Wadada kuweni makini na hawa!!

Shizukan,umeuliza why joseph?Naomba ufaham kuwa yapo majina mengi na tabia zake,mimi nimemzungumzia huyu mwingine kesho ataleta mwingine na kuendelea.Pia umeuliza why tabia 3 halafu ni negative ina maana hawana sifa nzuri?Jibu la hili kagua post zangu utaona majibu hapo!Pia umesema mwenye dharau hawezi kubadili wanawake,Jambo usilolijua ni kwamba watu hawa ni ma actor wazuri sana,anapokutana na mtu mpya hujifanya mwema sana,hasa kwa wanawake ndo huact sana.Madai yako ya kutongoza mwanamke sina haja ya kukucomvice unielewe coz haina maana halafu sio shughuli yangu kujadili mambo ya aina hiyo!
 
Kwenye bible kuna Yusufu alikataa kutenda dhambi na mke wa bosi wake,
Mi ningekubaliana na wewe ungeniambia wanaume kama jinsia.
 
mmmh kuna joseph wa3 hapa kitaa ni nouma
wat abt david kuna kina cameron ,jairo, mataka etc afu wooote watata hao.

Duh!Inawezekana na hao!Ngoja tusubiri huenda huenda ukaja utafiti kuwahusu!
 
kuna joseph mmoja namjua,
kweli anajipenda na ana dharau kiaina,
sijui kama ni kiwembe,ameoa mzungu,
ila huwa ananiangaliaga kwa jicho la kunitamani.
 
Names ain't saying shit about you son! You are shaped by the environment that sorrounds you. No names, no zodiac signs determine that. Cut out the crap

Hili ndilo tatizo,watu hufikiri mambo yapo yapo tu!Hakuna kitu ambacho kipo kwa bahati mbaya,nyuma ya majina kuna nguvu,ndo maana hata Mungu aliwabadili majina Ibrahimu na mkewe,alikua anajua anachofanya!
 
Kwenye bible kuna Yusufu alikataa kutenda dhambi na mke wa bosi wake,
Mi ningekubaliana na wewe ungeniambia wanaume kama jinsia.

Mfano wako unakosa mashiko coz hawa wa kwenye maandiko Mungu mwenyewd alikua anawasimamia watimize kusudi lake,so walikua sio wao 100%!
 
kuna joseph mmoja namjua,
kweli anajipenda na ana dharau kiaina,
sijui kama ni kiwembe,ameoa mzungu,
ila huwa ananiangaliaga kwa jicho la kunitamani.

Hapa nimecheka sana aisee!
 
Mfano wako unakosa mashiko coz hawa wa kwenye maandiko Mungu mwenyewd alikua anawasimamia watimize kusudi lake,so walikua sio wao 100%!

Mh! kwa hiyo nikiiba ni kwa sababu Mungu hajanifanya nisiibe??Anyways mitazamo iko tofauti.
 
Mh! kwa hiyo nikiiba ni kwa sababu Mungu hajanifanya nisiibe??Anyways mitazamo iko tofauti.

Itakuchukua muda sana kuelewa nilichosema!Usijali lakini,utaelewa ukitaka!
 
Shizukan,umeuliza why joseph?Naomba ufaham kuwa yapo majina mengi na tabia zake,mimi nimemzungumzia huyu mwingine kesho ataleta mwingine na kuendelea.Pia umeuliza why tabia 3 halafu ni negative ina maana hawana sifa nzuri?Jibu la hili kagua post zangu utaona majibu hapo!Pia umesema mwenye dharau hawezi kubadili wanawake,Jambo usilolijua ni kwamba watu hawa ni ma actor wazuri sana,anapokutana na mtu mpya hujifanya mwema sana,hasa kwa wanawake ndo huact sana.Madai yako ya kutongoza mwanamke sina haja ya kukucomvice unielewe coz haina maana halafu sio shughuli yangu kujadili mambo ya aina hiyo!
unanichanganya unajua?
 
Joseph kusaga ...anagonga totoz balaa joseph biden ,vice prez USA ,joseph ratzinger PAPA WA SASA ,
 
Mmmh!km kuna ukweli flan kwa wa3 ninaowafaham mm mmojawapo ni shemeji yangu,ikitokea akasoma hapa lzm atakutafuta lol!

we Canta wewe....hebu kwanza Eiyer atupe marejeo ya huo utafiti wake....maanake kaandika tu majina ya miji hapo....la sivyo tunawavictimise kina Papaa Jose lol
 
Back
Top Bottom