Wadau anayefahamu cv ya mzee wa upako atujuze

gen parton

JF-Expert Member
Jan 15, 2013
642
407
Amekua na ushawishi mkubwa katika jamii majina yake ni mchungaji anthony lusekelo kanisa lake liko ubungo kibangu
 
Nasikia mwanzoni alikuwa anaitwa 'katapila' sasa hivi anatambulika kama 'transfoma' baadae ataitwa 'kifusi cha kajima' inategemea idadi ya watu ambao wataamua kupumzisha uwezo wao wa kufikiri na kuazima wa watu wengine kama itaongezeka, Oops! Samahani hii ni dibaji ngoja niweke cv yake:
 
CV yake ni mtu wa billionea mkubwa anayekula kuku kwa mrija baada ya kupambana sana na maisha.
 
siku moja kwenye kipindi chake alisema alianza kuhubiri injili stendi Iringa mjini.
 
Aleluya aleluya?? Kumbe wanatuibia ngawira kiru kiru ruwa mang mrumii oko
ooor sory WATASHINDANA NAMI LAKINI HAWATA SHINDA.
 
Nasikia mwanzoni alikuwa anaitwa 'katapila' sasa hivi anatambulika kama 'transfoma' baadae ataitwa 'kifusi cha kajima' inategemea idadi ya watu ambao wataamua kupumzisha uwezo wao wa kufikiri na kuazima wa watu wengine kama itaongezeka, Oops! Samahani hii ni dibaji ngoja niweke cv yake:

Yule mzee kwenye vipindi vyake yeye anahubiri habari za kupata majihela na habari za mafanikio,ni nadra sana kukuta akikemea waumini wake waache dhambi maana atakosa waumini.Hahahaha sasa ameanzisha ile style ya kutuzwa stejini kama twanga pepeta wakiwa Mango Garden.Mimi in short hawa wahubiri wanaojiita manabii na mitume nikiwasikia napisha mbali maana ni sumu sana
 
Back
Top Bottom