
Ilan ndio mpango kaz wa kukuletea maendeleo wewe unaye twiti. Muenez anaeneza ilan
Jukum lako kwenda kusoma ilan kuona barabar za kijijin kwenu vipi zinafikiwa?
Katibu wa Itikadi na Uenezi
 
Mim natumia uelewa sio mahaba na twit za sechai. Unapokuwa mwenez swal unaeneza nini? Jibu ilani.
Ilan ndio mpango kaz wa kukuletea maendeleo wewe unaye twiti. Muenez anaeneza ilan
Jukum lako kwenda kusoma ilan kuona barabar za kijijin kwenu vipi zinafikiwa?
Hiyo inafanya kwenye advanced democratic nations sio Tanzania yenye democrancy ya tia maji,......acha muenezi wa chama, makamu mwenye kiti wa chama anaweza kufukuza DCI kazi, katibu mkuu wa chama ana uwezo wa kupendekeza waziri aondolewi kabisa, DPP hupate muongozo kutoka chamani nani afutiwe mashitaka na nani ashitakiwe.......Tz ni nchi tofauti kipindi makonda ni mkuu wa mkoa alikua na nguvu kuliko kassimu majaliwa waziri mkuu, majaliwa alikua anaomba appointment kumuona Raisi kupitia Makonda.
 
dah
 
Chama kinachopata madaraka kwa kupora chaguzi ni dhahiri kitakuwa kikubwa kuliko serekali.
Huwezi kuporwa kitu ambacho huna,ni lini mlikuwa mnamiliki nn mkapolwa na ccm?,ujinga wako bado tu haujakutoka?!,kazi ya kupambana na jpm bado haijaisha?
 
Hiyo inafanya kwenye advanced democratic nations sio Tanzania yenye democrancy ya tia maji,......acha muenezi wa chama, makamu mwenye kiti wa chama anaweza kufukuza DCI kazi, katibu mkuu wa chama ana uwezo wa kupendekeza waziri aondolewi kabisa, DPP hupate muongozo kutoka chamani nani afutiwe mashitaka na nani ashitakiwe.......Tz ni nchi tofauti kipindi makonda ni mkuu wa mkoa alikua na nguvu kuliko kassimu majaliwa waziri mkuu, majaliwa alikua anaomba appointment kumuona Raisi kupitia Makonda.
Fact,thank you.
 
Kwa mujibu wa Katiba yetu iliyojaa mapungufu na mapengo mengi ambayo hao jamaa niliowataja wakiamua kukupeleka mchaka mchaka utajuta kuzaliwa Tanzania.

DPP au DCI wakiamua kukufutia kesi au kukubambikia kesi ya mchongo wanaweza bila shida yoyote chini ya katiba yetu inayoruhusu watawala kuamua chochote.

Nilikuwa sijui Katibu wa Uenezi & Itikadi Taifa ana nguvu kama DCI, DPP. Ahsante Makonda umenifungua macho na kunitoa tongo tongo la ulevi wa madaraka.

Ngongo kwasasa Uturuki.
Walichomfanya Polepole na Ndugai...
 
Ngongo acha nongwa 😂😂😂😂
 
Nenda China kamuone mtu anayesimamia Itikadi ya Chama na majukumu yake

Itikadi ndio Injini inayoendesha Chama hivyo kwa sasa Makonda ndiye Dereva wa CCM

Labda nikusaidie, Mwenyekiti anaendesha na Kuongoza Vikao

Katibu ndiye Mtendaji Mkuu wa Chama

Mwenezi ndiye Msimamizi Mkuu wa Ustawi wa Chama

Jumaa kareem 😀
Acha kuifananisha China na upumbavu wewe.
 
Back
Top Bottom